Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss) profile picture

*Sustainable forestry practitioner. *Higher education & Mentorship. Rhumba and Soukous fan

Tanzania
Joined March 2018
Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)
🤔🤔😟
Rais Samia Suluhu amesema matukio ya mauaji yanatokea kila nchi duniani na si Tanzania peke yake.
29
Christian Paul Kolonel retweeted
Hii dhambi ya kuua watu hovyo inachochea chuki sana baina ya watu na watu. Hadi siku atakapouwawa ndugu au mtu wako wa karibu ndio utaujua uchungu wake. RIP kwa wote waliouwawa bila hatia. Hakuna anaestahili kufa kifo cha kinyama. 💔
176
919
31
4,571
107,113
Pole yao. Lakn, unampaje mtoto kitu (tena cha kula) bila idhini ya muangalizi wake? Kina usalama gani? Si tunasikia kila mara watu wanapewa vitu vya kulevya na wanaibiwa hovyo? Inawezekanaje na hamjawa pamoja muda mrefu/kwenye safari? Wema usio na mipaka, hutafsriwa kuwa uovu 😥
Watu wanne wamenusurika kifo baada ya kupigwa na kukatwa mapanga pamoja na gari waliyokuwa wakiitumia aina ya Raum kuchomwa moto katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa kuiba Watoto baada ya kumpa pipi Mtoto aliyekuwa akipita pembeni ya gari yao waliyokuwa wanaitumia. Neema Kilai ambaye alikuwa kwenye gari hiyo amesema kuwa walikuwa wakitoka kwenye harusi katika kijiji cha Kidarafa katika shughuli ya kupika ambapo gari yao ilipata pancha ghafla waliona gari yao ikiwa imezungukwa na walipofika pale waliambiwa kuwa wao ndio wanahusika kuwakata Watoto viungo. Amesema kuwa Wananchi hao wakiongozwa na baadhi ya Viongozi walianza kuwashambulia kwa mapanga na mawe na kisha baadaye kuanza kuichoma gari hiyo. “Kwenye gari tulikuwa tumebeba mahindi, jogoo wawili tumepewa, kuna njiwa, kuna begi zetu na nyama, pipi zilikuwa za kwetu tulikuwa tumenunua tunatafuna, Mtoto alivyopita akatuona tunakula yule rasta akampa kidogo Mama yake akatokea akawa anamchapa yule Mtoto yule wifi wangu akauliza mbona unamchapa Mtoto hivyo?akamuambia haikuhusu wakaanza kuongezeka, walituambia tuvue nguo zote ila Kaka yangu akasema kuliko nivue bora mniue”—— Neema Watu wawili kati ya wanne wametibiwa katika Hospitali ya Meru lakini wengine wawili ambao ni Mke na Mume wamepelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC kutokana na hali zao kuwa mbaya. #MillardAyoUPDATES
1
49
Lecture and discussions about Tanzania-Japan relations, led by Staff of the Tanzania Embassy in Japan. August 6, 2024 at Tokyo University of Agriculture
1
1
153
Leo, tarehe 6 Agosti 2024, Ubalozi umetoa mafunzo ya uelewa kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na Japan, kwa wanafunzi watanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Tokyo (Tokyo-NODAI). Wanafunzi hao walijumuika na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) waliopo nchini Japan kwa Programu ya Kubadilishana Uzoefu na Chuo Kikuu cha NODAI, wakiongozwa na Mhadhiri wa SUA, Dkt. Nsenga J.V. @mfa_tanzania @SokoineU @nodaipr
4
1
10
548
Christian Paul Kolonel retweeted
Charcoal is one of the most neglected products at home. We only see the need when it's time to set fire - to the coal pot users. LOL. Charcoal is something you must have on you all the time. In Case you never paid much attention, it's time to do it. Here are the benefits of charcoal you never thought of: Check Thread 👇
504
12,020
334
30,469
6,176,247
Christian Paul Kolonel retweeted
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu amemuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Wizara nyingine itakayowasaidia Watoto wa kiume na kupunguza matukio ya ukatili kwa Watoto wa kiume. Msambatavangu ametoa ombi hilo wakati akichangia Makadirio ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha 2024/25 ambapo amesema Wizara hiyo pamoja na mambo mengine itasaidia kuwawezesha kiuchumi Watoto wa kiume. “Mabinti wanalalamika hawaolewi na wataolewa kivipi wakati ‘confidence’ ya Mwanaume ni fedha na uchumi yaani sisi tumeletwa Duniani Mungu akaona si bora Mwanaume awe peke yake akatuongeza sisi Wanawake sasa tunawatoa Wanaume mnataka tubaki peke m yetu haiwezekani” “Sisi tunataka Mabinti zetu waolewe na Wanaume tukiendelea kuwabagua Wanaume Mabinti zetu wataoana wenyewe kwa wenyewe ndio zinakuja ndoa za jinsia moja” #MillardAyoUPDATES
117
74
51
622
156,464
Miamala yenyewe benki inarudi/inafeli😓
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho. Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za usoni lakini kesho watapokelewa Wageni wenye dharura pekee. “Kwa sababu ya hali ya sasa ya intaneti nchini, miadi yote ya kibalozi ya kesho imeahirishwa, tutapanga upya katika tarehe inayofuata, kesho Ubalozi utakuwa wazi kwa huduma za dharura peke yake” ——— Ubalozi. #MillardAyoUPDATES
1
29
Christian Paul Kolonel retweeted
Kilimo cha muhogo kibiashara ni njia bora ya kupata kipato. GIPA FOODS&GENERAL SUPPLIES LTD, inakaribisha wakulima wa muhogo kutuuzia mazao yao. Wasiliana nasi kwa simu 0758087313 au 0678552460. Karibuni sana! – at Pwani, Tanzania
2
6
77
Christian Paul Kolonel retweeted
Wooden products lock in carbon throughout their lifetimes, helping to combat #ClimateChange. #CPForests #GrowTheSolution
1
27
44
3,501
Christian Paul Kolonel retweeted
Mimi ningewashauri watu Maarufu wa Tanzania haswa Wasanii wetu unapopata hela hakikisha unakata Bima kubwa Ya Afya Naona watu wetu Mashuhuri wakipata changamoto ya Afya wanaomba sana Msaada, Though najua kutibu Afya ni gharama but atleast itakubeba.
124
56
25
587
69,484
If sharing this would mean something positive....... #Mihogo iheshimiwe ___________________________________________ Part of HISF 2024 magazine essays
1
1
1
1
168
Christian Paul Kolonel retweeted
Replying to @SwahiliBible
mara nyingi usomi na uanasiasa havilali kitanda kimoja. Shida ni kwamba badala ya kuwawezesha wasomi katika taaluma zao, tunawashawishi kuachana na taaluma zao tunazozihitaji kwa kurundika maslahi yote katika tasnia ya siasa.
6
7
99
4,016
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
12
Christian Paul Kolonel retweeted
Karibuni kununua vitabu vyangu vioya kwa watoto wanaojifunza kiingereza. Ni vifupi naamini vimejaa ucheshi na mvuto wa kumshawishi mtoto kupendsa kusoma
85
194
11
660
47,168
Pole kwa ndg na jamaa😥
Taarfa kutoka Morogoro Ajari mbaya imetokea eneo la Bwawani iliyohusisha gari la shirika la Mkoa wa Temeke! Ambalo lilikuwa likitokea Tabora kuchukuwa waya, gari hilo limegongana uso kwa uso na gari la Askari wa Maliasili(jeshi usu).
34
Unakaa na jirani hamjawahi kuonana miaka miwili unasikiaga minong'ono tu. Loneliness ni kubwa . Tofauti kubwa ya masaa kuliwazwa na familia, ndugu na jamaa (Tz) nalo ni tatizo. Post yako🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Kwani Diaspora hampatagi wapenzi huko jamani mbona kama mko lonely sana 😂😂
2
3
9
919