Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss) profile picture

*Sustainable forestry practitioner. *Higher education & Mentorship. Rhumba and Soukous fan

Tanzania
Joined March 2018
Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)Photo by Christian Paul Kolonel (@Kaka_Chriss)
Christian Paul Kolonel retweeted
Hii dhambi ya kuua watu hovyo inachochea chuki sana baina ya watu na watu. Hadi siku atakapouwawa ndugu au mtu wako wa karibu ndio utaujua uchungu wake. RIP kwa wote waliouwawa bila hatia. Hakuna anaestahili kufa kifo cha kinyama. 💔
176
919
31
4,571
107,113
Leo, tarehe 6 Agosti 2024, Ubalozi umetoa mafunzo ya uelewa kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na Japan, kwa wanafunzi watanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Tokyo (Tokyo-NODAI). Wanafunzi hao walijumuika na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) waliopo nchini Japan kwa Programu ya Kubadilishana Uzoefu na Chuo Kikuu cha NODAI, wakiongozwa na Mhadhiri wa SUA, Dkt. Nsenga J.V. @mfa_tanzania @SokoineU @nodaipr
4
1
10
548
Christian Paul Kolonel retweeted
Charcoal is one of the most neglected products at home. We only see the need when it's time to set fire - to the coal pot users. LOL. Charcoal is something you must have on you all the time. In Case you never paid much attention, it's time to do it. Here are the benefits of charcoal you never thought of: Check Thread 👇
504
12,020
334
30,469
6,176,247
Christian Paul Kolonel retweeted
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu amemuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Wizara nyingine itakayowasaidia Watoto wa kiume na kupunguza matukio ya ukatili kwa Watoto wa kiume. Msambatavangu ametoa ombi hilo wakati akichangia Makadirio ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha 2024/25 ambapo amesema Wizara hiyo pamoja na mambo mengine itasaidia kuwawezesha kiuchumi Watoto wa kiume. “Mabinti wanalalamika hawaolewi na wataolewa kivipi wakati ‘confidence’ ya Mwanaume ni fedha na uchumi yaani sisi tumeletwa Duniani Mungu akaona si bora Mwanaume awe peke yake akatuongeza sisi Wanawake sasa tunawatoa Wanaume mnataka tubaki peke m yetu haiwezekani” “Sisi tunataka Mabinti zetu waolewe na Wanaume tukiendelea kuwabagua Wanaume Mabinti zetu wataoana wenyewe kwa wenyewe ndio zinakuja ndoa za jinsia moja” #MillardAyoUPDATES
117
74
51
622
156,464
Christian Paul Kolonel retweeted
Kilimo cha muhogo kibiashara ni njia bora ya kupata kipato. GIPA FOODS&GENERAL SUPPLIES LTD, inakaribisha wakulima wa muhogo kutuuzia mazao yao. Wasiliana nasi kwa simu 0758087313 au 0678552460. Karibuni sana! – at Pwani, Tanzania
2
6
77
Christian Paul Kolonel retweeted
Wooden products lock in carbon throughout their lifetimes, helping to combat #ClimateChange. #CPForests #GrowTheSolution
1
27
44
3,501
Christian Paul Kolonel retweeted
Mimi ningewashauri watu Maarufu wa Tanzania haswa Wasanii wetu unapopata hela hakikisha unakata Bima kubwa Ya Afya Naona watu wetu Mashuhuri wakipata changamoto ya Afya wanaomba sana Msaada, Though najua kutibu Afya ni gharama but atleast itakubeba.
124
56
25
587
69,484
Christian Paul Kolonel retweeted
Replying to @SwahiliBible
mara nyingi usomi na uanasiasa havilali kitanda kimoja. Shida ni kwamba badala ya kuwawezesha wasomi katika taaluma zao, tunawashawishi kuachana na taaluma zao tunazozihitaji kwa kurundika maslahi yote katika tasnia ya siasa.
6
7
99
4,016
Christian Paul Kolonel retweeted
Karibuni kununua vitabu vyangu vioya kwa watoto wanaojifunza kiingereza. Ni vifupi naamini vimejaa ucheshi na mvuto wa kumshawishi mtoto kupendsa kusoma
85
194
11
660
47,168
Christian Paul Kolonel retweeted
FAMILY HOUSE 🏠🏌️✍️💯 WAPENI WA VITU VIZURI HII NDO YENU DETAILS 👇👇👇 1.3 Bedroom (1Master, 1Self, 1Single) 2.Sitting room 3. Dining 4 .Kitchen 5. Public toilet Bati 90 Block 3600 Size 12x10.5m Kiwanja kuanzia 15x20 0746122023
4
12
1
15
2,998
Christian Paul Kolonel retweeted
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema sekta ya afya ni miongoni mwa sekta ambazo hazihitaji siasa kwani inaweza kuharibu huduma ya matibabu badala ya kuzingatia huduma yenye viwango.
12
15
2
250
11,245
Christian Paul Kolonel retweeted
Water is life. Water is food. Forested watersheds and wetlands provide 75 percent of the world’s accessible freshwater. #WaterForPeace #WorldWaterDay #WWD2024 #WaterAction #SDG6 #ForestDay
3
37
1
94
2,984
Christian Paul Kolonel retweeted
Today is the International Day of Forests! Did you know the forest sector generates jobs for at least 33 million people, while forest products are used by billions. How many forest products have you used today? #ForestDay
2
20
2
56
2,440
From cutting-edge drone and satellite technology for forest monitoring, to sustainable substitutes derived from trees for plastics, building materials & fabrics, innovation can help us ✅ restore ✅ protect ✅ manage, & ✅ use our forests sustainably. #ForestDay @FAO
1
7
12
1,000
Christian Paul Kolonel retweeted
Happy International Day of Forests! Here are 6️⃣ reasons to treasure our forests 👇 #ForestDay #IntlForestDay #GenerationRestoration
4
115
15
208
11,983
Christian Paul Kolonel retweeted
Real estate developers wa Tanzania wataendelea kutopata wateja wa Tanzania (wazawa) katika nyumba zao za kuuza na kupangisha badala yake wataendelea kutegemea diasporas na foreigners kama wateja wao wakuu kama hawatabadilika. “Real estate is always a local business,you have to understand the local market “ Developers wengi mnaiga kila kitu kutoka abroad, mnataka kufanya wanavyofanya New york,Beijing,London,Dubai nk na nyie pia mfanye Dar es salaam (Tanzania) 😄🙌🏿you won’t succeed I can guarantee that. Hapa hapa Tanzania tu real estate activities zinavyofanyika Dar es salaam ni tofauti na zinavyofanyika mikoa mingine😄. Alafu nyie mnataka kufanya kama wanavyofanya Beijing na marekani huko🤔. I really wonder even NHC kama master wa real estate Tanzania nao wanategemea diasporas kama main clients wao😄. Kwenye hili wamefanikiwa Dubai tu ndio main clients wao kwenye real estate sector yao ni foreigners. Yote ni kwasababu wana sera nzuri na sheria nzuri zinazowezesha hayo yote. Nyumba,spaces na Appartments nyingi za maeneo mbali mbali nchini hasa dar es salaam zimekosa wateja kwasababu mnataka kufanya kama wanavyofanya wazungu. Bei mnaweka kubwa kama vile hamjui uchumi wa watanzania,vyumba vidogo kama vile hamjui utamaduni wa nyumba za watanzania. Asili ya mtanzania ni apange kwa Muda baada ya muda ajenge nyumba yake sio kununua apartment, tena apartment hazina hata nafasi hata ukitokea msiba hana pakuweka ..? Alafu hiyo hiyo apartment umuuzie kwa milioni 600 😄..? Ndio maana nasema mnajenga kwaajili ya diasporas na foreigners na sio watanzania. Baadhi ya developers (waendelezaji milki)wazawa na wao wameanza kuwaiga foreign developers 😄 kwenye namna wanavyofanya hapa nchini kwenye ujengaji,uuzaji na upangishaji wa apartments, msiwaige wachina wao soko lao linategemea wachina wenzao ambao wako wengi nchini wanaweza kukidhi soko lao kwa kiasi fulani. Kabla hujafanya uwekezaji mahali popote ni vema ukaelewa mila na desturi,utamaduni na hali ya uchumi wa wateja wako katika soko husika. Nawakumbusha “The problem with real estate is that,it’s a local business so you have to understand the local market “. Mkiendelea kuiga kama wanavyofanya wazungu mtakosa wateja wa kununua hizo nyumba zenu badala yake mtazigeuza nyumba zenu na kufanya Airbnb ambayo ni biashara ya msimu inayokuwa kwa kasi nchini😄. Imeandikwa na; Thom Mnkondya (Mpima ardhi,mshauri na mtaalam wa masuala ya ardhi kutoka LAPEX GROUP) 0744336336 – at Dar es Salaam, Tanzania
20
76
8
273
41,207
Christian Paul Kolonel retweeted
Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu. — 2 Wakorintho 1: 3-4
7
20
48
3,040
Christian Paul Kolonel retweeted
Endo is yet to lose a game he has started in the Premier League: ▪️ 9 wins ▪️ 3 draws ▪️ 0 losses That $20M fee is starting to look like a bargain 🧠
315
2,723
198
47,645
1,834,404
Christian Paul Kolonel retweeted
Wasanii wa sarakasi kutoka Tanzania Ibrahim na Fadhili Ramadhan wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers wamereja Tanzania leo March 08,2024 wakitokea Marekani ambako hivi karibuni walishinda katika mashindano ya kusaka vipaji ya ‘America’s Got Talent Fantasy League’ na kujinyakulia $250,000 (Tsh milioni 637.5) pamoja na tuzo. Wasanii hao ambao wamepokelewa na Viongozi mbalimbali kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na BASATA, wametua Uwanja wa Ndege wa Mwl. JK Nyerere Dar es salaam ambapo ndege waliyosafiri nao imemwagiwa maji ( water salute ) ikiwa ni ishara ya heshima kwa Wasanii hao kwa kuiheshimisha na kuitangaza Tanzania. Mashindano ya ‘America’s Got Talent’ yalianza rasmi mwaka 2006 ambapo dhamira yao kubwa ilikuwa ni kusaka vipaji kwenye nyanja mbalimbali Marekani kabla ya baadaye kupanua wigo na kuvisaka vipaji vya maeneo mbalimbali Duniani ambapo kwa mwaka huu 2024 mashindano hayo yamefanyika kwa utofauti kidogo kutokana na Majaji kupewa nafasi ya kuwarudisha Washiriki waliopita katika misimu iliyopita kisha kuwapatia nafasi ya kushindanishwa upya ili kuwania kitita cha $250,000 pamoja na tuzo. Ramadhani Brothers ambao walishiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza mwaka 2023 kwenye msimu wa 18 wa America’s Got Talent na kushika nafasi ya 5, wamewahi pia kushiriki mashindano mengine ya kimataifa katika Nchi za Ujerumani, Slovakia, Ufaransa , Australia pamoja na Marekani. #MillardAyoUPDATES
111
80
9
2,577
149,153
Christian Paul Kolonel retweeted
#Naomba Repost Dear❤️🙏 27,000/= 0714336827 #MIKOA YOTE NATUMA
18
203
6
218
14,586