Mr Stan (@KapsJr) header
Mr Stan (@KapsJr) profile picture

A servant of Jesus/Preacher/A student of Bible/A mass communicator

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2019
Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)Photo by Mr Stan (@KapsJr)
Kila mmoja wetu anajaribiwa kulingana na kiwango cha imani yake
5
12
42
627
Warumi 5:1 Basi tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na mwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo,
1
2
70
1
3
20
1,242
Maono ndiyo huseti standard ya mke siyo mapenzi. Kila mwenye maono anajua mke anayatekiwa kuishi naye. Maono siyo picha ya mipango. Hakuna mwenye maono anayeshindwa kuchagua mke sahihi. Vision dictates criteria. Maono huamia vigezo. [Haimanishi watu hawabadiliki wanaweza kubadilika ila si kwa sababu umekosea, bali wameamua kubadilika].
1
6
40
1,279
Waebrania 11:39-40 [39]Na watu hao wote wakiisha kushuhudiwa kwa sababu ya imani yao, hawakuipokea ahadi; [40]kwa kuwa Mungu alikuwa ametangulia kutuwekea sisi kitu kilicho bora, ili wao wasikamilishwe pasipo sisi.
1
2
52
#TOba Mathayo 3:8 Basi zaeni matunda yapasayo toba;
1
4
13
102
Replying to @KapsJr
Tuwe makini sana, haya hatuwezi kuyaepuka katika ulimwengu huu
1
1
1
27
Unajua kuna watu wanafikiria madhehebu ndo Kanisa la Mungu. Hapana. Kanisa la Mungu si mfumo wa mwanadamu. Ni idadi ya watakatifu popote walipo. Ambapo wamepata msamaha wa dhambi kwa kuamini kazi ya Yesu msalabani. Pili wanakulia wokovu kwa kufuata Biblia. Inawezekana wana mapungufu/bado hawajaelewa vitu fulani ila wapo kwenye mchakato wa kukua na kumfuata Yesu. Hao ndo watakatifu ambao Mungu anawangalia Duniani ndo Kanisa la Mungu. Sio lazima iwe watu waliokusanyika kwenye jengo moja/wapo kwenye dhehebu moja/mfumo fulani wa kiimani. Soma Biblia nzima hutopata. Kanisa linatajwa kwa vigezo na sifa. Kusanyiko la wazaliwa wa kwanza siyo mfumo wenye watu fulani.
1
13
1
42
795
𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈 "𝟏𝟐" 𝐙𝐀 𝐈𝐍𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈 Injili ni habari njema kwamba Mungu aliupenda ulimwengu, akamtoa Mwanawe Yesu Kristo kwa ajili ya dhambi zetu, ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele (Yohana 3:16; 1 Wakor. 15:1–4). Zifuatazo ni KWELI kumi na mbili (12) za Injili ya kweli: 𝟏. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐢𝐧𝐚𝐰𝐚𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮: Yesu alisema, “Roho wa Bwana yu juu yangu… amenituma… kuwatangazia wafungwa kufunguliwa” (Luka 4:18). 📌 Injili ya kweli haiwafungi watu; bali huvunja kila nira na kuondoa utumwa wa dhambi. 𝟐. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐭𝐮 𝐤𝐮𝐳𝐚𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐮𝐩𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐍𝐞𝐧𝐨 𝐧𝐚 𝐑𝐨𝐡𝐨: Mtu huzaliwa upya kwa Neno la Mungu na kwa Roho Mtakatifu (Yohana 3:5–8; 1 Petro 1:23). 📌 Injili ya kweli haibadilishi tabia kwa juu juu tu; hubadilisha maisha kutoka ndani. 𝟑. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐧𝐢 𝐮𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐰𝐚 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐮𝐥𝐞𝐭𝐚𝐨 𝐰𝐨𝐤𝐨𝐯𝐮: Paulo alisema, “Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu” kwa kila aaminie (Warumi 1:16). 📌 Injili ya kweli si maneno matupu; ni nguvu ya Mungu ya kuokoa. 𝟒. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐡𝐚𝐝𝐡𝐢 (𝐬𝐭𝐚𝐭𝐮𝐬) 𝐲𝐚 𝐦𝐭𝐮: Ndani ya Kristo tunafanywa uzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu (1 Petro 2:9–10). 📌 Injili ya kweli humtoa mtu gizani na kumuingiza katika utambulisho mpya ndani ya Kristo… Balozi wa Yesu! 𝟓. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐨𝐧𝐝𝐨𝐚 𝐡𝐨𝐟𝐮 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐟𝐨: Yesu alimshinda Shetani aliyekuwa na nguvu za mauti na kuwaweka huru wale waliokuwa utumwani kwa hofu ya kifo (Waebr. 2:14–15). 📌 Injili ya kweli haileti hofu; bali huleta ujasiri, ushindi na uhakika wa maisha ya sasa na yajayo. 𝟔. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐩𝐨𝐧𝐲𝐚 𝐦𝐰𝐢𝐥𝐢, 𝐧𝐚𝐟𝐬𝐢, 𝐧𝐚 𝐫𝐨𝐡𝐨: Yesu alizunguka huku na kule akitenda mema na kuwaponya watu (Matendo 10:38); Injili pia hubeba uponyaji na urejesho wa nafsi (Zaburi 103:2–3). 📌 Injili ya kweli huponya maisha kwa ujumla wake. 𝟕. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐲𝐞𝐢𝐩𝐨𝐤𝐞𝐚: Kulikuwa na furaha kubwa kwa watu walio-hubiriwa na kumpokea Kristo (Matendo 8:5–8). Towashi wa Kushi alipoamini, aliendelea na safari yake akiwa amejaa furaha (Matendo 8:39). 📌 Injili ya kweli huleta furaha, si mzigo wa dini tupu. 𝟖. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐦𝐰𝐢𝐧𝐮𝐚 𝐘𝐞𝐬𝐮 𝐊𝐫𝐢𝐬𝐭𝐨 𝐩𝐞𝐤𝐞 𝐲𝐚𝐤𝐞: Paulo alikemea roho ya kuwainua Watumishi: wengine wakasema, “Mimi ni wa Paulo… mimi ni wa Kefa” na akawauliza, “Je, Paulo alisulubiwa kwa ajili yenu?” (1 Wakor. 1:12–13). 📌 Injili ya kweli humtangaza na kumsifu Yesu Kristo, si mtumishi aliyeihubiri. 𝟗. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐮𝐡𝐮𝐫𝐮: Yesu alisema, “Mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka huru” (Yohana 8:32). 📌 Kweli ya Kristo ikihubiriwa, hukata minyororo ya hatia ya dhambi, laana zinaondoka, na tunakuwa na uhuru na ujasiri kwa kumkaribia Mungu. 𝟏𝟎. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐦𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐚 𝐘𝐞𝐬𝐮 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐣𝐢𝐚 𝐩𝐞𝐤𝐞𝐞 𝐲𝐚 𝐰𝐨𝐤𝐨𝐯𝐮: Yesu alisema, “Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima” (Yohana 14:6). Biblia pia inasema, “Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote” (Matendo 4:12). 📌 Injili ya kweli haitoi njia mbadala; humtangaza Yesu Kristo peke yake. 𝟏𝟏. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐚𝐢𝐩𝐢𝐧𝐠𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐍𝐞𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮: Yesu akasema, “Watakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli” (Yohana 17:17). 📌 Injili ya kweli haiendi kinyume na Maandiko; bali husimama juu ya msingi wa kweli ya Neno la Mungu. 𝟏𝟐. 𝐈𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐚𝐢𝐮𝐳𝐰𝐢: Yesu alisema, “Mmepewa bure, toeni bure” (Mathayo 10:8). Paulo alisema, “Hatufanyi biashara ya neno la Mungu” (2 Wakor. 2:17). 📌 Injili ya kweli si bidhaa ya kuuzwa; bali ni neema ya Mungu inayo-tolewa bure. 𝐇𝐄𝐁𝐔 𝐓𝐔𝐇𝐔𝐁𝐈𝐑𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐈𝐍𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐘𝐄𝐒𝐔 𝐊𝐑𝐈𝐒𝐓𝐎!! Reve,Dr Nzogere.
6
15
33
796
Replying to @KapsJr
Kabisa, Shetani anajua hili, ndio maana kuna uzito mkubwa kwenye haya
1
1
33
Replying to @KapsJr
Kabisa, Mungu hatabiriki atatujia kwa njia ipi, muhimu ni kukaa kwake siku zote.
1
1
36
Replying to @KapsJr
Naona Roho Mtakatifu yupo kazini juu ya eneo hili, muda mchache uliopita jambo hili limekuja moyoni na kuandika ujumbe mfupi.
1
1
5
51
Magumu unayokutana nayo yanakuandaa kuwa mtu bora zaidi ya ulivyo, usikatishwe tamaa na hali ngumu na kuona wale wanaofurahia maisha wamependelewa sana kuliko wewe. Watu wote mashuhuri kwenye biblia walipitia nyakati ngumu.
1
5
26
287
Mr Stan retweeted
Hakuna kitu kigumu kama kumconvince kijana, haya maisha ni mafupi mno, Mostly sio kwamba ni kiburi! they just don't see. 20 yrs ago Baba yako was just like you, lakini sasa mvi tele, mind you 20 yrs back sio kwamba hukuepo ulikuepo and possibly hata unakumbuka vitu vya miaka hio
2
3
4
98
Kukaa kwenye maombi muda mrefu huchakata mwili ndipo uwepo wa Mungu huanza kupenya ndani. Kuna kitu kingine huanza kutokea ni kuona uhalisia wa Mungu na mbinguni. Ile connectivity na sura ya Mungu. Tatu, ni kujiona unahama, ile state ya kutembea katika ulimwengu wa roho.
Replying to @EliabuDanford
Vipi ukiwa kwenye maombi kuanzia two hours? Huwa unajisikia uko wapi?
1
1
29
651
Girls, vijana wenye maono makubwa are very boring guys. Intrinsic in nature. They internalize everything. Wanaongea ndani kwa ndani. They get a big room inside when they enter, they think and talk inwardly, people outside don't understand them. Less talkative. Know what you're
2
10
1
67
1,892
Mr Stan retweeted
Roho yule wa kweli, ndio analihuisha neno la kristo unapolisema kwa watu linageuka kuwa kitu ambacho kina uhai kamili kama wewe tu ulivyo hai Wanafunzi wa Yesu baada ya kuachwa na Yesu walikua na neno ndani yao lakini lilihitaji aje Roho ili neno hilo ndani yao liwe hai,👇🏽
1
1
3
57
Replying to @KapsJr
Wanafunzi wa Yesu waliomba kuongezewa imani, hata sisi tunapaswa kuomba kuongezewa, na tunapaswa kulijaza neno la Mungu mioyoni mwetu. Neno na mafundisho sahihi ya neno yanajenga imani sahihi na imara.
2
5
21
283
Changamoto nyingine inayotukuta watumishi ni pale unapoombea mtu, Roho Mtakatifu anakwambia jambo limeisha rohoni uliyemuombea anasubiria kesho kutwa/wiki ijayo. Unaweza kujibiwa Januari madhihirisho ya majibu[kutokea katika mwili] yakaja July. Unakuta mtu anahangaika na
4
3
18
665
Free homeboy Kiduku aka Ofsa Ngiri now!
4
7
411