Pinned Tweet
Maybe not today, maybe not tomorrow, and maybe not the next month. But only one thing is true, I will be a champion one day. I promise.
π£οΈ Brandon Moreno
Kilo-Volt retweeted
Replying to @mateomwakimi
@mateomwakimi mdogo wangu hii jela unaitafuta kwa udi na uvumba nakuambia. Jina umelichafua ngazi ya Taifa
Mtandao wenu una wanawake wabovu saaaana. Na wana ujasiri hujawahi kuona.
Sio hawataki urembo uonekane, hawana kabisaaa huo urembo.
Ndio maana kina Yoro, Lipumba, Makengeza na Cha umbea wanatamba kila siku.
Kilo-Volt retweeted
Mtasema ni malezi mabovu kizazi hiki kumbe mungu baba kaishiwa material na umri umeenda huko mbinguni hawezi tena kuumba anafanya kusampo tu.
Kilo-Volt retweeted
Nimeshtuka sana kujua kuwa maisha ni imani yaani kila kitu tunachofanya ni Imani maana yake ni kuwa tupo sehemu tumechill hatujaanza kuishi maisha yenyewe
Kilo-Volt retweeted
Naomba Repost Yako πβ€
SAA ZA LONGBO AUTOMATIC YAANI HAZITUMII BETRI,HAZIINGII MAJI,HAZIPAUKI QUALITY NI NZURI MNO KULIKO PICHAππΎππΎ
Tsh.75000
β0752777167
πMwananyamala popote Tanzania nakutumia
Kilo-Volt retweeted
Ladies & Gentlemen
Karibuni COS_EVENTS ,event planner wa matukio mbalimbali kama
Weddings
Baby Shower
Kitchen party
Graduation etc
πDon Bosco,Namanga Dar -es Salaam
βοΈ +255(717 397733
KARIBUNI SANA
Kilo-Volt retweeted
Hakuna mwanamke ambae hataki urembo wake watu wauone. Ukiona mwanamke kaamua kua faceless humu Twitter, just know that she is ugly.
Kilo-Volt retweeted
Mwanamke alieniambia nipunguze pombe ameniacha kisa j2 nililewa nikapitiwa na usingizi sijapokea simu yake basi kajua nmemcheat moyo wangu unauma mnoo nmejitetea lakini wapi hata uchumi wangu haufanyi kazi tena inaniuma sana.
Kilo-Volt retweeted
Sijui nazeeka in reverse? Nilikuwa napenda kupiga mapombe na story na watu wa rika langu
Sasa hivi Nikipata muda ni kucheza magemu tu
Kilo-Volt retweeted
Sisi wanaume tunatabia ya kudanganyana tumetomba demu fulani ili pia tuonekane tupo kwenye game.























