𝖅𝖊𝖉 retweeted
Mnaweza mkapendana sana lakini mkashindwa kuishi pamoja sababu ya wivu,chuki, na mamlaka (kutaka kuwa juu ya mwengine/kutotaka kujishusha).
Mnaweza mkawa hampendani na mkaishi pamoja mpaka ndoa na mkawa na watoto sababu hakuna mwenye wivu,chuki na mkafaulu kuigiziana.
𝖅𝖊𝖉 retweeted
Kuna dada nilimbeba kwenye pikipiki kaniambia“hakuna mwanamke atakuvumilia ukiwa huna hela ila ata kuektia tu kwa muda akisubiri basi la hela limchukue”
Nimerudi geto bado nawaza hii kauli.🤔
𝖅𝖊𝖉 retweeted
29.10.2026..Ni mwaka mmoja sasa toka nipoteze furaha,Utashi mzuri wa kufikiri,Hasira za hapa na pale,Kilio na kicheko visivyo na maana🙏.
𝖅𝖊𝖉 retweeted
Nimeutembelea mji wote wa kiserikali, nimeingia majengo kadhaa na kukagua vibali vya ujenzi ili kuwajua wadau waliohusika kuanzia usanifu na ujenzi.Sema yote kwa yote, thamani ya pesa tuliyoweka hapa inaonekana. 💪🏿
𝖅𝖊𝖉 retweeted
Top 10 African Countries with the most beautiful women
1. Ethiopia
2. Cape Verde
3. Tanzania
4. South Africa
5. Somalia
6. Uganda
7. Rwanda
8. Namibia
9. Eritrea
10. Kenya
𝖅𝖊𝖉 retweeted
Yupo Mungu mbinguni
Ayajibuye maombi yetu
Tunapoomba anajibu
Tunapoomba asikia maombi yetu
Tunapoomba asikia anajibu
usikiaye maombi, ujibuye kwa moto
Bwana mwaminifu
Mwaka mmoja umepita, lakini kwa wengi maumivu bado yapo,
Kwa wote waliopoteza wapendwa wao, msikate tamaa,
Mungu awape nguvu na faraja. Tuendelee kuthaminiana na kupendana, maana maisha ni mafupi na kila muda ni zawadi,
Hatutawasahau waliotutangulia tutawakumbuka daima 🏝️😔
Mwaka mmoja umepita, lakini kwa wengi maumivu bado yapo,
Kwa wote waliopoteza wapendwa wao, msikate tamaa,
Mungu awape nguvu na faraja. Tuendelee kuthaminiana na kupendana, maana maisha ni mafupi na kila muda ni zawadi,
Hatutawasahau waliotutangulia tutawakumbuka daima 🏝️😔
𝖅𝖊𝖉 retweeted
Oct 29 - Tunawaenzi wote waliopoteza maisha kwenye uchaguzi wa mwaka jana. Mungu awarehemu, familia zao awatie nguvu. Pumzikeni kwa amani. 🕊️

























