
Placing Vulnerable Community Matters at Heart. #ChangeTanzania #LetLoveLead #LoveEveryone #TrustOnlyGOD #SimbaSCFan #ManCityFan #ChelseaFan
East Africa, Tanzania
Joined August 2013
- Tweets8K
- Following768
- Followers2.2K
- Likes8.5K
Lynn retweeted
Things you don't need for fat loss:
• Keto
• OMAD
• Fasting
• Fat burners
• Waist trainers
• Endless cardio
• Intermittent fasting
Things you need:
• Sleep
• Water
• Discipline
• Consistency
• High protein
• Calorie deficit
• Lifting weights
• Daily movement
Lynn retweeted
Kama sehemu ya mkakati wa kudhibiti uhalifu wa mitandao, kuanzia sasa namba 100 pekee itatumika katika mawasiliano kati ya wateja na makampuni ya simu na sio namba za kawaida. Wananchi tuepuke kutoa ushirikiano kwa simu za huduma kwa wateja kupitia namba za kawaida
@TCRA_Tz
Lynn retweeted
Prof. Janabi awashauri wananchi kujenga mazoea ya kupima afya zao mara kwa mara ili kufahamu kama wana magonjwa ya moyo au la na kama wanamatatizo wataweza kupata matiba mapema kabla ya tatizo kuwa kubwa na kama hawana itawasaidia kujikinga ili wasipate magonjwa hayo.
Lynn retweeted
Angalia fukwe🏖️ hii nchini #Tanzania ilivyosafi kutokana na ubunifu huu wa samaki wa wavu wa chuma uliotengwa kwa ajili ya kutupa taka za plastiki.
Huu ni mfano mzuri sana wa #BeatPlasticPollution: https://nitter.gq/t.co/4ZPSM4SuGK
📸Fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam I
@fredynjeje
Lynn retweeted
#SaragossaFitness ipo wazi kwa utaratibu huu:
⏰Jumatatu-Ijumaa (saa 11.30asubuhi-saa 4 usiku)
⏰Jumamosi (saa11:30asubuhi-saa 2 usiku)
⏰Jumapili (Inafungwa)
⏰Sikukuu (saa 2 asubuhi-saa 8 mchana)
🤩Walimu wapo toka asubuhi mpaka usiku saa 4 kukusaidia bila gharama ya ziada 🙏.
Lynn retweeted
Chai ya #tangawizi, #mchaichai, #pilipilimanga na maji ya detox yaliyochanganywa na matango🥒 au strawberry 🍓, limao 🍋 na mint 🥬hutolewa BURE kwa wanachama. #smoothies na #squeezed juice za matunda/mboga zinauzwa na kutengenezwa hapohapo. #karibu #jipende #afyayakomtajiwako
Lynn retweeted
Matumizi ya #steppermachine husaidia kuimarisha misuli sehemu ya chini ya mwili (kuanzia kiunoni, mapaja, miguu). Zoezi hili likifanyika vizuri husaidia pia kuimarisha misuli sehemu za tumbo na kuimairisha mfumo mzima wa upumuaji (cardio system). #karibu #saragossafitness 😎💪🏼👊🏼
Lynn retweeted
#jumatatu ni siku inayokuwekea malengo mazuri ya wiki mpya inayoanza! Hauhitaji kusubiri kuweka malengo mpaka mwaka mpya unapofika 🤪 Tuendelee kuhamasishana kwa kufanya mazoezi na kujali afya zetu 🤗 #AfyaYakoMtajiWako 💪🏼 #jithamini #jipende #jilinde #karibu #saragossafitness😎
Lynn retweeted
Twitter Republic of #Tanzania stands with our Naija brethren 👊🏽 🇳🇬
#June12thProtest #KeepItOn
#Tanzania stand up ✊🏽
Lynn retweeted
Meet the 12-year-old who graduated high school and college — in the same week. nbcnews.to/2U4dzEo
Lynn retweeted
#Elimika ✍ #BackExtensionExercise ni zoezi linalohusisha misuli ya mgongo, linasaidia kunyoosha na kuimarisha uti wa mgongo. Zoezi hili pia ni zuri sana kwa wale wanaokaa muda mrefu maofisini na wanaotumia zaidi magari kwenye mizunguko. #Karibu #SaragossaFitness
Lynn retweeted
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rufiji Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Onesmo Lyanga amehamishwa kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto ambaye anastaafu.
#KitengeUpdates

























