
Fitness and Health Matters #Jithamini #Jipende #JaliAfyaYako #AfyaYakoMtajiWako Mob:0713-656949 or 0774-293379
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2021
- Tweets23
- Following32
- Followers14
- Likes12
Pinned Tweet
#SaragossaFitnessCenter ni kituo cha mazoezi kilichopo Mbweni, DSM. Wakazi wa Ununio, Boko, Bunju, Mabwepande na Mbweni wanakaribishwa kutembelea kituo kwa ajili ya kupata taarifa zaidi.
Just posted a video @ Mbweni, Dar Es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CinxM4qJni6/… – at Dar es Salaam, Tanzania
Just posted a video @ Mbweni, Dar Es Salaam, Tanzania instagram.com/p/Cim0WoDJxQO/… – at Dar es Salaam, Tanzania
Chai ya #tangawizi, #mchaichai, #pilipilimanga na maji ya detox yaliyochanganywa na matango🥒 au strawberry 🍓, limao 🍋 na mint 🥬hutolewa BURE kwa wanachama. #smoothies na #squeezed juice za matunda/mboga zinauzwa na kutengenezwa hapohapo. #karibu #jipende #afyayakomtajiwako
#SaragossaFitness ipo wazi kwa utaratibu huu:
⏰Jumatatu-Ijumaa (saa 11.30asubuhi-saa 4 usiku)
⏰Jumamosi (saa11:30asubuhi-saa 2 usiku)
⏰Jumapili (Inafungwa)
⏰Sikukuu (saa 2 asubuhi-saa 8 mchana)
🤩Walimu wapo toka asubuhi mpaka usiku saa 4 kukusaidia bila gharama ya ziada 🙏.
Matumizi ya #steppermachine husaidia kuimarisha misuli sehemu ya chini ya mwili (kuanzia kiunoni, mapaja, miguu). Zoezi hili likifanyika vizuri husaidia pia kuimarisha misuli sehemu za tumbo na kuimairisha mfumo mzima wa upumuaji (cardio system). #karibu #saragossafitness 😎💪🏼👊🏼
#jumatatu ni siku inayokuwekea malengo mazuri ya wiki mpya inayoanza! Hauhitaji kusubiri kuweka malengo mpaka mwaka mpya unapofika 🤪 Tuendelee kuhamasishana kwa kufanya mazoezi na kujali afya zetu 🤗 #AfyaYakoMtajiWako 💪🏼 #jithamini #jipende #jilinde #karibu #saragossafitness😎
SaragossaFitnessCentre retweeted
Watu wa uzunguni kwetu kule kusiko na joto 😍😍😍 jambo letu hili – at Dar es Salaam, Tanzania
#SaragossaFitnessCenter ni kituo cha mazoezi kilichopo Mbweni, DSM. Wakazi wa Ununio, Boko, Bunju, Mabwepande na Mbweni wanakaribishwa kutembelea kituo kwa ajili ya kupata taarifa zaidi.
SaragossaFitnessCentre retweeted
UKWAJU: Unajua juisi ya ukwaju ni kinywaji kizuri kwa kinga ya mwili. Pia husaidia kupunguza uzito na hatari ya magonjwa ya kisukari, moyo, kansa na kukosa choo.
Pia huimarisha mfumo wa neva, huzalisha seli za ubongo na kupunguza michirizi kwenye ngozi.
#tubongelishe
#lateralshuffle linasaidia zaidi kujenga na kuimarisha misuli kuanzia sehemu ya kiuno mpaka chini kwenye mapaja,miguu. Zoezi linakujengea wepesi kwenye viungo vyako ili uweze kufanya mazoezi vizuri zaidi. Wacheza Tennis 🎾,mpira wa miguu ⚽ au kikapu 🏀 hupendelea hili zoezi pia.
#Elimika ✍ #SpinnningBike inasaidia kuimarisha afya kwa ujumla.Aina hii ya baiskeli inasaidia kuimarisha misuli kwenye mapaja, miguu, tumbo, hips, na mabega. Mazoezi kwenye kifaa hiki yanasaidia kuchoma mafuta kwa haraka na kupelekea kupungua uzito.#SaragossaFitness #Tunakujali
SaragossaFitnessCentre retweeted
Replying to @_TanzaniaYetu @franklin_tissa @kipepe123 @babalao__ @BaloziMtaa @sonnino123 @afyamedia @chapo255 @ManenoIzaak
Mazoezi ni muhimu sana kwa afya yako
SaragossaFitnessCentre retweeted
Unywaji wa pombe huufanya mwili upoteze kiasi kikubwa cha folate ambayo hushirikiana na Vitamin C pamoja na Vitamin B12 katika kutengeneza protini mpya,kuzitumia pamoja na kuzivunja vunja. Spinach ni mboga nzuri kwa wanywaji wa pombe, huwa na folate nyingi kufidia upotevu huo!
#Elimika ✍ #AerobicDance #exercise ni aina ya zoezi kwenye kundi la #Cardioworkouts -- zoezi kama hili husaidia kuchoma mafuta yasiyohitajika mwilini pamoja na kuimarisha baadhi ya misuli ya mwili. Ni zoezi zuri linaloburudisha. #JaliAfyaYako #Jipende #Karibu #SaragossaFitness
#Elimika ✍ Mafanikio yanaonekana kwa wale wanaoweka juhudi katika kuyatafuta. Tuendelee kuhamasishana katika mazoezi na tufanye angalau mara tatu kwa wiki. #AfyaYakoMtajiWako #Karibu #SaragossaFitness #MbweniDSMTZ
#Elimika ✍ #Planks -- Zoezi hili lina faida nyingi kwenye mwili wako. Zoezi hili linasaidia kuimarisha misuli kwenye sehemu tofauti za mwili, haswa kwenye maeneo ya mikono, tumbo na miguu. #Karibu #SaragosssaFitness #MbweniDSMTZ
#Elimika ✍ #BackExtensionExercise ni zoezi linalohusisha misuli ya mgongo, linasaidia kunyoosha na kuimarisha uti wa mgongo. Zoezi hili pia ni zuri sana kwa wale wanaokaa muda mrefu maofisini na wanaotumia zaidi magari kwenye mizunguko. #Karibu #SaragossaFitness
#Elimika ✍ #ElipticalMachine au #CrossTrainer ni salama kwa magoti yako. Aliye na maumivu ya miguu akitumia mashine hii atakuwa amefanya zoezi sawa na aliyefanya zoezi la kukimbia kawaida. Imarisha misuli kwenye miguu na mikono kwa kutumia mashine hii. #Karibu #SaragossaFitness
#Kickboxing ni zoezi zuri linalokuwezesha kuimarisha nguvu za mwili wako, pamoja na afya kwa ujumla. Zoezi hili ukilifanya vizuri linasaidia pia kuchoma mafuta yasiyotakiwa mwilini. #Karibu #SaragossaFitness #MbweniDSMTZ








