
| SouthPaw| Left-handed | Libertad o nada. | |Patria o muerte.| MtAnGaNyIKa🚩 oct 29| #TeamManU
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2013
- Tweets7.1K
- Following2.9K
- Followers1.6K
- Likes9.1K
Master of whispers 🤗 retweeted
SIKU MOJA TUTAULIZANA VYEMA ILIKUWAJE USHINDI WA 98% NA HAKUKUWA NA UCHAGUZI.
KURA 30+ Million zilihesabiwaje siku 2 bila internet na kwanini Wapiga kura 30+ M hawakupata nafasi ya kuhudhuria uapisho wa kipenzi chao.
TUTAFIKA TU.
Master of whispers 🤗 retweeted
ÀLIYEPIGWA Risasi zaidi ya 16 makao makuu ya Nchi Dodoma, NDIYE kaenda jela kwa kuvunja sheria kwa sababu ya UCHOCHEZI! Aliyedai mageuzi kabla ya Uchaguzi mkuu kakaa jela siku 577 kwa kesi ya kubumba na bado kala miaka minne! Rostam alikuwa mbele sana ya muda!😅😅😅
Master of whispers 🤗 retweeted
NITAHANGAIKA KWA WAGANGA WE MSENGE SAMIA UFE...KUMA WEWE, hii nchi sio ya ukoo wenu kuma la bibi yako
Master of whispers 🤗 retweeted
Hakuna mgao wa kipande cha keki ya maridhiano kwenye sahani yenye damu.
Master of whispers 🤗 retweeted
Kama uchaguzi ulivurugwa kwa sababu ya uchochezi; mshindi alipataje 98%?
Mchochezi alivurugwa vipi na hizo asilimia (%) zilitoka wapi?
Shame on you Judiciary.
Master of whispers 🤗 retweeted
TAL!
Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts,
akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!,
akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana!
Akasema let me speak my mind!
Master of whispers 🤗 retweeted
Uchaguzi haukufanyika kwa SABABU ya UCHOCHEZI wa LISSU; Sasa turnout ya Wapiga Kura ya 90% iliyotoa Wapiga Kura MILIONI 32 na kuleta USHINDI wa 98% ilitoka WAPI? na kama UCHAGUZI haukufanyika, Rais, Wabunge na Madiwani wamepatikanaje? Duh, nchi zingine hii KAULI balaa
Master of whispers 🤗 retweeted
Print weka nyumbani weka unakoona panafaa tabasamu jema la mtu mwema
Aliyeshinda Risasi
Anayeandaliwa na Mungu
Kama Mungu aishivyo
Master of whispers 🤗 retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA!
Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka.
Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo.
Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua).
Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja.
Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee.
Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA.
Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani.
Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu.
UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA!
BAK MWABUKUSI
Master of whispers 🤗 retweeted
Nchi Hii Iliwahi Kuwa na Wapinzani wa Kweli WAWILI Tu:
1). Tundu Lisu
2). Christopher Mtikila
Source: Mzee Nyashebo!
Master of whispers 🤗 retweeted
Tanzania High Court's ruling acquitting comrade Tundu Lissu of the politically motivated treason charges is a victory against the ultimate weapon of state intimidation. The Tanzanian regime tried to threaten him with the death penalty simply for demanding free, fair, and transparent electoral reforms but failed to prove its malicious claims because truth cannot be hidden by judicial overreach.
However, the decision to convict him on the engineered, lesser charge of "incitement" and to sentence him to four years in prison is a glaring reminder of how autocrats weaponize the judiciary to silence legitimate opposition. Convicting him for his rightful defense of democracy - his call for "No Reforms, No Election" - proves that the state manufactured an offense purely to keep a powerful voice of the people locked away.
From Kampala to Dar es Salaam, our struggle against generational dictatorships and electoral autocracy remains unified. A cage can restrain bodies, but it can never imprison the spirit of freedom ignited across the region.
We stand with you, Chadema, and with you the great people of Tanzania, in rejecting the ongoing persecution. Aluta Continua!
Master of whispers 🤗 retweeted
PRESS STATEMENT | 06 November 2026
“Tundu Lissu’s Acquittal must be followed by his immediate release.”
Master of whispers 🤗 retweeted
Tundu Lissu was charged with treason. He has been convicted on a charge he was never tried for, Incitement.
Tanzania is crazy. I appeal to my President, @WilliamsRuto, to mediate and ask for the release of Tundu Lissu before he leaves Mwanza for Nairobi.
@SingoeiAKorir























