Mbeya Buses (@Mbeya_Buses) profile picture

Home of all Mbeya Buses and Upcountry Buses

Mbeya, Tanzania
Joined May 2022
Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)Photo by Mbeya Buses (@Mbeya_Buses)
Achimwene safari Dar | Mbeya | Chunya | Makongolosi Saa 7 Mchana
12
327
Man Times Sumbawanga | Mbeya | Songea Saa 12 Asubuhi Mwamba kaona isiwe kesi ngoja asogee pande za "Bombi hii ..Nyumbi hii" 🫡
3
7
310
Mkali kaamua kucheza na gape la Sajda kiaina..! 😁 Baraka Classic Mbeya | Masasi Saa 11 Alfajiri - Mbeya Saa 12 Asubuhi - Masasi Tarehe 24/06/ 2026
3
1
11
781
Tukuyu Luxury Kyela | Mbeya | Sumbawanga Saa 12 Asubuhi
1
6
1,307
Kyela - Dar 📍Stend Kyela 😂😂 kuna watu watatembea body #NewsongoExpress 13:30 #NewSongoExpress 14:00 #Newforce 15:00 #ABCUpperClass 15:00 #KyelaExpress 16:30 nitter.gq/SouthernBuses/status/2…
1
1
17
1,047
Mbeya Buses retweeted
Huu utapeli wa #Achimwenebus na anaita VIP tunalipia 65k Dar~Mbeya Bus imechoka seat zimechanika drinks kit zimekatika,bus linapiga kelele chini shockup za mazoezi🙌 @TBoundBuses
16
12
7
107
19,256
#NyasaLuxury Dar-es-Salaam || Tunduma Dar-es-Salaam || Mbeya
7
48
1,440
Mwamba anahakikisha kila sehem alipokuwa NF anapeleka Chuma ...Bado Swax tu 😃😃
3
93
Mbeya Buses retweeted
Nyasa luxury Iriza i6 MAN
3
4
71
3,930
Haya sasa Twenzetu Geita chap chap na Mzee wa Route Dume ...#PremierLine 🫡 Premier Line Mbeya | Geita via Dom Saa 2 Asubuhi Coming soon Kwenye zile route zangu dume nilizosema wakurugenzi waweke gari imebaki Mbeya Bukoba tu ..tumalize show 😁😁
2
9
375
#PremierLine Coming soon Geita || Mbeya 🔥🔥 Ubunifu chini ya usimamizi wa @Canmaster_Oog
4
3
1
56
1,602
Mbeya Buses retweeted
Tiketi za BLUE STAR DAR TARIME DAR SWAX Ni hapo kwa @TBoundBuses
1
4
1
22
1,514
SuperRojas Mbeya | Njombe Route ya Mbeya to Njombe huyu jamaa anakamia saana ..vyuma vya kutosha 🫡🫡
6
173
🚨NEW TIME TABLE🚨 #AchimweneSafari Makangolosi || Dar saa 11:30 jioni
2
1
14
1,082
Ijuka Luxury Coach Mwanza • Mbeya Mwanza • Bukoba Bukoba • Iringa • Mbeya #mwanzabuses – at Tanzania
2
1
31
1,175
Mbeya Buses retweeted
#HABARI Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 29 kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi la abiria iliyotokea Mei 31, 2026 katika eneo la Majimazuri, barabara ya Mbeya kuelekea Chunya mkoani Mbeya. Basi hilo la Mitsubishi lenye namba T134DFB lilikuwa likiendeshwa na Nehemia Sanga (50), mkazi wa Uyole. Kwa mujibu wa mashuhuda, dereva alikuwa akiendesha kwa kasi kabla ya kufika kwenye kona kali ambapo alishindwa kulimudu gari, na kusababisha basi kupoteza mwelekeo na kupinduka mara kadhaa kando ya barabara. Ajali hiyo ilisababisha vifo vya wanaume watatu na mwanamke mmoja wenye umri kati ya miaka 35 na 40. Majeruhi 29 walikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa matibabu, ambapo 11 walipata majeraha makubwa na 18 majeraha madogo. Dereva wa basi hilo pia alijeruhiwa na anaendelea kupatiwa matibabu chini ya ulinzi wa polisi, huku Jeshi la Polisi likiwataka madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika. #EastAfricaTV
9
5
132
11,349
🖤TANZIA🖤 📍Mswiswi Ajali ya basi la ABC iliyotokea leo 30/05/2026 eneo la Mswiswi imeondoa ndugu zetu wawili, dereva pamoja na konda, ambao wamefariki dunia.
15
8
108
15,806
Mbeya Buses retweeted
Wakuu nani yupo KYELA Tuzinese chapu tushushie kg 5 za mdudu 🌾
2
3
1
9
325
Kyela || Dar 🔥 Legend Nyilu
5
6
2
66
16,342