Məqūbbāl (@Mequbbal_) header
Məqūbbāl (@Mequbbal_) profile picture

▪︎Gnostian✡ ▪︎Spiritual ▪︎Software Eng(Dev)🧑‍💻.

Manhattan, NY
Joined February 2013
“Masimulizi ya Mafundisho ni vazi lake. Watu wa kawaida huishia kulitizama vazi tu—yaani, juu ya masimulizi ya mafundisho; wala hawajui zaidi ya hapo. Lakini waliofundishwa hawaoni vazi tu, bali vazi na kilichofunikwa ndani yake." ~ Zohar
1
5
1,088
Tunaweza kuwafanya wakaja! Juhudi zetu pia... tunaweza tukatumia njia ya kuforce palipo na ubunifu hawa jamaa hawakosi kupaangalia. Tuje na Projects za kuleta Wawekezaji. Na wwawekezaji kama hao wakiwepo itakuwa ni ngumu kufanya fanya hii Tabia
Hakuna kampuni kubwa ya Teknolojia itakuja kuwekeza hapa Tanzania, tumekuwa tukisema hili kila siku na mmeona wenyewe. Tutakuwa tunaziona kwa majirani hizi Global Tech companies kama Google, Microsoft, Amazon, Meta, Oracle, IBM, Opera, Airbnb, Huawei etc.
2
14
2,527
Məqūbbāl retweeted
My tweets are being suppressed!
9,570
7,308
1,704
112,559
Kila Nafsi ya mtu ina Maabara yake.. yaani Miili yetu na ndani yake kuna Roho wa Mungu ana fanyakazi humo. Uamini usiamin ndio ipo hivyo. ✡️🙏🏾
120
[7] Wapenzi, siwaandikii amri mpya, ila amri ya zamani mliyokuwa nayo tangu mwanzo. Na hiyo amri ya zamani ni neno lile mlilolisikia. 1 Yohana 2:7 [8] Tena nawaandikia amri mpya, neno lililo kweli ndani yake na ndani yenu; kwa kuwa giza linapita na ile nuru ya kweli imekwisha kung’aa. 1 Yohana 2:8 [9] Yeye asemaye kwamba yumo nuruni, naye amchukia ndugu yake, yumo gizani hata sasa. 1 Yohana 2:9 [10] Yeye ampendaye ndugu yake, akaa katika nuru, wala ndani yake hamna kikwazo. 1 Yohana 2:10 [11] Bali yeye amchukiaye ndugu yake, yu katika giza, tena anakwenda katika giza, wala hajui aendako, kwa sababu giza imempofusha macho. 1 Yohana 2:11 [12] Nawaandikia ninyi, watoto wadogo, kwa sababu mmesamehewa dhambi zenu, kwa ajili ya jina lake. 1 Yohana 2:12 [13] Nawaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mmemjua yeye aliye tangu mwanzo. Nawaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mmemshinda yule mwovu. Nimewaandikia ninyi, watoto, kwa sababu mmemjua Baba. 1 Yohana 2:13 [14] Nimewaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mmemjua yeye aliye tangu mwanzo. Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu. 1 Yohana 2:14 [15] Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. 1 Yohana 2:15 [16] Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. 1 Yohana 2:16 [17 ]Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele. 1 Yohana 2:17 @AmaizingJoe @BlessedThomist @elonmusk @Exquisite_255 @iamcleopatricia @stash_line1 @MtumwaWaYesu @Mkanaani_ @ImranHussein84 @KomboDM @iHaiasm
3
4
295
Kumbuka hili “Masimulizi ya Mafundisho ni vazi lake. Watu wa kawaida huishia kulitizama vazi tu—yaani, juu ya masimulizi ya mafundisho; wala hawajui zaidi ya hapo. Lakini waliofundishwa hawaoni vazi tu, bali vazi na kilichofunikwa ndani yake." Sasa tusomapo maanadiko Esoterically na Spiritual, uwa hatupaswi kuwatoa wahusika katika Maandiko na kujenga Uhalisi wa Mtu. Masimulizi ya Maandiko ni Vazi, Sasa wale character inapaswa kuwaona ndani yetu na sio kuwafanya nje yetu, Kila Character au Mafundisho katika maandiko matakatifu yamelenga kueleza juu ya Miili yetu saba, Majina yanayo tumika sio majina bila maana na hiki ni kitu kikubwa ambacho kizazi cha sasa kimepoteza uhalisia katika kufahamu maandiko, kwamba Majina Yote katika Biblia yana maana sawa sawa na ujumbe wa ndani ya vazi ilo la maandiko. Sasa Kama Daudi ni Baba Yake ata Yesu aliuliza inawezekana tena vipi Daudi amwite Yeye Bwana? Imeandikwa hivi [35] Hata Yesu alipokuwa akifundisha katika hekalu, alijibu, akasema, Husemaje waandishi ya kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi? Marko 12:35 [36] Daudi mwenyewe alisema, kwa uweza wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako. Marko 12:36 [37] Daudi mwenyewe asema ni Bwana; basi amekuwaje mwanawe? Na mkutano mkubwa walikuwa wakimsikiliza kwa furaha. Marko 12:37 Yesu, Yeoshua alijua kwamba kuna Contradiction katika hili katika wana dini-nomino, wasomao maandiko na jenga picha/taswira ya maisha ya wahusika badala ya kufahamu kwamba yanayo zungumzwa na chakula cha roho na sio historia, Shalom✡
1
234
Məqūbbāl retweeted
“Masimulizi ya Mafundisho ni vazi lake. Watu wa kawaida huishia kulitizama vazi tu—yaani, juu ya masimulizi ya mafundisho; wala hawajui zaidi ya hapo. Lakini waliofundishwa hawaoni vazi tu, bali vazi na kilichofunikwa ndani yake." ~ Zohar
1
5
1,088
📌
Porn is the worst sin to humanity. Block anyone sharing it. Men, PORN will ruin your life. Here's why...
1
295
1/5 🔹Je!.? Unafahamu jinsi ilivyo ngumu kwa mtu kuamua yeye mwenyewe kuachana na jambo fulani linalomtumikisha, Kwa mfn: • Uzinzi&uasherati • Porno • Punyeto • Ulevi • Umbea Haya mambo ili mtu aachane nayo anahitaj Dhamira na pia msaada kutoka ndani yake kwa Innermost wake
1
1
1
6
466
4/5 Hii ni kwa sababu mwili unatafuta kutaka kuendeleza kutimiza mambo yake Hangover iliyo ngumu zaidi ni hangover ya uzinzi/uasherati yaani kwa ujumla tuseme ni hangover ya ku spill out sexual energy Kila awekae dhamira ya kuishinda "Hangover" ni kutangaza vita ndani yako mwyw
1
1
219
5/5 Matokeo ya kuisha kwa Hangover • Akili huanza ku focus • Kumbukumbu huanza kurejea • Mtu huanza kuwa serious • Hofu huanza kupotea kabisa • Wasiwasi juu ya kesho hupotea • Furaha ambayo inatoka ndani • Kuwa connected vizuri na jamii na kuona kila mwanadamu ana thamani
1
5
213
Happy New Year #2024 Tukatumie vyema Neema hii tuliyopewa na Mwenyezi-Mungu kwa mara ingine tena. Ni wengi walitamani kufika 2024, na tulitamani kuwa nao lakini imeshindikana, sio sababu kuna chochote tuliwazidi bali tumepewa nafasi ya kujifunza na kuitambua KWELI na tuwe NURU
1
2
242
MAKITABA MUHIMU Hapa utapa #UZI zote zilizopita
2
1,111
🕎☀🧘‍♂️ ∆𝐖𝐢𝐬𝐝𝐨𝐦 °𝐋𝐨𝐯𝐞
1
696