MGL ELECTRONICS retweeted
X4 sees you #NoseMode and be like: ๐ฎ ๐ซต
๐ธ Kobie Flashman with #Insta360X4
The real X4?
MGL ELECTRONICS retweeted
GIVEAWAY!โฆ Like this tweet and follow @insta360 & @UnboxTherapy for a chance to win an Insta360 Flow Pro and an iPhone 15 Pro.
The winner will be announced next week...good luck!
MGL ELECTRONICS retweeted
Unaijua @BandoApps ?
Mchongo ni kwamba, unaweza kupakua bando za aina mbalimbali kulingana na mahitaji yako.
Kwa sasa ni kwa watumiaji wa mtandao wa TTCL.
Pakua sasa, link kwenye Bio yangu.
MGL ELECTRONICS retweeted
Unatamani ujue jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka China kwa kutumia mifumo kama Alibaba n.k?
@HabariTech amejitolea kufundisha huo ujuzi, kwa gharama ndogo ya Tsh 20,000/ utapata mafunzo na usaidizi kupitia WhatsApp na Google meet sessions.
Wahi, leo mafunzo yanaanza.
MGL ELECTRONICS retweeted
ChatGPT with voice is now available to all free users. Download the app on your phone and tap the headphones icon to start a conversation.
Sound on ๐
MGL ELECTRONICS retweeted
Kama siyo mdau au mtaalamu wa Teknolojia, kabla ya kufanya jambo lolote linalohusu tech, pata ushauri kwanza ikiwezekana elewa machache juu ya kitu unachotaka kufanya.
Usikurupuke au kufanya maamuzi kwa kitu usichokijua vizuri ๐
MGL ELECTRONICS retweeted
Mwanangu mmoja ana mchongo wake unaitwa @TangaBerries anauza strawberries ambazo ni organically grown.
Kesho mzigo utafika Dar kwa wale watu waliopo Goba, Makongo, Mbezi Beach na viunga vyake.
Unaweza kumpata na kuweka oda yako chap hapa 0759499017.
Please rt.
MGL ELECTRONICS retweeted
Video & audio calls coming to X:
- Works on iOS, Android, Mac & PC
- No phone number needed
- X is the effective global address book
That set of factors is unique.
MGL ELECTRONICS retweeted
Replying to @HabariTech
Vitu vya kuzingatia katika biashara ya miamala katika nyakati hizi ni;
1.wakala hakikisha hautumii namba ya simu katika kufanya miamala tumia code, hii itapunguza uwezekano wa wewe kupigiwa na matapeli muda mwingi
2.kuwa na tabia ya kuhakiki mara mbili miamala na pesa unazo pokea
MGL ELECTRONICS retweeted
dell gaming laptopG7 15.6inches core I5 8gen 16gb ram SSD 128gb +1tb HDD GTX 1060 6gb price 1m
MGL ELECTRONICS retweeted
Ni Bora kuwa nacho kuliko Kutokuwa nacho kabisa...
Vodacom!
#Uzi ๐งต๐๐พ
MGL ELECTRONICS retweeted
Account za Twitter unazozichukulia poa ila zimewahi nisaidia kuingiza kipato Online.
Soma uzi wote, no. 1 ni muhimu zaidi.
๐งต
MGL ELECTRONICS retweeted
Starlink internet imeanza rasmi kuuzwa nchini Kenya, Kenya inaungana na Rwanda na kuwa nchi ya pili kwa Africa Mashariki kuonja ladha ya StarLink ๐
Tanzania tunakwama wapi? ๐
MGL ELECTRONICS retweeted
Starlink is now available in Kenya ๐ฐ๏ธ๐ฐ๐ช โ starlink.com/?referral=RC-49โฆ
MGL ELECTRONICS retweeted
10K FOLLOWER GIVEAWAY ๐๐๐
To celebrate 10K followers on Twitter, we're giving away 3x Raspberry Pi Foundation tote bags containing Raspberry Pi branded goodies ๐ Winners will be randomly selected on Friday, 19 May 2023.
To enter: Follow us, like & RT this tweet.
Good luck!
MGL ELECTRONICS retweeted
The End Of Windows 10
youtu.be/uYe5mFSwOlY
MGL ELECTRONICS retweeted
Welcome all of you
This is huge deal ip camera 2mp,4mp and 8megapixcel 4k
@DahuaUSA @dahua_cctv_tz @dahua_cctv_tz
MGL ELECTRONICS retweeted
Prompt engineers mwaka huu pengine ndo watu wanaolipwa ama watakuwa wanalipwa pesa nyingi sana na makampuni makubwa ya Tech.
#ChatGPT pia inatoa majibu kulingana na quality ya Prompts umeipatia.
Prompt engineering ni nini?
Uzi ๐งต




































