Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_) header
Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_) profile picture

I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to Build Expert Business & Sell High Ticket Offers

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2015
Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)Photo by Revocatus Millambo, Ph.D. (@Millambo_)
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
TAL! Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts, akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!, akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana! Akasema let me speak my mind!
86
658
12
2,841
74,208
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Wakuu natafuta document yenye mishahara yote ya serikali, anyone can help?
10
9
1
377
42,650
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
I think the biggest obstacle to success is a lack of optimism.
221
230
16
2,073
94,033
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Madini mazito sanaa uki mwaambia mtu wa hisa za thamani hii hoja ana Panik vibaya sanaaaaa.
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA, Wekeza hapa: 1. High income skills 2. Mentorship na coaching 3. Vitabu na taarifa nyeti 4. Connections na uzoefu. Hisa za 1M hazitakufikisha popote. Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
1
1
7
1,192
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Hio sio meme.
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA, Wekeza hapa: 1. High income skills 2. Mentorship na coaching 3. Vitabu na taarifa nyeti 4. Connections na uzoefu. Hisa za 1M hazitakufikisha popote. Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
1
8
481
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
“Wekeza UTT miaka 30.” Sawa. Lakini swali ni kwamba . Je, matajiri tunaowaona leo walitumia miaka 30 kwenye UTT ndipo wakatajirika? Jibu ni hapana. Wengi walijenga biashara. Wakatake risks. Wakauza bidhaa. Wakajenga kampuni. Baada ya kupata utajiri ndipo 👇🏼
12
16
1
89
8,223
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara. Kimya kimya. Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH TSh 5,000,000 = ~$2,028 Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH TSh 5,000,000 = ~$1,915 Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320. Maana yake umepoteza karibu: ❌ TSh 294,320 kila mwezi ❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka Bila kupunguza mshahara wako. Bila kubadilisha kazi. Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT. Sio kwa sababu wanapenda usd. Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani. Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
109
394
44
2,051
206,082
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Replying to @Millambo_
Asante sana my braza. Wewe ni kioo kwa vijana. Ubarikiwe sana.
1
1
5
917
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Acha kuperuzi mtandao. Weka simu chini chap. Andika malengo ya miaka 5. Andika malengo ya miaka 3. Andika malengo ya mwaka 1. Andia malengo ya miezi 6. Weka malengo ya miezi 3 Weka malengo ya mwezi, wiki na kila siku. Hutakuwa kama jana. #SIKU100ZAUHURU
20
158
2
612
23,152
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
The most dangerous business mistake is growing without systems.
2
57
218
3,767
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Men pls listen to this and share 🙏🏻
96
3,425
88
9,419
375,432
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
People will gladly pay what you are charging when: 1. They have a strong belief that they are going to get the result(s) they want from the product. 2. They believe that the price they are paying is worth the result or experience they will get. 3. They believe none or very little risk involved (usually from 1 and 2) 4. They can afford it.
10
12
126
3,122
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Tunatumia pesa nyingi kujifunza ujuzi fulani, mfano sasa hivi kuna hizi AI, unatumia pesa nyingi tu ambayo ungekula nayo bata wikiend, au ungeenda nayo vacation, unalipia tools, unalipia kozi mbalimbali, ili uwe na nondo za kutosha kufanya kazi zako, uwe bora. Halafu kuna mtu anatokea tu out of nowhere anataka umuelekeze na kumfundisha, ukimwambia alipie anakuona jau. Hivi mnadhani watu huwa wanapataje hizi nondo, mnadhani wanaokota tu pale mataa ya bamaga? 😀
13
23
208
13,749
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
KUMBUKA... 1. Mwanaume haongozwi na hisia 2. Mwanaume hahitaji kuonewa huruma 3. Huhitaji kujisikia kufanya jambo 4. Pesa ni thamani, tengeneza thamani 5. Kusudi na malengo ndio nguzo 6. Comfort zone imeua ndoto nyingi 7. Jenga nidhamu, usiishe kwa motivation 8. Akili ni kama bustani, chochote kitastawi 9. Ukiwa na na msala, tatua, kulalamika ni kupotza muda tu 10. Unakoweka attention yako, energy inaenda - Be wise - #TutoboewoteFest
16
121
1
396
35,203
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Mwanaume ukiongea: 1. Amini unachosema 2. Punguza umm, aah 3. Kaza sauti, itoke yote 4. Acha mijongeo iso na maana 5. Nyoosha eye contact 5. Ongea kwa zamu 6. Sikiliza kuelewa, sio kujibu 7. Zingatia lugha mwili 8. Hakikisha simu iko mbali 9. Asipokupa zamu ya kuongea, na wewe usimpe. #Jeshilam2m1
18
104
1
434
52,994
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
"The big thing for our ads that are scaling to 1000 sales a day, is that we simply test a LOT. For every offer, we usually run a lot of ads testing every angle, every bit of copy to find the top performer." - Rudy Mawer
11
30
5
215
11,924
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Leo saa 11 jioni nitaenda kuachia PDF maalum niliyoiandaa kwa ajili ya kuwafumbua wanaume macho. FREE kabisa. Cha kufanya kaa karibu na ukurasa huu. #TutoboeWote
21
50
1
414
33,254
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
😎
54
95
33
428
62,291
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Mnigeria au Wakenya au Waganda au Wahindi mtu akiwa CANADA 🇨🇦 baada ya miaka 3 anasaidia wanaigeria 100 kuingia CANADA 🇨🇦 lakini MTANZANIA akiingia CANADA 🇨🇦 baada ya miaka 3 anaweza akasaidia MTANZANIA (1) pekee kuingia CANADA 🇨🇦 WABONGO was**ge sana walio ABROAD
62
62
6
556
46,548
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Jana nikiwa gym, walikuja akina mama 2, wakaingia sehemu ya kufanyia mazoezi. Mmoja akanyooka mpaka kwa trainer, mwingine akabaki ananiulizia mambo kadhaa. Hawa, mguu wao ni kuja kujiunga gym waanze kukata vitambi. Mama niliyekua naongea nae, ni wa makamo sana miaka 45-50. Anataka kukata kitambi na mafuta. Hapo tunazungumza, Mkononi ameshika Pepsi baridi. Ananiambia hiyo ni ya 3. Kwa siku huwa anakunywa soda mpaka 4. Ndipo nikaacha mazoezi na kuanza darasa. Kwenye mazungumzo yetu anakili: - Yuko addicted na soda - Anakiri hawezi kunywa maji kabisa - Hata akiwa kwenye mfungo mtukufu, anafungua na soda. - Anasema kila akinywa soda, anapata hamu kila baada ya muda. - Anapata njaa za mara kwa mara. Mwisho, wanamaliza na kutaka kuondoka. Ndo wanajitambulisha, kuwa ni ma-nesi. Huyu mama ni nesi na amekuwa kazini kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Basi bhana, Mama ameahidi kuacha soda, na mbinu nimempa. Ndo maisha yenyewe. Maisha ni kupanga na kuchagua. Kazi kwako! #Jeshilam2m1
46
30
1
326
48,111