Pinned Tweet
Just published an article about Trademark infringements.
medium.com/@luhambarashidi/t…
Shida ya mwanangu @GoodluckjmN unaweza kumpeleka mpaka home ukamwambia poa pumzika tutasomana kesho, dakika 5 nyingi unaona kaibuka Tena kwa party 😂
Kuna watu wa aina mbili Duniani,
Watu wanaoamini
1. The means justifies the end, Mimi wewe na viongozi wa dini
2. The end justifies the means, sana sana Wana siasa hapa.
Hawa wote inawezekana wapo sawa au inaweza kua wanakosea.
Unapata gig ya kubadili director, ndo unagundua Kampuni haijawahi ku submit returns TRA, haijawahi file Annual Returns Brela Wala ku submit beneficial ownership na Ina operate kwa miaka minne sasa 🙌
Mmiliki hajui kama hizi vitu ni zipo yeye ni kazi kazi tuu.
Kibongo bongo huwezi kukuwepa black Tax
Kwa sababu kadhaa;
1. Ndugu zako ndio insurance yako, maisha hapa hayana formula Kuna saa unaweza rudisha Moira kwa kipa.
2. Ulisaidiwa na ndugu kwa namna Moja au nyingine.
3. Ukiwa na shida ndugu ndio 911 most of times
Mi siamini kama Kuna mtu anapenda kulala chumba kimoja kwanza na madumu ya maji, ni umaskini tuu unatu force 😂😂





















