Eᴍᴍᴀɴᴜᴇʟ retweeted
Kabla ya kukusanya taarifa za watu, taasisi ijiulize: Je, tunahitaji taarifa hizi zote?
Kwa nini Payment Form iombe Umri, Jinsia na Hali ya Ndoa kama havihusiani na malipo?
Tuzingatie Data Minimization: Kusanya taarifa muhimu tu.
#ElimikaWikiendi
Eᴍᴍᴀɴᴜᴇʟ retweeted
Toyota Harrier New Model Z
Year : 2021
FueL : Petrol
Cc : 1990
Millage : 52,317Km
360 cameras✅
Power Boot✅
Leather Seats ✅
Parking Sensors✅
Good & Clean Condition
Free Registration✅
Exchange Allowed
BEI / PRICE : 88,000,000 /=
Call 0688564672
Kindly repost it🙏
Eᴍᴍᴀɴᴜᴇʟ retweeted
Kauli ya Wakili Jebra Kambole inakuja siku moja tangu Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, katika Shauri la Madai Mbalimbali Na. 2378 la 2026, ilipotangaza kuwa zuio la Mtandao wa X lilikuwa kinyume cha Katiba na kuiamuru Serikali kuliondoa mara moja ili watumiaji wote wapate huduma hiyo bila vikwazo.
Fuatilia zaidi jamii.app/KamboleMtandaoX
#JamiiForums #Demokrasia #Digitali
Eᴍᴍᴀɴᴜᴇʟ retweeted
Hii dunia ni sehemu salama sana ya kuishi bila Manchester united. Ngoja nijikite kwenye Simba na Madrid tu
Eᴍᴍᴀɴᴜᴇʟ retweeted
Ustaarabu huo mmetoa wapi? Michezo!
Tunaelewa, amri hiyo ni kwa sababu ya AFCON siyo kwamba imekiuka katiba. Hamjafikia hatua ya kutupenda kiasi hicho. Kwenu sisi siyo binadamu.
Kwa wastani, nchi mwenyeji wa mashindano ya AFCON anaweza kupokea wageni 200,000 hadi 500,000 wa kimataifa. Ndiyo mmezingatia.
Tanzania, kuna miji mitatu (Dar es Salaam, Arusha, na Zanzibar) ambayo imethibitishwa kuandaa AFCON 2027, itapokea sehemu kubwa ya wageni hao
Watakuwepo wachezaji na mabenchi ya ufundi kwa timu zote zinazopangwa kucheza mechi zake katika vituo vya Dar es Salaam, Arusha, na Zanzibar.
Maafisa wa juu wa soka, marais wa mashirikisho ya soka kutoka katika nchi 24 zinazoshiriki, viongozi wa kiserikali wanaokuja kuunga mkono timu zao.
Waamuzi wa kati, wasaidizi wa waamuzi (linesmen), wataalamu wa teknolojia ya usaidizi uamuzi (VAR), na wakaguzi wa viwanja na usalama, watakuwepo.
Mashabiki kutoka mataifa yenye utamaduni wa kusafiri na timu zao; Nigeria, Senegal, Morocco, Egypt, Algeria, Cameroon, South Africa.
Raia kutoka nchi jirani za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, na DR Congo watakaoingia Tanzania kwa usafiri wa anga au barabara kushuhudia mechi.
Kuna mashabiki kutoka Europe, Asia, America wao wanasafiri popote Duniani kuhudhuria mashindano makubwa ya kimataifa (Groundhoppers).
Watakuwepo waandishi wa habari na watangazaji (Media & Broadcasters) na wapiga picha kutoka vyombo vya habari vya Afrika na kimataifa.
Mafundi, watangazaji, na wachambuzi kutoka kampuni zinazonunua haki za matangazo kama vile SuperSport, beIN Sports, Canal+, DAZN, etc
Kuna vituo vya televisheni vya mataifa yanayoshiriki AFCON 2027 wanaofika kuweka mitambo na kurusha matangazo mubashara mashindano ya AFCON.
Mashindano ya AFCON kwa mwaka 2027 yanafanyika kati ya Juni 19 na Julai 17 kitakuwa kipindi ambacho ni msimu wa kilele wa utalii (peak season)
Wawakilishi wa kampuni za kimataifa watakuwepo Tanzania katika kusimamia chapa zao na kuendesha kampeni za masoko (brand activations).
Wafanyabiashara wanaofuata fursa za kuuza jezi, bendera, na bidhaa za utamaduni wa nchi zao (merchandise) katika maeneo ya FAN ZONES.
Mashindano ya AFCON hufanyika katikati ya dirisha kubwa la usajili la Ulaya (Juni – Julai). Maskauti wengi wakubwa kutoka ligi kubwa YUROPA watakuwepo
Hao binadamu karibu wote niliowataja wanatumia mtandao wa 𝕏 kwa ajili ya kuchapisha maudhui na taarifa zao zinazohusu mashindano ya AFCON.
Wangetakiwa kuwasha VPN ili kuweza kuingia katika mtandao wa 𝕏 kuchapisha maudhui ya taarifa zao, kusoma Direct Messages (DM) na kutumia GROK.
Kuna uwezekano mkubwa sana amri hii ya Mahakama ikatekelezwa bila mazonge kwa haraka zaidi kuliko utekelezaji wa amri nyingine za Mahakama Kuu.
Sisi siyo wajinga kama mnavyofikiria!
Eᴍᴍᴀɴᴜᴇʟ retweeted
Struggles of living with a girlfriend who doesn't know how to cook by the goat kennar 😂😂



























































