NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA) header
NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA) profile picture

PEOPLE FORGET TO BE PEOPLE

Popote ilipo fursa Tupo 馃憣
Joined October 2023
Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)Photo by NAJITAFUTA (@NAJITAFUTA)
Vijana Wengi wamefaulu vizuri sana mtihani wa darasani lakini wamefeli vibaya mno mtihani wa maisha 馃 .
26
283
1
412
14,754
NAJITAFUTA retweeted
Tuna sisitiza kua usiwe tu mtumiaji wa teknolojia pekee, bali kuwa mbunifu wa suluhisho kupitia teknolojia 鉁嶏笍 .
9
12
121
Tuna sisitiza kua usiwe tu mtumiaji wa teknolojia pekee, bali kuwa mbunifu wa suluhisho kupitia teknolojia 鉁嶏笍 .
9
12
121
NAJITAFUTA retweeted
Teknolojia haimfanyi kila mtu kua tajiri ila inampa mwenye maarifa nafasi ya kuongeza thamani yake kwa kiwango kikubwa 馃搶 .
13
19
165
Teknolojia haimfanyi kila mtu kua tajiri ila inampa mwenye maarifa nafasi ya kuongeza thamani yake kwa kiwango kikubwa 馃搶 .
13
19
165
NAJITAFUTA retweeted
Karne hii haitamlipa zaidi mwenye vifaa vingi au maarifa makubwa bali mwenye uwezo mkubwa wa kuvitumia kutatua matatizo makubwa 馃 .
9
11
46
Karne hii haitamlipa zaidi mwenye vifaa vingi au maarifa makubwa bali mwenye uwezo mkubwa wa kuvitumia kutatua matatizo makubwa 馃 .
9
11
46
Ondoka ukiwa na maswali, rudi ukiwa na majibu; si kwa maneno, bali kwa mabadiliko 馃槑 .
1
8
14
95
NAJITAFUTA retweeted
They wanted you to forget who you are but they failed
9
46
4
226
2,804
NAJITAFUTA retweeted
holy shit you were right about everything
55
113
35
698
13,591
"Hiyo yako inakuwanga kubwa kama ya punda" hii ni compliment ama matusi馃槶馃槶
15
78
129
1,134
NAJITAFUTA retweeted
Mtu anayekataa kuwajibika kwa makosa yake atakuwa na sababu nyingi za kulaumu wengine 馃 .
15
22
236
NAJITAFUTA retweeted
Ndoa zimeokoa wanawake wengi mno kujikwamua na kujiondoa kwenye umasikini kuliko hata serikali ambavyo imewahi kuwasaidia 馃槑 .
12
16
156
NAJITAFUTA retweeted
Kwa asili yao wanawake wenye standard nyingi nyingi na masharti ya ajabu ajabu hukua aidha ni wachawi au sio watamu au vyote kwa pamoja 馃槑 .
10
13
118
NAJITAFUTA retweeted
Tumefika mahali ambapo wanaume wengi wenye akili wanaona ni heri kua tu baba wa watoto wake kuliko kua mume wa mwanamke wa kisasa 馃 .
10
15
135
Tunasema kwa pamoja tunakemea ushoga kumbe kuna wengine wao wanatunzunguka wanaenda kuwapelekea moto 馃槑 .
11
20
229
Mabinti wa 2000's wanaamini kwenye mahusiano ni mwanaume ndio anaetakiwa kua muaminifu ila mwanamke anatakiwa kuchepuka na kua na mabwana wengi 馃槑 .
9
12
148
Mabinti wa 2000's ndio wanaamini kua watakutana na mume wa kuwaoa wakiwa humo humo kwenye kufanya umalaya na biashara ya ngono 馃 .
1
9
12
103
Utajiri katika zama mpya haujengwi tu kwa nguvu za mikono pekee, bali kwa uwezo wa akili kutatua matatizo ya watu wengi 馃 .
1
12
16
186
Utajiri wa kizazi hiki haupo kwenye ardhi pekee, isipokua upo pia kwenye maarifa unayoweza kuyabadilisha kuwa biashara 馃 .
1
11
26
240
Ukamilifu wa maisha haupo katika kutokuwa na makosa, bali katika kujifunza bila kuacha kukua na kukomaa kiakili , kiroho na kimwili 馃 .
1
10
23
258