MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 (@GoldenBoyNow) header
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 (@GoldenBoyNow) profile picture

BORN TO GET RICH AND BLOW PEOPLES MINDS 馃挜 .

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2023
Take whatever you can from this world while you still can because when it starts taking from you, it takes everything even your life! #TuesdayBlessings
22
433
1
211
20,680
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Nothing humiliates people more than realizing the person they looked down on is OUT OF THEIR LEAGUE without even trying.
46
614
26
3,399
56,198
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Ukweli haumfai kila mtu... wengine hupokea kama matusi
8
14
300
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Mtu anayekataa kuwajibika kwa makosa yake atakuwa na sababu nyingi za kulaumu wengine 馃 .
15
22
236
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Ndoa zimeokoa wanawake wengi mno kujikwamua na kujiondoa kwenye umasikini kuliko hata serikali ambavyo imewahi kuwasaidia 馃槑 .
12
16
156
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Kwa asili yao wanawake wenye standard nyingi nyingi na masharti ya ajabu ajabu hukua aidha ni wachawi au sio watamu au vyote kwa pamoja 馃槑 .
10
13
118
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Tumefika mahali ambapo wanaume wengi wenye akili wanaona ni heri kua tu baba wa watoto wake kuliko kua mume wa mwanamke wa kisasa 馃 .
10
15
135
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Utajiri katika zama mpya haujengwi tu kwa nguvu za mikono pekee, bali kwa uwezo wa akili kutatua matatizo ya watu wengi 馃 .
1
12
16
186
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Utajiri wa kizazi hiki haupo kwenye ardhi pekee, isipokua upo pia kwenye maarifa unayoweza kuyabadilisha kuwa biashara 馃 .
1
11
26
240
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Ukamilifu wa maisha haupo katika kutokuwa na makosa, bali katika kujifunza bila kuacha kukua na kukomaa kiakili , kiroho na kimwili 馃 .
1
10
23
258
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Ukiwekeza kwenye kuwafurahisha na kuwaridhisha wanawake utaishia kula hasara na kupoteza afya yako, lakini ukiwekeza katika kujijari na kujitunza wewe mwenyewe utachuma faida kubwa 馃 .
13
14
165
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Ni dharau kubwa sana kumwambia kijana anayejitafuta atafute hela wakati unajua fika kua tayari yupo kwenye mchakato ila kaanza na kujitafuta kwanza 馃 .
9
16
199
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Mi choka mbaya nikijipata najiona kabisa ligi yangu ni kina dangote na siyo hiyo ligi ndogo ya ndani 馃槑 .
12
16
253
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Ubunifu ni uwezowa kuona uwezekano mahali ambapo wengine wanaona tu vikwazo 馃 .
10
14
184
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Kuteuliwa ni heshima na ni bahati, lakini kuthibitisha kuwa ulistahili ni jukumu lako 馃 .
2
18
34
291
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Mtu mwenye fikra pana haongozwi tu na kile anachokiona pekee, bali pia na anachoweza kukitafakari na kukiona kwenye maono yake 馃 .
2
16
30
237
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Ukweli haupungui thamani kwa sababu tu wengi wameukataa kuuamini na wala hauongezeki thamani kwa sababu tu wengi wameukubali 馃 .
12
23
232
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Trying to break me and now you breaking is crazzzy! 馃ぁ
15
72
8
185
5,022
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Tuna sisitiza kua usiwe tu mtumiaji wa teknolojia pekee, bali kuwa mbunifu wa suluhisho kupitia teknolojia 鉁嶏笍 .
9
12
121
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Teknolojia haimfanyi kila mtu kua tajiri ila inampa mwenye maarifa nafasi ya kuongeza thamani yake kwa kiwango kikubwa 馃搶 .
13
19
165
MKAKA WA NDOTO ZETU 馃憫 retweeted
Karne hii haitamlipa zaidi mwenye vifaa vingi au maarifa makubwa bali mwenye uwezo mkubwa wa kuvitumia kutatua matatizo makubwa 馃 .
9
11
46