NatioN TZA (@NationTza) header
NatioN TZA (@NationTza) profile picture

Private Life Is Happy Life

Joined October 2025
Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)
IFB IMMEDIATELY馃敟馃敟
1
2
3
186
NatioN TZA retweeted
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara, Ndug @MchinjitaIR na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo, Ndug Luhaga Mpina umesamishwa Stendi ya Mabasi Bukoba wakati ukielekea Bukoba Vijijini. 馃憠馃徔Viongozi wamesema wamachinga wana haki kufanya shughuli zao katika miji bila kusumbuliwa.
2
8
518
NatioN TZA retweeted
Vile wananchi wakisikiliza viongozi wetu wa @ACTwazalendo huko mikoani. @SemuDorothy @MchinjitaIR Luhaga Mpina @ayo_shangwe @JaneRithe @Mbaralagande #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
3
5
337
"Viongozi wa Serikali wamekuwa madalali kwa wakulima wa kila zao. Wameua bei ya korosho, bei ya pamba. Mwanzo wakulima walikuwa wanauza mbaazi kilo Sh 3000 ila wakazishusha mpaka sasa Sh 100 na baadhi 300" M/Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
10
12
222

301

166
"Viongozi wa Serikali wamekuwa madalali kwa wakulima wa kila zao. Wameua bei ya korosho, bei ya pamba. Mwanzo wakulima walikuwa wanauza mbaazi kilo Sh 3000 ila wakazishusha mpaka sasa Sh 100 na baadhi 300" M/Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR
3
3
735
NatioN TZA retweeted
"Viongozi wa Serikali wamekuwa madalali kwa wakulima wa kila zao. Wameua bei ya korosho, bei ya pamba. Mwanzo wakulima walikuwa wanauza mbaazi kilo Sh 3000 ila wakazishusha mpaka sasa Sh 100 na baadhi 300" M/Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
10
10
159

11
11
238

26
27
561
"Viongozi wa Serikali wamekuwa madalali kwa wakulima wa kila zao. Wameua bei ya korosho, bei ya pamba. Mwanzo wakulima walikuwa wanauza mbaazi kilo Sh 3000 ila wakazishusha mpaka sasa Sh 100 na baadhi 300" M/Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #Ukweli #Haki
3
3
108
Vile wananchi wakisikiliza viongozi wetu wa @ACTwazalendo huko mikoani. @SemuDorothy @MchinjitaIR Luhaga Mpina @ayo_shangwe @JaneRithe @Mbaralagande #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
1
1
11
Leo 5/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kata ya Kikomelo, Bukoba Vijijini. Muda 9:00 Alasiri #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
8
8
119
NatioN TZA retweeted
Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo, Ndugu @zittokabwe ameshiriki mazishi Alhaji Rajab Thabit Kaila. Marehemu alikuwa baba mzazi wa Mjumbe wa Kamati ya Chama, Ndugu Karama Kaila. Sote wa Mwenyezi Mungu, na kwake ndio marejeo yetu.
10
14
487
NatioN TZA retweeted
Leo 5/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kata ya Kikomelo, Bukoba Vijijini. Muda 9:00 Alasiri #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
16
24
29
1,264
NatioN TZA retweeted
"Bei ya mafuta inaendelea kuruka kila siku, na hatuoni Serikali ikichukua hatua yoyote madhubuti ya kuhakikisha bei hii inashuka. Watu wachache ndio wanaonufaika kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
11
20
26
938
NatioN TZA retweeted
Jana Novemba 4, 2026 KC @SemuDorothy amefanya mkutano wa hadhara kwenye kata ya Nyarubanda, Jimbo la Kigoma Kaskazini. Leo Novemba 5, KC atafanya mikutano kwenye kata ya Muzye, Kasulu Vijijini na Kata Kazuramimba, Kigoma Kusini. #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
14
23
27
670
NatioN TZA retweeted
"Keshokutwa Hukumu ya Lissu itatoka. Lissu ni kiongozi mwenzetu. Kosa lake ni kupigania Demokrasia na uchaguzi huru na haki. Msimamo wetu ni kuwa Kesi ya Lissu ni kesi ya kisiasa. Inahitaji suluhisho la kisiasa na si vinginevyo." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy
15
27
68
3,002
NatioN TZA retweeted
RAIS SAMIA TRILIONI 51.92 ULIZOKOPA UMEFANYIA NINI? @ACTwazalendo #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
23
39
7
108
6,102
"Msimamo wetu kuhusu Oktoba 29. Tunatautaka ukweli, tunataka haki na tunataka uwajibikaji kwa wote waliosababisha mauaji. Umekatika mwaka, lakini hadi sasa hatujaona mtu yeyote akiwajibishwa." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Haki #Ukweli
5
5
190
NatioN TZA retweeted
"Katoro ina mchango mkubwa kwenye mapato ya Serikali, lakini bado ina shida kubwa ya maji. Waziri Maji anasema kila kila kijiji kina maji, lakini uhalisia ni tafauti.".. Naibu Katibu Mwenezi wa @ACTwazalendo @ayo_shangwe
4
4
73