
National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2018
- Tweets7.7K
- Following263
- Followers5.1K
- Likes3.5K
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 4, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakuwa Main Fm kuanzia saa 2:00-3:00 asubuhi kujadili kuhusu ziara yake ya Mkoani Kigoma na mikoa mingine saba iliyoanza jana Novemba 3, 2026.
#Ukweli #Haki #Uwajibikaji
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo 4/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kahama Mjini.
Muda 9:00 Alasiri
#Ukweli #Haki #Uwajibikaji
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy amehutubia mkutano wa hadhara Kata Kasimbu Jimbo la Kigoma Mjini.
Katika hotuba yake Ndugu KC amesikitishwa na kupanda kwa gharama za maisha na kukithiri kwa umaskini licha ya uwepo wa rasimali lukuki za nchini.
VIDEO:
"Makamu mwenyekiti hapa amezungumza suala la Nchimbi, yaani Makamu wa Rais eti anaweza akapotezwa tu, tukaambiwa tu amejiuzulu. Utaratibu haukufuatwa, Katiba haikufuatwa, kila kitu hakikufuatwa, mwana CCM mwenzao walikuwa naye kwenye sanduku la kupiga kura, Nchimbi alifukuzwa alipobadilisha tu maneno, alipokataa mambo ya hovyo akafukuzwa." amesema Mpina.
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo, ameeleza hayo Novemba 1, 2026 alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika na wananchi wa jimbo hilo, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Chama chake cha ACT Wazalendo Kanda ya Ziwa.
Janeth Joel Rithe retweeted
"Samia alisema ndani ya siku 100 atatekeleza mambo mengi ila leo Siku 370 toka aapishwe kimabavu na kuingia ikulu hakuna hata moja lililotekelezwa."
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo
Luhaga Mpina
#Ukweli #Haki #Uwajibikaji
Janeth Joel Rithe retweeted
"IGP Wambura ujiuzulu iwapo hujui waliofanya mauaji ya watu Oktoba 29."
Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo
@MchinjitaIR
👉🏿Leo Ndugu Mchinjita na Ndugu Mpina watakuwa kata za Butundwe na Katoro Mjini Mkoani Geita.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo , Ndg @SemuDorothy amewasili uwanja wa ndege wa Kigoma na kapokelewa na viongozi wa kitaifa.
Saa 9:00 Alasiri KC atafanya mkutano wa hadhara katika Kata Kasimbu uwanja Mwembemmoja.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Hivi viungo vya baiolojia havina jina la kuvisitiri jamani @godbless_lema hahahahaha
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara, Ndugu @MchinjitaIR amehutubia mkutano wa hadhara Katoro Mjini, Geita.
Ndugu Mchinjita amemtaka Watanzania waichukie CCM kwani ndio chanzo cha kukithiri umaskini na hali ngumu ya maisha.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Janeth Joel Rithe retweeted
Katoro Asanteni kwa upendo mkubwa kwa chama chenu ACT Wazalendo @ACTwazalendo
Tutarudi tena 🙏🔥
Ratiba ya ziara ya Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakayoifanya Mkoani Kigoma kuanzia Novemba 3-9, 2026.
Baada ya Kigoma ziara yake itaendelea katika mikoa mingine ya Magharibi, Nyanda za Juu Kusini na Morogoro. Ratiba zake tutawapa.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Janeth Joel Rithe retweeted
#LIVE: LUHAGA MPINA ANAFUNGUKA MAMBO MAZITO MUDA HUU
nitter.gq/i/broadcasts/1dxYlaydw…
Huku ni KUENDELEA kuwatisha na kuwakatisha tamaa wanawake hasa wanawake vijana kuingia kwenye siasa
Kuteka kutesa na kuuwa hii inanikumbusha Dafroza Kila siku ni vile sisi wengine tuko tayari kufa @SuluhuSamia huu ni uoga na ushamba wa uongozi
Nchi haiwezi KUTULIA kwa vitendo hivi vya kikatili nakusihi sana tunapoelekea kuwakumbuka walipoteza uhai October 29 tunahitaji ukweli uwazi na uwajibikaji @SuluhuSamia































