Mh. Rais wetu @SuluhuSamia kukusudia kwako kuwekeza kwa vijana kwenye kilimo kupitia program ya bbt, nikukusudia kulijenga taifa tajiri. Unaweka historia na alama katika taifa kwa manufaa ya leo na kesho.
1
43
Tumekuelewa Mh. Rais wetu @SuluhuSamia . Vijana kwa ushupavu na bidii tunatekeleza #kilimo. Ajenda 10/30 is possible
1
47
Kilimo ni Biashara, uwekezaji wa vijana kwenye kilimo utaongeza chakula duniani, utatengeneza ajira mpya, utapelekea mapinduzi katika sekta ya viwanda na sekta nyingine.
25
Kilimo ni utajiri. Nchi yetu kwa hali na asili yake inaruhusu kilimo. Kama vijana wakijikita kwenye kilimo ipasavyo changomoto ya Ajira kwa vijana itaisha kabisa.
39
Taifa litakukumbuka na kukuheshimu sana siku za baadae ndugu @HusseinBashe kwa commitment kubwa uliyonayo kwa vijana wa taifa letu kupitia wizara kilimo. Tunaiona leo iliyo njema na kesho bora kwa Taifa letu. Vijana wapo kazini......
28
Kilimo Biashara kinahitaji mafunzo na ujuzi, serikali ya mama imewekeza sehemu sahihi. Vijana ndio nguzo ya mapinduzi katika kilimo. Kuwapa vijana mafunzo, mashamba na mitaji ni kuilisha dunia na kutengeneza mabilionea. Asante mama @SuluhuSamia
46
Youth people are agents of change. Kuwekeza kwenye kilimo kupitia vijana ni kuleta mapinduzi ya kweli kwenye Taifa la leo na kesho @HusseinBashe
35
Smart Agriculture needs Smart mind and heart. Kitendo cha serikali kuchukua hatua ya kuwaanda vijana kwa mafunzo ya kilimo, kuwapa mashamba, mitaji na soko la uhakika, huku ni kumaliza changamoto ya ajira kwa maelfu ya vijana, kuongeza kipato, kupunguza umasikini. @SuluhuSamia
48
Civil society is not only registered NGOs or charities but also Trade Union and Labour organisations, media institutions and journalists, human rights defenders, Disabled peoples, community groups, protest networks and movements as well as clubs and associations. @KumbushoDawson






















































