Bado tunaomsema Bashe anahujumu Mradi wa bbt tutakamatwa. Hilitaifa ifike mahali tuseme imetosha kwa vitendo
Replying to @bavicha_taifa
@bavicha_taifa tumesikitishwa na kitendo cha serikali badala ya kushughulikia tatizo la umeme nchini, wameamua kuwakamata wakosoaji wa TANESCO. Tumeshauriana na viongozi wenzangu. Nimemuelekeza Advocate @AdvMahinyila kufatilia mchakato wa dhamana.
#BavichaTutawasimamia
41
Unatumika kuligawa taifa kwa misingi ya dini. Toa hoja acha kutengeneza mipasuko.
This quoted post is unavailable.
37
Asia tunamjua anatumika vibaya. Anashiriki kuhujumu ndoto za vijana wataifa letu. Jana wamepewa laki mbili mbili ili wazungumze. Na wapo wengine watatu waliochaguliwa viongozi wa ushirika watazungumza kama walivyopangwa. Very sad.
๐จBBT mradi usioeleweka #Tanzania ๐จ
Vijana acheni kutumika kudidimiza vijana wenzenu!
We binti ulisoma viambatanisho uliosaini? Masharti unayafahamu? ๐๐พ soma hapo chini!
Mliahidiwa umiliki wa shamba (kila mmoja yake) kwa miaka 33 ila ushirika itakuja kwenye suala la MAZAO kuamua offtaker
We kama umelipwa kuja kuleta spinning jua una - deal na wengine tuna data na zaidi ila tumeamua kuweka baadhi kwa muda ili serikali iwasaidie!
We tushukuru tumekupazia sauti na wenzako hadi mkaletewa matrekta
Mwisho kabisa ujiheshimu ili uheshimiwe! Demand better services si kusema โmi mtoto wa maskini naridhika na makombo ya mezani!โโ Jijengee confidence kupigania maisha bora! Kijana unaongea kama mzee aliyejikatia tamaa? Shameful!
#TutaelewanaTu
49
Inasikitisha sana vijana kutumika kupotosha. Huku n kushiriki kuhujumu nchi, sisi wanabbt tuliowengi tunaamin katika ufanisi wa mradi. Wanatumia nguvu kubwa kuuzima ukwel ila ukwel unanguvu Daima. Nilisema awal waratibu wa bbt wanafanya mambo "kihuni" sijakosea kutumia neno hil
Wale MLIOPEWA vijihela .. ILI mpotoshe Uhalisia... Wengine huwa HATUKURUPUKI kuzungumzia jambo . Mmekubali KUTUMIKA ( kimahusiano na rushwa) ili MUWAUMIZE VIJANA WENZENU wanaotaaabika. Hiyo ni SHORT TERM tu. Kesho iliyo BORA haiwezi jengwa kwa style hii. Nawaza tu wanaowatuma sijui wanatumia nini kufikiri ?'VIGODA' LABDA...Nakumbuka msemo wa aliyewahi kuwa MEYA wa JIJI la DSM ( APUMZIKE kwa AMANI). Tunatarajia WASAIDIZI wa Rais mlioaminiwa Kusimamia wizara, mtaruhusu SECTRETARIAT iwazidi Akili...unless muwe WOTE mna LENGO MOJA.
52
Nashukuru sana kwa kutusaidia kusema. Nikiri kuwa nchi yetu tumekosa vyombo vya habari vinavyo habarisha ukweli ndio maana maendeleo yanazorota. Sababu mtu anatumia pesa kuwahonga ili walagai umma. Japo ukwel haujifichi.
Yaani EATV nao wameingia kwenye propaganda ๐ณ
Badala mngefanya uchunguzi baada ya kuweka ule waraka - nina DM ya kutosha
38
Mh. Rais @SuluhuSamia nimekuwa nikipambania vijana wenzangu wabbt ili mradi wa bbt utekelezwe kama ulivyowania ila kwa taarifa nilizopata wananisaka waniteke. Kikosi kazi cha Waziri bashe kikiongozwa na Hemedi Ally @KassimMajaliwa_ @MariaSTsehai
67
Mh. Rais wetu @SuluhuSamia kukusudia kwako kuwekeza kwa vijana kwenye kilimo kupitia program ya bbt, nikukusudia kulijenga taifa tajiri. Unaweka historia na alama katika taifa kwa manufaa ya leo na kesho.
1
43
Tumekuelewa Mh. Rais wetu @SuluhuSamia . Vijana kwa ushupavu na bidii tunatekeleza #kilimo. Ajenda 10/30 is possible
1
47
Kilimo ni Biashara, uwekezaji wa vijana kwenye kilimo utaongeza chakula duniani, utatengeneza ajira mpya, utapelekea mapinduzi katika sekta ya viwanda na sekta nyingine.
25
Kilimo ni utajiri. Nchi yetu kwa hali na asili yake inaruhusu kilimo. Kama vijana wakijikita kwenye kilimo ipasavyo changomoto ya Ajira kwa vijana itaisha kabisa.
39
Taifa litakukumbuka na kukuheshimu sana siku za baadae ndugu @HusseinBashe kwa commitment kubwa uliyonayo kwa vijana wa taifa letu kupitia wizara kilimo. Tunaiona leo iliyo njema na kesho bora kwa Taifa letu. Vijana wapo kazini......
28













































