Sabatho Nyamsenda (@Sabatho7) header
Sabatho Nyamsenda (@Sabatho7) profile picture

Faculty Member, University of Dar es Salaam

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2015
Je, unawafahamu hawa jamaa wanaotembea na maroba wakiokota chupa na taka zingine? @Mtawada_tz wanatuambia kila tukiwaona tusimame na kuwaambia asante kwa kuokoa uhai wetu. Wanaokoaje? Soma tamko la @Mtawada_tz khs #MeiMosi2025 hapa chini 👇🏿
This Post is from an account that no longer exists. Learn more
1
15
1
18
3,435
Mwandishi wa kitabu husika andai kuwa kitabu chake cha awali ndicho kilichoibua akina Traore kuongoza mapambano dhidi ya ukoloni mambo leo wa Ufaransa 😂😂😂🙌🏿.
5
2
6
1,092
Replying to @EduTalkTz
Kwenye kitabu cha “Wavujajasho dhidi ya Soko Huria” niliandika utangulizi uliofasiri wito wa Che Guevara: “Be realistic, demand the impossible.”
1
5
19
551
Ushirika wa Kifeminia / Feminist Cooperativism
1
5
1
12
1,615
Kutoka ‘Baba Kabwela’ hadi ‘Mama Anaupiga Mwingi’: Hatma ya Wavujajasho Chini ya Utawala wa Kibwanyenye… ✍🏾
3
14
487
“Mimi bado natembea nalo [Azimio la Arusha]. Nalisoma tena na tena kugundua kama kuna cha kubadili. Labda ningeboresha Kiswahili nilichotumia lakini AZIMIO LENYEWE BADO NI THABITI. Nisingebadili hata neno moja.” - Mwl J.K. Nyerere (1999)
1
16
1
44
2,387
“It fills me with indignation to think of the Palestinians, who an inhuman humanity has decided to replace with another people - a people martyred only yesterday… [They] remind every human conscience of the moral necessity to respect the rights of a people” - Thomas Sankara
2
14
341
“Does the world expect us to be well-behaved victims while we are being killed, for us to be slaughtered without making a noise?” - Yahya Sinwar
1
2
293
“MTAWADA kirefu chake ni Mtandao wa Waokota Taka Rejeshi Dar es Salaam” - mratibu wa @Mtawada_tz akifafanua khs malengo ya mtandao huo kwa waokota taka rejeshi wa Kigamboni. #TakaRejeshiNiAjira #UtuNaUhaiwaMazingira
4
11
484
My brother and friend @IsaacSsemakadde is being sworn in today as President of the Uganda Law Society overcoming all stumbling blocks put by the powers that be. Hongera kaka. I hope you will team up with TZ’s legal rebel @Mwabuk2Boniface who was recently elected TLS President.
1
5
11
2,263
Always a comrade!
13
8
4
61
9,186
Kati ya hoja alizoibua Dr Nchimbi ni kuwa Rais akishaingia madarakani kwa mujibu wa katiba hawezi kuondolewa hadi amalize kipindi chake. Hii si kweli. Pamoja na ubovu wake, Katiba ya 1977 imeweka utaratibu wa kumuondoa Rais madarakani kabla ya kipindi chake kumalizika… (2/4)
1
1
3
155
Unaweza kuleta official data za kuonyesha kuwa China ana-account 20% ya debt stock ya TZ? Takwimu za IMF zinaonyesha ni 0.3% ambayo ni sawa na ile iliyodai ndiyo ya China kwa Marekani ambayo umedai hai-warrant China kuikoromea Marekani.
40
Kwa hiyo Marekani iliyotenga ma trilioni ya fedha kueneza propanganda ya kuibagaza China nayo inatekeleza Ujamaa? 👇🏿
2
27
Marekani kutumia dola bilioni 1.6 (sawa na trilioni 4.4) kwa ajili ya kueneza propaganda za kuibagaza China. Kosa la China ni kuwa lisilo la watu weupe ambalo limeondoa umaskini na kuinuka kiuchumi kuzipiku nchi za Magharibi. Wakubwa hawataki nchi zingine zijikomboe kama China.
3
2
9
528
Kwa mujibu wa Rais wa TLS, @Mwabuk2Boniface kifungu cha sheria alichokinukuu Waziri wa TAMISEMI hakimpi mamlaka ya kufuta kata/vijiji/vitongoji. Kama hiyo ni kweli basi waziri husika anatakiwa kujiuzulu haraka sana kwa kukiuka sheria na katiba. Ama sivyo atumbuliwe!
6
15
36
1,466
Unyama, uporaji na ukaburu unaofanywa dhidi ya wakazi wa Ngorongoro haukubaliki. Tuungane kuupinga kwa nguvu zote. Nchi hii ni ya kwetu sote, asijitokeze mungu-mtu akajipa mamlaka ya kuhamisha watu kwa mabavu, kuwakatia huduma na kuwanyima haki zao za kiraia! Tuseme HAPANA!
14
39
4
77
5,411