
UDSM Alumn, C.E.O of @diiboss_tz Tanzania Athlete,Fear of God. For business 📞|WhatsApp 0762019556 Comedian, Runner Chelsea Fun
Joined December 2021
- Tweets12K
- Following2.8K
- Followers1.3K
- Likes2.7K
Tanzania yangu ,kuna siku kiza litakwisha na mwanga utakapochomoza wahumi wote watamwilikwa na kushindwa kuongea .
TAL Mungu akutie nguvu tutashinda
2
26
Tarehe 29 Leo umetumia mwaka mmoja toka wenye ulafi wa madaraka waamue kutuulia ndugu zetu kikatili mnoo.Siku hii haitanitoka akilini mwangu kamwe kwakuwa nilishihudia ukatili wa kiwango Cha hali ya juu katika taifa langu.Mungu azipe pumziko la amani Roho zote zilizouwawa siku 29
Hii kuteka teka vijana kwenye hili taifa ipo siku nasema ipo siku kisasi kitalipwa ,tuombe uzima muda ndio kila suluhu hata kama haitakuwa saa100
29
Mkuu hongera sana kwa mapambano na masomo
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
29
#DearNyerere Ni mwaka sasa tangu watanzania wenzetu wameuwawa wakipigania haki ya kuchagua mtu wa mtajaye na sio atajaye kuongoza kwa mabavu Cha ajabu mpaka sasa muuaji anachunguza nani muuaji
Mungu akupokee na akupe pumziko la amani kaka.
The Citizen editorial cartoonist King Kinya, has died.
He was renowned for his bold, thought-provoking cartoons, which used humour & satire to examine political, economic & social issues.
His work often challenged those in authority and stimulated public debate.
37
Dickson Lyimo retweeted
Kama MWAIPOPO kusema ATAWAUWA wananchi ni NIA njema Unawezaje kusema Tundu lissu anaesema Lazima tuupinge mfumo kandamizi kwa maandamano ni UHAINI???
Awamu ya SITA ina VIONGOZI WAPUMBAVU sana
Dickson Lyimo retweeted
Mzee @freemanmbowetz
Wanyama wa porini huua/kupigana kwa sababu zinazohusiana na mahitaji ya kuishi: chakula, kujilinda, kulinda watoto au eneo. Simba anawinda kwa ajili ya chakula siyo mateso, chuki, kisasi
Binadamu ni viumbe katili zaidi ya wanyama. Binadamu anaweza kumdhuru mwingine kwa sababu ya chuki, ubaguzi, tamaa, kulipiza kisasi, madaraka au kwa sababu anaona mwingine hafai kuishi
Kutoka Mikocheni kwenda ilipo Mahakama Kuu ya Tanzania ni umbali usiozidi 5KM. Kutoka Mikocheni kwenda Rufiji ulipo mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ni umbali wa 260KM
Unaweza kusafiri kwenda mkoa mwingine kwa zaidi ya saa tano kuhudhuria shughuli za Serikali katili ya CCM lakini huwezi kutumia dakika 10 kutoka kwako kwenda Mahakama Kuu katika kesi ya TAL?
Huwezi kwenda safari ya 5KM kumuona Mwenyekiti wako wa chama, aliyerithi kiti chako katika uchaguzi HURU na HAKI lakini unaweza kwenda 260KM kuungana na watesi wa Mwenyekiti wako?
Nini muhimu zaidi kwako? Ni wewe ulitueleza miradi ya maendeleo haiwezi kuwa mbadala wa haki za binadamu. Leo kuna watu wanatekwa na kupotezwa, wanashtakiwa kwa ugaidi na uhaini. Hujui?
Lakini umechagua nini? Nimekusikiliza ukisema “mradi wa JNHPP usichukuliwe kisiasa kwa kuwa ni mradi unaokwenda kusaidia uchumi”. Umesahau ulitueleza nini kuhusu miradi ya MAGUFULI?
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe kwa sasa ni ‘mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA - ni kutokana na hiki kinachoitwa ‘ustaafu’ wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kwa maana kwamba, Freeman Mbowe yupo katika kundi sogozi la WhatsApp na mengine (kama yapo) ambayo wajumbe wa kamati kuu wanajadili kwa hisia zao tofauti masuala mbalimbali ya chama
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu CHADEMA huwezi kwenda Mahakamani katika kesi ya kiongozi wa chama, lakini unaweza kwenda katika shughuli zinazoongozwa na mwenyekiti wa CCM
Freeman Mbowe umesahau, wakati ukishtakiwa kwa makosa ya uongo ya UGAIDI, Tundu Lissu alikuwa Belgium akijiuguza majera ya risasi. Aliomba kukutana na Rais alipokuwa Brussels
Pamoja na mambo mengine waliyokubaliana, alisema Mwenyekiti Freeman Mbowe aachiwe ndiyo tufungue ukurasa mpya. Tundu Lissu alitujulisha mwenyewe hayo alipozungumza na umma.
Tundu Lissu akiwa na siku 500 gerezani. Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe hujawahi kukanyaga Mahakamani kuanzia Kisutu hadi Mahakama Kuu hata kwa bahati mbaya.
Saa 24 baada ya Mahakama Kuu kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya UHAINI ya uongo na uzandiki, Freeman Mbowe unaibuka katika shughuli za Serikali ukiwa na MAWAZIRI.
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA umekataa kabisa kuhudhuria shughuli zozote za CHADEMA lakini unaweza kuhudhuria shughuli unazoalikwa na WATAWALA KATILI wa CCM.
Unahudhuria shughuli za Serikali umeongozana na mawaziri wa Serikali katili ya CCM wakati ambao wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa mamia wamekamatwa na kushtakiwa kwa UGAIDI?
Mzee Freeman Mbowe umesahau haraka. Kuna watu walifungwa gerezani, wengine sasa ni walemavu, wengine sasa ni marehemu kwa sababu ya kupigania jina lako ukiwa kiongozi wa chama chetu.
Umesahau, wakati unakamatwa na Serikali katili ya CCM, 2021, wanachama wa CHADEMA walikwenda kuonyesha ‘solidarity’ na wewe pale KISUTU. Walikamatwa, wakashtakiwa, wakafungwa
Najutia zile siku nilisimama nawe, kukutetea na kunadi jina lako kwa nia njema kabisa nikifikiri unapambania uhuru, haki na mabadiliko ya kweli. Haikuwa hivyo. Ulitudanganya tukishindwa.
Nasema kwa kuwa kwa hiari yangu, niliamua kusimama nawe, kukunadi katika mazingira ambayo ilionekana ni kama kuuza kitimoto Mecca. Lakini sikutarajia tukishindwa, tuisaliti CHADEMA
Wengine sasa tumeelewa kwa kuchelewa sana. Hii chuki haiwezi kuwa ya kushindwa uchaguzi. Lazima kuna mafekeche mengine. Kuna kingine kimeujaza chuki moyo wako. Je, kuna mrija, umekatwa?
Najutia kumpa mtoto wangu jina lako, Freeman.
Ngoma bado ipo kati nikueashina tu🙌
Hawa hapa mashahidi wa SC Tundu Lissu:
Samia Suluhu.
Philip Mpango.
Kasim Majaliwa.
IGP Wambura.
DCI Kingai.
CEO TISS.
Afande Ng'anzi.
Agather Atuhaire.
Boniface Mwangi.
John Marwa.
A Golugwa.
J Heche.
J Mnyika.
Prof Willy Mutunga.
SC Martha Karua.
Tuguse tunuke!
45
Namna hiyo wazee wenye busara ndio hawa sasa.
Kikundi cha #ToneTone ambassadors kimechangia kufanikisha Baraza Kuu la Umma kiasi cha Tsh. 2,000,000.
Sasa tumebakiza Milioni 56.2 kufikisha milioni 334.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
46
😂😂😂😂😂
Yule janja kwenye biblia alimuomba baba ake ampe urithi wake mapema, Dingi hakukunja akampa matokeo yake pesa yote akaenda kuila na malaya
Alipoishiwa malaya wakajikataa akabaki akijutia nafsini mwake njaa ikawa kali akaanza kujilisha na nguruwe.
Dakika za jioni akaona sio sawa ngoja aende akamuombe msamaha mshua, Dingi akampa second chance..
Ni kisa fulani hivi ambacho Masihi alikionesha watu wajue umuhimu wa msamaha.
Sema yule janja angekuwa ndio mwanangu kabla sijamsamehe angekula mboko nyingi sana, nadhani alikuwa ndio anabalehe sio kwa yale mawazo ya kijinga😁🫵
Mungu aendelee kuwapa uimara wote waliosingiziwa kesi za kubumba na watawala wa serikali ya SaaMia
Rafiki yangu @jacksonmnyawam2 yupo gerezani na ametengwa na watoto wake kwa sababu tu , yupo upande wa kupigania HAKI.
Watoto wake wanamuuliza mama yao, “Mummy, where is our lovely daddy?"
Mama replies, "Your daddy is on safari.He will be coming back soon."
No hate No Fear
34
























