AgriPreneur | Farmer | Family First | FLY🦅 First Love Yourself 🫶 FARMING isn’t a Job. It’s A LEGACY. There is no Culture like Agriculture Bet on yourself

Madibira Mbarali Mbeya
Joined October 2013
“Kila mmoja kwa karama yake, kadri yake na kudra yake” Muda hamsubiri Mnyonge✍🏻
2
18
2
75
Update ya Uliemtuma kazi🤦‍♂️ @themkulima @Mazikuagric @masuba___ Amekaaaa😆 Kesho zizame PowerTiller tu kupiga show Huyu akirudi awe amevaa Rota tu
Nirudi tu shamba Phone farming hii itanipandisha pressure tu😆 uliemuachia Trekta anaendekeza vibarua kuliko kuandaa mashamba yako kwa wakati @mwasa05 @masuba___ @themkulima Kijana anakuzimia na simu unaanza mtafuta kwa whataspp call usipompata asubuhi unashangaa ameamkia vibarua ameacha kazi zako🤦‍♂️
2
1
6
453
🚛 CALVARY INVESTMENT COMPANY LTD 🇹🇿 Moving heavy loads. Delivering trust. Connecting businesses across Tanzania and beyond. 🌍💪 From heavy haulage to specialized cargo transportation, we move your business forward with reliability and commitment. Your cargo. Our responsibility. 🤝 @GodemaE Nzito na Mchina🔥
2
852
Kidubwashaa chako cha TTCL dada akifanya usafi asubuhi akikitingishaa kidogo tu kinakataa moto😆 @iDreamfoto kina save ila kinaboa sometime🤦‍♂️
1
2
254
Nirudi tu shamba Phone farming hii itanipandisha pressure tu😆 uliemuachia Trekta anaendekeza vibarua kuliko kuandaa mashamba yako kwa wakati @mwasa05 @masuba___ @themkulima Kijana anakuzimia na simu unaanza mtafuta kwa whataspp call usipompata asubuhi unashangaa ameamkia vibarua ameacha kazi zako🤦‍♂️
3
1
1
17
2,861
DAR kuna mademu mashauzii bwanaa🤦‍♂️ na Huruma zangu bwana nimekutana na Mdada Bank alikwenda kulalama hela zake kwenye kadi zinapotea tukagongana customer care pale mimi nikasolve shida yangu, mwenzangu shida yake ikaonekana hela zinakatwa kwenye kadi zinakwenda kwenye malipo ya Application mbalimbali zikiwemo Snapachat, whatsapp business n.k picha limeanza Hana Balance hata mia kwenye kadi na kuna kama 41k imekuwa blocked inakwenda kwenye makato kifupi hana hata mia kwenye kadi na hana nauli cash hata mia alitegemea angetoa kwenye ATM pesa iliokuwa blockers baada kusolve tatizo lake tunatoka Nje namuuliza anapokwenda akanitajia nauli kwa daladala ni 700/= nikampa buku afanye nauli akaniambia yeye hapandi Daladala ana BOLT nikamwambia asante nikarudisha Buku langu mfukoni nikasepa zangu tu nimemuacha atajijua mwenyewe😆
45
30
10
436
45,960
weeeeeeeee😆😆
Man U direct win Stake a WIFE!!!!
3
236
Howo Max 250 na ni kampuni mpyaa inaanza🤦‍♂️ Tunyooshee Baba🙌
6
1
29
1,887
Nimelipia @azamtvtz miezi miwili(mara mbili) kimakosa na hili jua linavyowaka daah🤦‍♂️ ukipiga huduma kwa wateja wapo busy tu😤
4
9
1,960
Oyaa @iDreamfoto una harakati gani leo? nije huko twende hata Wilayani milimani tukale mafenesi tu😆
120
Tuunge tu lingine kwa hiyo 10500 wazee @SelcomPesa Hapa mnatusave sana akina sisi pangu pakavuu🙌 la week kwa 2500 tulisave 83k tukaja unga la mwezi kwa 10500 tumesave 309k✍️
1
4
274
Mkubwa kajaa kwenye Mfumo wa Mchina sasa @TBoundBuses 😆
3
1
15
1,022
Wakubwaa eeeh Naomba kueleweshwa bila makelele utofauti wa Yutong Bus D14 D14plus D14 super ni upi? @TBoundBuses @SouthernBuses @BusesNation
8
4
3
71
8,787
Tuka mu unfollow kwanza Mr T Touch naona ameshawehuka sasa hana jipyaa tenaa, amekuwa mweupee kichwani kama maji ya Dawasa🚮
111
Bando za Selcom kulipia malipo ya Gavoo sijui kununua umeme n.k hakuna cha free kuna makato wanachukua🤦‍♂️
1
140
Hivi hawa watu wanaokuja kuchora nyumba zinazojengwa huku mtaani kwa kuwaandikia “SIMAMISHA UJENZI FIKA OFISINI” ni huwa wanataka nini kikubwa haswa,,au hawataki majirani na raia wapya mtaani kwao??
1
5
593
Huyu nae wa wapii? gari lina mataa kama Disco toto @SouthernBuses @TBoundBuses
1
2
1
20
2,331
Show za BENZ na Nzito yake @GodemaE Pundaa afeee mzigo ufike🙌
3
9
1
57
6,019
🚨TBT threads, Drop your Favorite TBT Picture..!✍
1
203