
Affordable digital finance app by @selcom_mfb, empowering individuals with secure and fast financial solution. Get started now! For Android or iOS.
Joined January 2025
- Tweets2.4K
- Following6
- Followers1.6K
- Likes844
Selcom Pesa retweeted
@SelcomPesa Ile huduma yao ya kununua bundle ni nzuri sana..
Selcom Pesa retweeted
Replying to @nuruafrica @AzamPesa
Ninajua yes you can use @AzamPesa or @SelcomPesa for lower cost transfers.
Selcom Pesa retweeted
Tuunge tu lingine kwa hiyo 10500 wazee @SelcomPesa Hapa mnatusave sana akina sisi pangu pakavuu🙌
la week kwa 2500 tulisave 83k tukaja unga la mwezi kwa 10500 tumesave 309k✍️
Selcom Pesa retweeted
Selcom business is going to be 🔥🔥🔥 to entrepreneurs. Big up @SelcomPesa
Selcom Pesa retweeted
Replying to @SelcomPesa
@SelcomPesa wameleta Dollar Account. Now unaweza tuma na kupokea Dollar kutoka nchi yoyote ile. Unachotakiwa kufanya ni kutuma Acc details then boom mzigo unasoma kwa account yako. Na unaweza badilisha hizo Dollar kuja kwa TZS.
Selcom ni wanoma sana 🙌🏾🔥
Selcom Pesa retweeted
Sema @SelcomPesa mko na card nzuri sana wallah unavutia sana graphics zake zimekaa poa sana
SINA HOFU TENA 🔥🔥
Mabando ya Miamala yanazidi kubamba
#Switch2SelvomPesa
Book on the Air Tanzania website and pay instantly for FREE with Selcom Pesa. Open the Selcom Pesa App > Pay Bills > Travel > Air Tanzania > Enter your Reference Number.
Selcom Pesa retweeted
📍Kituo cha Selcom Ubungo sasa kipo wazi!
Tunapatikana East Africa Commercial & Logistic Center, ghorofa ya chini, duka A5-32.
Tupo wazi kila siku, saa 3:00 asubuhi–12:00 jioni.
Selcom Pesa retweeted
Replying to @SelcomPesa
Sisi wakuokota $1 tutakuwa tunatupia humo Asante sana #selcompesa


















