Edward (@SimpertE) header
Edward (@SimpertE) profile picture

Ukijua kutega ujue na kutegua.

Tanzania
Joined September 2011
Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)
Tuamini la amani na umoja wa Watanganyika. Mpigania haki, Demokrasia na uhuru wa kujieleza. Mwenyezi Mungu tunamuombea ulinzi wako Tundu Lissu. 🤲
3
15
70
991
📖Zaburi 30:5 "Kilio hukaa usiku, lakini asubuhi huja furaha." Asante Bwana, Alhamisi hii ni ya ushindi na baraka. Amina 🤲
8
16
32
443
TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back ✍️ Nifollow mimi @Dr_ShirimaElite Kwa pamoja tutafika 10K📌.
16
18
33
586
📖Zaburi 90:14 "Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, tupate kufurahi na kushangilia siku zetu zote." Baba, asante kwa kuniamsha Jumatano hii. Asante kwa pumzi, uzima na ulinzi wa usiku. Amina 🤲
4
12
19
307
Umeenda mbali sana Wakili Msomi. Hata mimi wa darasa la 4 la shule ya mfereji nisingemfunga Lissu.
Kesi ya Lissu hata angesikiliza Mwanafunzi wa first year wa Chuo chochote, hata wa certificate tena wa hivi vyuo vya pembeni bado asingeweza kumfunga! Ni vitu vya kawaida sana vimejadiliwa kwenye ule uamuzi! Yani mtu anashindwa kufanya analysis ya Minor and cognate offence?
1
1
10
256
Utapeli tu
Kura MILIONI 31+ zilisema ndio kwako sawa na 98%. waliopata kura laki 7 sijui kwa ujumla wao wakakupongeza kwa USHINDI wa kihistoria. Leo unawaita tena mnaridhiana. Hii nchi kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake.
3
110
“Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu. ” Mt 4:4 SUV
7
24
57
590
📖Zaburi 90:12 "Utufundishe kuhesabu siku zetu, tujipatie moyo wa hekima." Baba, asante kwa kutuamsha Jumanne hii mpya. Tujaze Roho Mtakatifu na nguvu mpya ya kuanza siku. Amina 🤲
6
11
18
326
#TANZANIA: MARIDHIANO YA KWELI HAYAWEZI KUFANIKIWA BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI - MWABUKUSI Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema maridhiano ya kweli na ya kudumu nchini hayawezi kufikiwa bila kuwepo kwa ukweli, haki na uwajibikaji kuhusu matukio yaliyotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamko lake alilolitoa leo Novemba 16, 2026, Mwabukusi amesisitiza umuhimu wa kuundwa kwa Tume Huru, Jumuishi na Yenye Kuaminika ya Ukweli, Haki na Uwajibikaji, itakayohusisha wataalamu wenye uadilifu kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na uwakilishi wa wahanga. Amesema haiwezekani kujenga maridhiano ya dhati wakati wanaharakati, watetezi wa haki za binadamu na wanasiasa wanaotetea haki wakiendelea kukabiliwa na vitisho, kukamatwa na kuwekwa kizuizini. Aidha, ameeleza kuwa mgogoro unaoendelea nchini haupaswi kutazamwa kama mgogoro wa vyama vya siasa pekee, bali ni suala linalohusu haki, utu, usalama na uhai wa wananchi. Mwabukusi pia amegusia suala la kiongozi wa CHADEMA, Tundu Lissu, ambaye amesema kuendelea kwake kuwa gerezani katika mazingira yanayoibua maswali kuhusu uhalali na uadilifu wa kisheria kunafanya hali ya kisiasa kuwa ya kusikitisha zaidi. Amesisitiza kuwa maridhiano hayapaswi kutumika kama njia ya kufuta makosa au kuficha ukweli, bali yanapaswa kujengwa kwa misingi ya kukiri ukweli, kutambua madhara, kutenda haki na kuhakikisha wahusika wanawajibika. Katika ujumbe wake, Mwabukusi amehitimisha kwa kusisitiza kuwa ukweli ndio mwanzo, haki ndiyo msingi, uwajibikaji ndiyo daraja na maridhiano ndiyo matokeo, akieleza kuwa misingi hiyo ndiyo itakayosaidia kuponya taifa.
5
46
1
189
2,533
Matapeli wakutana; Ogopa kundi la wajinga wakiwa pamoja.
2
77
📖Zaburi 138:8 "Bwana atanitimizia yanayonihusu; fadhili zako, Bwana, ni za milele." Nakukabidhi wiki mpya, kazi, biashara na mipango yangu. Tangulia mbele yangu, nifungulie milango na unipe kibali. Amina 🤲
7
13
27
379
📖 Zaburi 91:11 "Atawaagizia malaika wake wakulinde katika njia zako zote." Walindeni watoto wetu shuleni na njiani Ajali, magonjwa na hatari zote, zikae mbali nasi. Amina 🤲
5
4
13
228
Huyu mtu ameshatuona Watanganyika malofa.
‼️🚨SAMIA SULUHU’S DESPERATE ATTEMPT AT RECONCILIATION‼️ Tomorrow the Registrar of Political Parties has called a meeting of top leaders of political parties in #Tanzania under the leadership of Samia Suluhu This happens while Tundu Lissu - the chair of largest (opposition) party CHADEMA is in jail on an illegal sentence! No real reconciliation or negotiations can happen - this is just a charade! You can’t kill and lead us, Samia Suluhu! You will never know peace - you MUST be held accountable! #NoJusticeNoPeace #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
1
5
687
📖Isaya 41:10 "Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako." Nitakase kwa damu ya Yesu, nijaze Roho Mtakatifu. Nitie nguvu, wewe u pamoja nami. Amina 🤲
5
18
355
Zaburi 5:3 "Asubuhi utaisikia sauti yangu, ee Bwana." Baba, asante kwa asubuhi hii ya Ijumaa. Asante kwa pumzi, uzima na ulinzi wa usiku. Nakukabidhi siku yote mikononi mwako. Tangulia mbele yangu, nyoosha kila njia nipitayo. Amina 🤲
5
8
24
419
WELCOME
If you need +10k followers ❗️ Say >=> Welcome 👋 I will boost your page now 💯♻️✈️✔️
3
120
Edward retweeted
Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa ambayo ni 623. Ukisoma Luka 6:23 inasema “Furahini siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.” Kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya Tundu Lissu ni kusudi la MUNGU tusihuzunike sana. USHINDI UNAKUJA NA HAUPO MBALI. GOOD MORNING. REPOST 200 #FreeTunduLissu
37
348
3
1,745
43,090
📖 Zaburi 143:8 "Unisikilizishe fadhili zako asubuhi, maana nakutumaini wewe." Baba, asante kwa asubuhi hii mpya ya Alhamis. Asante kwa pumzi na uzima. Nakukabidhi siku hii yote, nitakase kwa damu ya Yesu Kristo. Amina. 🙏
2
5
15
340
‼️EXCLUSIVE‼️ Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma “Hukumu waliyopewa”. Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.🙌 #FreeTunduLissu
39
443
8
1,518
91,359
Hakuna kukata tamaa
Mfungwa namba 623/2026 Tarehe ya kufungwa 06/11/2026 Tarehe ya Kutoka bila kupunguziwa robo ya kifungo ambayo inapunguzwa kwa mfungwa ambaye hajatenda kosa akiwa gerezani ni Tarehe 05/11/2030 Tarehe ya Kutoka ukitoa robo ni Tarehe 05/07/2029; Mapambano yaendelee!!
1
7
224