Edward (@SimpertE) header
Edward (@SimpertE) profile picture

Ukijua kutega ujue na kutegua.

Tanzania
Joined September 2011
Tuamini la amani na umoja wa Watanganyika. Mpigania haki, Demokrasia na uhuru wa kujieleza. Mwenyezi Mungu tunamuombea ulinzi wako Tundu Lissu. 馃げ
3
15
70
991
Mwamba huu kutoka mkoa aliozaliwa Julius Kambarage Nyerere, John Wegesa Heche, he deserves to be a leader. Ameikubali heshima na kuikataa njaa.馃憦馃憦
44
1
520
9,276
Replying to @MariaSTsehai
Tutaendelea kukuombea Daima shujaa wetu.
2
2
154
#FreeTunduLissu "MSIOGOPE TUTASHINDA"
1
19
372
Nasimama upande wa haki #FreeTunduLissu
3
10
28
418
Kosa la uhaini hukumu yake ni Moja tu, kunyongwa hadi kufa. "Mkinikuta na kosa msisite kunihukumu kama Sheria inavyosema" Tutakulipa nini Tundu Lissu kwa kutupigania Watanganyika kiasi hiki? 馃槶馃槶
2
45
176
2,051
Replying to @MariaSTsehai
Ni kazi ngumu sana kutetea uongo mbele ya hadhara Ulimwengu ukiwa unakutazama. Ni sawa na kutoa haja kubwa hadharani mchana kweupe. Kwa mara ya kwanza Jana nimemuona Lema mwenye domo zoto kama kameza mkaa wa moto.
1
79
Pumzikeni mahali pema ndugu mliouawa Oktoba 29, 2025. Hakika ni vigumu kusahau unyama uliofanyika. 馃槶馃槶
2
1
7
133
Amen 馃げ馃げ
5
122
Simba of Tanganyika. Kwa muda aliotumia Mahakama Kuu kutoa kozi ya Sheria naweza kusema kwa sasa nami nimekuwa Wakili Msomi kama Tundu Lissu. Hii ni zaidi ya Law School. 馃檹馃げ馃憤馃挭
7
56
538
Amen 馃げ
13
6
39
451