Travis retweeted
29/10 TO THE FALLEN HEROES ๐๏ธ
Gone but never forgotten, Your sacrifice will forever live in our hearts.
May your souls rest in eternal peace.
We Remember. We Honour. We Will Never Forget. ๐
Travis retweeted
Iringa, vijana wa kiume kwa kike zaidi ya 100 walikamatwa, wakafungiwa kwenye hall, wakavuliwa nguo, wakafanyiwa ukatili wa kingono, wakapigwa mabomu ya machozi huku milango imefungwa.
Siwezi kufikiri waliteseka kiasi gani na wangapi walikufa.
We demand justice. 29/10๐
Umepita mwaka mmoja toka nimpoteze mshkaji wangu niliesoma nae na kushare nae moments nyingi sana.
Until we meet again brother ๐๏ธ
29/10/2025
Travis retweeted
Nauli ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine inazidi au inakaribia sawa na kutoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ha mkoa huo huo, hii ni kutokana na hali ya miundombinu.
Travis retweeted
October 29, been a year kama utani
REST IN PEACE MASTER TINDWA๐๐
We donโt blame the bullet that took your life, we blame those who allowed such a barbaric act to be committed against innocent civilians
The bullet pulled the trigger, but those who enabled this atrocity must be held accountable๐ค
Travis retweeted
Kama kuna mtu niliyemkosea kwa maneno, matendo au kwa namna yoyote ile, naomba anisamehe.
Maisha ni mafupi, na hakuna ajuaye kesho yake. Tuchague upendo, amani na kusameheana kabla haijawa too late.
Pia, tuwakumbuke marehemu wetu katika sala na dua. Mwenyezi Mungu awarehemu wote waliotutangulia, awape pumziko la milele na awafariji wote waliobaki na majonzi. ๐คฒ๐๏ธ
Tusisubiri msiba ndipo tujifunze kupendana, na tusisubiri kesho kuomba msamaha. โค๏ธ
Travis retweeted
AMEPOTEA ANATAFUTWA๐๐
Kaka habari za asubuhi najua unafollowers wengi sana mkuu naomba utusaidie kusambaza taarifa hii mwenzetu ana siku ya 9 leo amepotea tulianza nae chuo pale UDSM mwaka 2023 tulipokuwa mwaka wa pili 2024/2025 alipata scholarship akaenda nje kusoma kwahyo sisi tumeshagraduate mwaka huu mwezi huu alikuwa nchin kama sehemu ya mapumziko katika masomo yake lakin ametoweka tu bila kujulikana alipo siku ya 9 leo
AMEPOTEA bila kujulikana halipo Wala kupatikana kama unataarifa yake yeyot au mawasiliano nae, au chochot kitakachotusaidia kumpata tafadhari, tusaidie ๐๐๐
Tutumie ujumbe +255 627 158 581
Travis retweeted
October 29/2025 ๐
siku kama ya leo Watanzania wenzetu waliuawa kikatili ๐ Ni siku yenye maumivu makubwa katika historia yetu, siku ambayo mioyo mingi ilijeruhiwa na kumbukumbu zake hazitafutika kamwe. Hatutawasahau. ๐๏ธ๐ชฆ๐น๐ฟ โ at Dar es Salaam, Tanzania
Travis retweeted
29th October. A day Tanzania will never forget.
We remember the lives lost, the pain endured, and the voices that must never be silenced.





























