ochola..🦅⚠️ retweeted
Watu wengi leo walikua Bize kufatilia matukio ya kanisa katoliki ya kukumbuka wahanga wa Oktoba 29 hadi SERIKALI inaona wivu🙌🙌
Wangekua na uwezo wangelifungia hili kanisa ni kama kuna dola mbili zinachuana ndani ya nchi moja🙌
ochola..🦅⚠️ retweeted
🔜 Quarter-finals. @Carabao_Cup
ochola..🦅⚠️ retweeted
Mashirika ya kijamii Tanzania zataka waliohusika na vifo vya Oktoba 29 kuwajibishwa
bbc.in/4kmo5AT
ochola..🦅⚠️ retweeted
Leo Ikulu, jijini Dar es Salaam, nimemkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mheshimiwa João Lourenço, aliyeko nchini kwa ziara ya Kitaifa, ikiwa ni ziara ya kwanza ya Rais wa Angola nchini Tanzania katika kipindi cha miaka 45.
Katika mazungumzo yetu tumejadili juu ya kuimarisha uhusiano wa kihistoria uliojengwa na waasisi wa mataifa yetu, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Agostinho Neto.
Tumekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kwa Tanzania kufungua upya ubalozi wake nchini Angola, kuandaa kongamano la biashara na uwekezaji, kuunganisha Ushoroba wa Lobito na Dar es Salaam, na kuboresha muunganiko wa nchi zetu kwa usafiri wa anga na majini. Pia, tumejadili fursa za uwekezaji katika sekta ya mafuta nchini Angola pamoja na kuimarisha ushirikiano wa madini, ikiwemo kutumia Kituo cha Madini Afrika kilichopo Dar es Salaam kuongeza thamani ya rasilimali hizo.
Aidha, kama Kinara wa Afya ya Mama na Mtoto, nimemwalika Rais Lourenço kuungana nami katika juhudi za kutokomeza vifo vya mama na watoto, na kuhakikisha kila mtoto anapata chanjo zinazostahili.
ochola..🦅⚠️ retweeted
At Yanga 🇹🇿, Stéphane Aziz Ki 🇧🇫 plays a major role in tactical planning! 🧠⚽
The Burkina Faso international was spotted in an intense discussion about tactics 📋 with interim coach Simo Dladla 🇿🇦 during a Tanzanian Premier League match against Mashujaa FC.
Moments later, Aziz Ki received a pass in a quick attacking move ⚡ and set up Peter Shalulile 🇳🇦 for a goal!
After Manqoba Mngqithi 🇿🇦 was surprisingly sacked by Yanga ❌, the former coach claimed:
🗣️ “It is possible that Aziz Ki spoke to some members of the management to say he does not like playing in my system.” (SNAWA) 💬🚨
Do you think players should be involved in tactical planning and have a strong influence? 🤔💭
ochola..🦅⚠️ retweeted
Tanzania: CHADEMA yatangaza siku saba za maombolezo
bbc.in/3Uj08zX
ochola..🦅⚠️ retweeted
Wewe ukipata mtu pendaneni tafuta gender yeyote ilimradi inapumua mengine utayakuta mbinguni love is love.
ochola..🦅⚠️ retweeted
Nasadiki kwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki na la Mitume.🙏❤️
#Mo29 #TanzaniaMassacre


































