Kukutia Ole Pumbun retweeted
Law is about facts, evidence and the proper application of established legal principles, not personal beliefs, assumptions or opinions.
A court that determines cases based on what it believes rather than what has been established through evidence and due process is a misguided court.
Justice must be founded on facts, not beliefs.
Tafsiri ya Kiswahili:
Sheria inahusu ukweli, ushahidi na matumizi sahihi ya misingi ya kisheria, siyo imani binafsi, hisia au dhana za mtu. Mahakama inayoamua mashauri kwa kuongozwa na kile inachokiamini badala ya kile kilichothibitishwa kwa ushahidi na kufuata taratibu za kisheria, ni Mahakama iliyopotea katika misingi ya haki. Haki lazima ijengwe juu ya ukweli, siyo imani.
Kukutia Ole Pumbun retweeted
๐จ๐๐๐๐ ๐๐จ๐ญ๐ ๐ช๐ ๐๐๐๐จ๐ก๐๐จ ๐๐๐ ๐ฏ๐ญ๐ต ๐๐๐ ๐ฆ๐๐๐ฅ๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐ข ๐ช๐ ๐ ๐๐๐ข๐ฆ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ก๐๐ (๐๐ฃ๐):
Kifungu hiki kinairuhusu mahakama kumtia hatiani mshtakiwa kwa KOSA DOGO au mbadala (minor/lesser offence) pale ambapo upande wa DPP unashindwa kuthibitisha KOSA KUBWA lililoshtakiwa, lakini ushahidi uliotolewa unathibitisha kosa lingine la chini yake.
MASHARTI YA UTUMIAJI WA KIFUNGU HIKI AMBAYO LAZIMA YATIMIE:
ASILI MOJA (Cognate Offence): Makosa hayo (KUBWA & DOGO) ni lazima yawe ya kundi au muundo mmoja. Mfano: Kushtakiwa kwa mauaji (Murder) na kutiwa hatiani kwa kuua pasipo kukusudia (Manslaughter), au kutoka unyang'anyi wa Silaha kwenda Wizi wa Kawaida.
VIPENGELE VILIVYOMO: Vipengele vya hilo KOSA DOGO ni lazima viwe vimo ndani ya maelezo ya KOSA KUBWA lililoshtakiwa tangu mwanzo.
HAKI YA KUJITETEA: Sheria inataka, matumizi ya kifungu hiki yasimshitukize mshtakiwa; lazima iwe alipata NAFASI YA KUTOSHA ya kisheria kujitetea dhidi ya mambo hayo wakati wa usikilizwaji wa kesi.
Baadhi ya kesi muhimu na za kihistoria nchini zilizoweka MISINGI MIKUU ya kisheria (leading precedents) ambayo majaji huandika kama rejea wanapotumia Kifungu cha 319 cha CPA kubadilisha au kushusha mashtaka:
1. ๐๐๐จ๐ ๐ฎ๐ ๐๐๐ ๐ซ. ๐๐๐๐๐๐ฃ๐ค ๐๐๐๐ข๐๐จ & ๐๐๐ฃ๐ฏ๐๐ ๐ (2002) ๐๐๐ 356.
Hii ni moja ya kesi maarufu na kubwa zaidi za kisiasa kutoka visiwani Zanzibar zilizofika mpaka Mahakama ya Rufani ya Tanzania.
UMUHIMU WAKE: Mahakama ilichambua kwa kina sana makosa yanayoweza kushuka daraja na kuwa "cognate" kwenye makosa ya KISIASA & USALAMA WA TAIFA. Mahakama ilieleza wazi kuwa makosa ya Kuhujumu Serikali/Uasi (Subversion) na Uhaini (Treason) ni makosa yenye asili moja (cognate offences) lakini sio UCHOCHEZI kama ilivyotumiwa na Jaji Ndunguru. Kesi hii ndiyo inayotoa mwongozo mkubwa wa jinsi ya kuunganisha makosa ya kiusalama nchini, hasa kwenye kesi za KISIASA kama ya TAL.
2. ๐๐๐จ๐ ๐ฎ๐ ๐๐๐ฉ๐๐ง ๐๐๐๐๐ง๐ ๐ซ. ๐
๐๐ข๐๐ช๐ง๐ (๐พ๐ง๐๐ข๐๐ฃ๐๐ก ๐ผ๐ฅ๐ฅ๐๐๐ก ๐๐ค. 90 ๐ค๐ 2005).
Kesi hii inatoa tafsiri pana zaidi na ya kiufundi inayotumika kubainisha kama makosa mawili yana undugu au la.
MISINGI ILIYOWEKWA: Mahakama ilisisitiza kuwa huwezi tu kubadilisha kosa kwa sababu linafanana kwa mbali. Ilitaja vigezo vikuu vitatu vya lazima:
A. Kosa dogo lazima liwe ndani ya kundi lile lile la kisheria na kosa kubwa (same legal genus).
B. Viambata/Vipengele vyote vya kosa dogo lazima viwe vimo ndani ya maelezo ya kosa kubwa lililoshtakiwa awali.
C. Kosa dogo lisilete mshtuko au kushtukiza upande wa utetezi (no element of surprise).
3. ๐๐๐จ๐ ๐ฎ๐ ๐ผ๐ก๐ก๐ ๐จ/๐ค ๐๐ค๐๐๐ข๐๐ ๐ซ. ๐. (1970) ๐๐พ๐ฟ ๐ฃ๐๐ข๐๐ 305.
Hii ni kesi ya zamani (enzi za Kifungu cha 181 cha CPC ya zamani mbalada wa kifungu kipya cha 319) lakini bado inasalia kuwa rejea mama kwenye mahakama zetu.
UMUHIMU WAKE: Mahakama Kuu ilikataa uamuzi wa hakimu wa chini aliyembadilishia mshtakiwa kosa kutoka Unyangโanyi wa Kutumia Silaha (Robbery) kwenda kosa la Kupokea Mali ya Wizi (Receiving Stolen Property). Mahakama ilisema makosa hayo mawili hayana asili moja (not cognate), kwani kosa la kupokea mali ya wizi linahitaji uthibitisho kuwa mshtakiwa alijua au alikuwa na sababu ya kuamini mali hiyo ni ya wiziโkitu ambacho hakipo kwenye sifa za unyang'anyi.
4. ๐๐๐จ๐ ๐ฎ๐ ๐ผ๐๐ค๐ฃ๐๐๐ข ๐ซ. ๐๐๐ฅ๐ช๐๐ก๐๐ (1971) ๐๐ผ 450.
Kesi hii kutoka Mahakama ya Rufani ya Afrika Mashariki ya kipindi hicho (ambayo maamuzi yake bado yana nguvu ya kisheria nchini) inaweka msingi juu ya haki ya mtuhumiwa.
UMUHIMU WAKE: Mahakama ilisisitiza kuwa hata kama Jaji/Hakimu anaona kosa lina sifa zote za kushushwa chini ya kifungu hiki, ni MARUFUKU kufanya hivyo ikiwa kitendo hicho kitamnyima mshtakiwa haki ya kikatiba ya kujitetea (prejudice to the defense). Mahakama ikahitimisha kuwa, mtuhumiwa lazima awe alipata TAARIFA ZA KUTOSHA kupitia mwenendo mzima wa kesi.
Ndugu zangu, tutafika tu....
#FreeTunduLissu
#BabaMwita โ๏ธ
Kukutia Ole Pumbun retweeted
Kwa muda mrefu sasa maisha ya Pascal Mayalla yamekuwa kitandani kufuatia ajali aliyopata huko Zanzibar na kuvunjika mguu. Aliwekewa chuma lakini kimekatika na kutengeneza jeraha jipya kwa ndani. Pascal yupo kwenye hatari ya kupata saratani ya mfupa. Lakini tuna nafasi ya kumsaidia Pascal aweze kusimama tena. M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu.
Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya.
Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu.
Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis).
Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma).
Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani.
_____
Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Kukutia Ole Pumbun retweeted
Ni Jaji wa Serikali, anatumika ktk mambo ambayo serikali inayataka.
Licha ya kubeba hukumu iliyoandaliwa na serikali na kuisoma ili kumuumiza Lissu; huyu pia ndie aliyetoa hukumu wa kesi ya mkataba wa DP WORLD na kuachia bandari yetu.
Kukutia Ole Pumbun retweeted
EU na Marekani zalaani hukumu ya Tundu Lissu
bbc.in/3WtZujO
Kukutia Ole Pumbun retweeted
MSIKUBALI UPOTOSHAJI ๐:
Ili MAHAKAMA iweze kutumia kifungu cha 319(1) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, KUMTIA MTU HATIANI KWA KOSA DOGO, ni LAZIMA MAHAKAMA IOMBWE (the Court has to be MOVED) na JAMHURI kupitia HATI YA MASHITAKA, kufanya hivyo. Kwa LISSU, hilo HALIKUFANYIKA.
Kukutia Ole Pumbun retweeted
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu.
Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya.
Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu.
Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis).
Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma).
Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani.
_____
Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Kukutia Ole Pumbun retweeted
Sikiliza dakika 5 za nguvu โ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ#Tundulisu mtetezi wa wanyonge ๐๐๐๐tujikumbushe
Kukutia Ole Pumbun retweeted
Mahakama ya Rufani ya Tanzania IMESEMA ๐ kwamba kwa KOSA lenye ADHABU ya KIFUNGO au FAINI, mtu AHUKUMIWE kulipa FAINI, akishindwa, ndiyo AFUNGWE. Mtu yeyote mwenye ELIMU YA SHERIA, lazima AJUE hiyo kanuni. Ni VILAZA pekee ndiyo HAWAJUI.
Kukutia Ole Pumbun retweeted
When you are told to enjoy your money life is short. Now the money is finished and you are still alive
Kukutia Ole Pumbun retweeted
The NY Times offers an exceedingly generous and rather curious portrayal of the awful--and worsening--situation in #Tanzania. #FreeTunduLissu
nytimes.com/2026/11/06/worldโฆ
What will this statement do? Youโre just wasting our time
Statement by the European Union's Spokesperson for Foreign Affairs on the sentencing of opposition leader Tundu Lissu.
link.europa.eu/jT6QFW































