MJUKUU (Fan) (@WideEdson) header
MJUKUU (Fan) (@WideEdson) profile picture

Jude Bellingham G. O. A. T 🐐 Mr. X-Factor. 😂🔥 Mr. Los Blancos 🤍

Joined July 2021
Photo by MJUKUU (Fan) (@WideEdson)Photo by MJUKUU (Fan) (@WideEdson)Photo by MJUKUU (Fan) (@WideEdson)Photo by MJUKUU (Fan) (@WideEdson)Photo by MJUKUU (Fan) (@WideEdson)Photo by MJUKUU (Fan) (@WideEdson)Photo by MJUKUU (Fan) (@WideEdson)Photo by MJUKUU (Fan) (@WideEdson)
📸 - MANCHESTER UNITED FANS DEFINITELY MISS THIS MAN!
270
638
205
16,580
394,158
500 goals in just 2 months is insane. We are surely gonna win the treble
🚨 STAT: Antonio Rüdiger scored Real Madrid's 500th goal under Jose Mourinho. @benfeerr 🤯
6
17
1,062
20,989
MJUKUU (Fan) retweeted
Hapa ni sawa na kumfananisha Saliba na Leny Yoro
Wajuaji wa twita nani mrembo kati ya nono na kahawa??
44
15
4
185
28,895
Bado namfikilia Yule Jamaa alioamua Kujinyonga Sababu ya Kunyimwa Unyumba mbona jamaa kachukua maamuzi magumu kwenye tatizo jepesi ambalo angeweza kusolve.!!😂
19
30
1
248
16,459
MJUKUU (Fan) retweeted
Hivi betri la simu likivimba shida huwa ni nini ?
12
20
33
589
MJUKUU (Fan) retweeted
🚨Kocha mkuu wa Mashujaa Amani Josia kuhusu kuonekana wazembe kufungwa na Simba: “Unajua Mashabiki wa mpira wenye uelewa na mpira Tanzania ni wachache sana ukweli ni kwamba Simba ni timu bora Kwa Sasa kama sisi wazembe njoo ucheze nao wewe mjanja.”
9
27
488
11,408
MJUKUU (Fan) retweeted
Wavulana ndio wakiingia kwa mahusiano huoji maswali kama haya as long as hujaikuta bikra na umeridhia, we jivike mabomu tembea, acha maswali ya Gizenge😂🤝.
7
10
68
1,992
MJUKUU (Fan) retweeted
50M + Ayden Heaven. Deal 👊
🚨 𝗖𝗥𝗔𝗭𝗬 𝗙𝗔𝗖𝗧: Willian Pacho has now played 36 Champions League matches without receiving a SINGLE yellow card. 0 CARDS IN 36 GAMES!
2
1
31
824
MJUKUU (Fan) retweeted
Amebakiza miezi saba, vipi tumchukue dirisha dogo wanangu wa Simba SC tuongeze moto pale juu? 😂
14
19
1
194
7,363
MJUKUU (Fan) retweeted
Sijawahi kuelewa pale airport na kwenye mall kubwa kubwa akipita mzungu kavaa vest pensi na Kanda mbili hazuiliwi kupita ila ngozi nyeusi ukivaa hivyo wanakuzuia.
18
51
4
419
26,769
MJUKUU (Fan) retweeted
Dar ina sifa mbaya sana na ujinga wa kila aina kama unaishi mkoani ukifika dar hizo sifa zote hautaziona mpaka ukumbushwe na hautakubari kama dar ni mbaya kiasi hicho
13
34
56
1,263
MJUKUU (Fan) retweeted
Bro huyo Jirani wako wa kike alisema ety hajawahi kukuona umeingiza mwanamke ndani kwako na amesema ety ana wasiwasi na wewe.
12
34
78
1,211
MJUKUU (Fan) retweeted
Twitter wana sheria kama askari akikupa kesi baadae mahakama ikathibitisha hauna makosa ni hatua gani za kufuata ila kumtia ndani huyo askari alie kupotezea muda
5
26
44
915
MJUKUU (Fan) retweeted
kwa wale wanetu tuliosoma nao ilikuwa ikifika muda mnataka kumtembelea kwao bora umuue ila kwao usipajue mungu akubariki ujenge kwenu mwanetu
5
33
151
5,771
MJUKUU (Fan) retweeted
Dah
13
12
1
362
29,577
MJUKUU (Fan) retweeted
Siku zote jambo huonekana haliwezekani hadi pale linapokamilika.
10
29
553
MJUKUU (Fan) retweeted
Weeeeeeeeweeee😂🤣
6
21
33
1,777
MJUKUU (Fan) retweeted
Mchezaji kama huyu kaisha kiwango YANGA wanahangaika nae wa nini sasa mpka anawashtaki ila YANGA 🚮😂🤣
EXCLUSIVE. Kiungo wa Young Africans SC, Abubakar Salum 'Sure Boy' amewashitaki Yanga SC TFF kwenye Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, Sure Boy anaidai Yanga SC Fedha za Usajili za msimu uliopita na msimu huu. Kesi hiyo inasikilizwa leo saa tano asubuhi pale TFF.
4
3
15
488
MJUKUU (Fan) retweeted
Unatoa dumbia unaleta Dube? Mmh.. Wakuu nyie mna maoni gani?
26
5
2
300
10,877
If Carrick gets sacked, who should replace him?
7
3
31
1,367