Siku ya harusi yangu ukiona BIBI harusi sio yule nilikua nampost status. Tafadhali kula pilau kwa amani toa zawadi uondoke,🤐.
Wenye fursa ya kutoa sadaka, kupenda kusamehe, kuabudu na kutubu ni walio hai tu. Ni fadhila ambazo hauna budi kuzitumia ungali hai." Ishi ukiamini furaha yako unaitengeneza pekee yako na furaha ya mwingine ni jukumu lake. Ithamin furaha ya mwenzako hujui kaitengeneza vipi.
Dr,mlay🩺 retweeted
Massive growth 🔥
Massive growth 🔥
Massive growth 🔥
Massive growth 🔥
Massive growth 🔥
Engage and boost your numbers🚀
Dr,mlay🩺 retweeted
You don't gamble
You don't bomb
You don't use juju to collect money
You don't do 9-5
You don't influence
You don't do web3/crypto/beg3/wet3/wig3
You don't do forex/affiliate
How do you now want to make it?????
Dr,mlay🩺 retweeted
Maisha ni haya haya, unatoka nyumbani hai kwenda kazini, Unarudishwa ukiwa mfu.
Mungu atupe mwisho mwema | Good Morning Familia 🙏
Aliyekukosea jana aweza kujirudi na kukutendea wema kesho. Aliyekutendea wema jana, aweza kukutendea ubaya kesho. Wanapokukosea, andika makosa yao kwa penseli uweze kuwasamehe itapobidi. Wanapokutendea wema, andika mema yao kwa wino, usije sahau wema wao pale watakapokukosea."
Kwa mfano tungekuwa tunatafuta maisha kwanza then ndio twende shule tukatafute elimu sizani km kuna mtu angefanya uzembe na shule. Kwasababu kila ukikumbuka kubeba zege kitaa ungeogeza juhudi San kusoma na nots za ngoni migration ungezitafuta kwa bidii sana..lkn ndio hivyo
Ukitaka kuiishi PEPO hapa duniani, watue watu mzigo si kuwatwisha, wasitiri si kuwaanika, wafariji si kuwasononesha, wafute machozi si kuwaliza."












