Dr,mlay🩺 retweeted
Massive growth 🔥
Massive growth 🔥
Massive growth 🔥
Massive growth 🔥
Massive growth 🔥
Engage and boost your numbers🚀
Dr,mlay🩺 retweeted
You don't gamble
You don't bomb
You don't use juju to collect money
You don't do 9-5
You don't influence
You don't do web3/crypto/beg3/wet3/wig3
You don't do forex/affiliate
How do you now want to make it?????
Dr,mlay🩺 retweeted
Maisha ni haya haya, unatoka nyumbani hai kwenda kazini, Unarudishwa ukiwa mfu.
Mungu atupe mwisho mwema | Good Morning Familia 🙏
Dr,mlay🩺 retweeted
🚨❄️ BREAKING: Cole Palmer returns after long injury and will be available to start vs Arsenal.
Dr,mlay🩺 retweeted
Many Tanzanians want an international independent investigation into the killings.
Three weeks after the election, there are many families still searching for their loved ones
Dr,mlay🩺 retweeted
Goodmorning!
Ukiweza kutoka sehemu ambayo watu wanakuchukulia poa tofauti na wewe unavyojitoa kwao ondoka usiangalie nyuma hata kama unaumia moyo
Dr,mlay🩺 retweeted
💯F4f
@clie15343
@Vela_Sports
@RicRMFC
@BrianOwako2
@Mrhum_
@localkheed
@Utd69topshotta
@Gorge_254
@Ellsworth_tang
@Justgueroo
@DRotich82675
@tii_bag
@MwendaCF
@soundgizzy
@wiley_bright
@Amag_ke
@Crazybits88
@the_chairman3
@Alex45827885
@Qsmart_wealth
@ronaldronny023
@SejohNation
Dr,mlay🩺 retweeted
Kama mkojo wako unatoa povu jingi kupita kiasi na povu hilo linachelewa kupotea —Hiyo siyo hali ya kawaida kabisa..! 🩺
Hii inaweza kuwa ishara ya protini nyingi kwenye mkojo (proteinuria) ambayo mara nyingi huashiria matatizo makubwa kwenye figo zako...
Usipuuzie... Wahi haraka hospitali kwa uchunguzi kabla hali haijawa mbaya zaidi...
NB: Afya yako ni maisha yako, Usisubiri hadi iwe hatari...
By Mr Health A sound of health | Jifunze na chukua hatu kuboresha afya yako...🩺🫡
Dr,mlay🩺 retweeted
Wazazi wetu Ndo watu wa Kwanza wanaopenda na Kuombea Tufanikiwe Kuliko Wao,
Kama Wazazi wako Wanaishi, Mshukuru MUNGU na USIWASAHAU.
Wapumzike pema kama wametangulia Mbele za Haki.
MUNGU na abariki Kazi za mikono Yetu.
Good Morning 𝕏.
Dr,mlay🩺 retweeted
1. Acha woga.
2. Fanya maamuzi magumu.
3. Usiogope kupoteza watu.
4. Heshimu mchakato.
5. Mwamini Mungu.
#ElimikaWikiendi
Dr,mlay🩺 retweeted
JE WAJUA.! Kisukari kinaweza kuharibu macho, figo, na mishipa ya fahamu kimyakimya bila dalili za mapema..!😳
Sukari ikiwa juu kwa muda mrefu huharibu mishipa midogo midogo ya damu (microvascular damage) matokeo yake Ni..
↳ Upofu.
↳ Kufeli kwa Figo.
↳ Ganzi mwili.
Mara nyingi haya hutokea taratibu bila dalili za awali, mpaka madhara yanapokuwa makubwa.
Kagua sukari yako mara kwa mara, zingatia lishe yenye usawa, fanya mazoezi kila siku, na usisahau kufanya diabetic checkup angalau mara mbili kwa mwaka....
Kinga ni bora kuliko tiba —Usisubiri dalili, chukua hatua leo kulinda macho, figo na afya yako kwa ujumla..! 👊
Dr,mlay🩺 retweeted
Unapoishi bila huruma, bila kutenda haki, au bila kujali hisia za wengine— Unajenga picha hasi ya utu wako...🫵
Matokeo yake...?
Watu huanza kuona kifo chako kama mwisho wa mateso yao, Si msiba kwao... 💔
Unakuta mtu unajua wazi— ikitokea umekufa, kifo chako kinakuwa furaha kwa watu...☠️🙌




















