kamdudu retweeted
Kwenye mahusiano kipi ni muhimu zaidi:
1. Pesa
2. Upendo
3. Heshima
4. Au show show tu. ππββοΈ
kamdudu retweeted
π£ MTOTO WA OSAMA BIN LADENβοΈ
Wengi wangelitegemea mtoto wa Osama bin Laden awe kwenye njia ya baba yake, lakini Omar bin Laden amechagua maisha tofauti kabisa.
Badala ya kuendeleza urithi wa giza wa familia yake, Omar ni msanii na mwandishi, akiishi Ufaransa ambako kazi zake za sanaa zinafanya Vizuri kwenye maonyesho makubwa.
Akiwa mtoto wa nne wa Osama, alikulia kwenye mazingira ya itikadi kali, lakini alikataa kufuata mkondo huo. Aliamua kujitenga na historia ya babake, na sasa anatumia michoro yake kuonyesha safari yake ya kujitafuta, amani, na maisha mapya.
Kupitia sanaa na maandishi yake, Omar amethibitisha kuwa "hatima ya mtu haifungwi na jina lakeβkila mtu anaweza kuandika historia yake mwenyewe".
kamdudu retweeted
Baadhi ya wachezaji 5 waliowahi kuwa tishio kwenye kuziamua mechi za derby ya kariakoo Simba vs Yanga. Uzi π§΅ππΎ
Kabla ya kuendelea Je!! unahisi ni mchezaji gani ataenda kuamua mechi ya tarehe 8 Yanga vs Simba?
kamdudu retweeted
π¨ AHMED ARAJIGA mwamuzi wa mchezo wa Derby ya Kariakoo.
Je! Unahisi ataendana na kasi na tension ya mchezo!?












