abbleluv retweeted
Omba msamaha pale unapokosea, bado una umri mdogo sana kupoteza watu muhimu kwa sababu ya ufahari au kiburi. Ondoa fikra ya kwamba unaweza pata mbadala wa kila mtu, Kuna watu hata ufanyaje you can't replace them forever.
abbleluv retweeted
1. Usipoulizwa - Usijibu kitu
2. Usipoalikwa - Usiende.
3. Usipothaminiwa - Ondoka.
4. Usipoheshimiwa - Weka mipaka.
5. Usiposikilizwa - Nyamaza.
6. Usipopendwa - Jipende zaidi.
7. Usipoaminiwa - Usijieleze sana.
8. Usipokumbukwa - Usijali Endelea na maisha yako.
abbleluv retweeted
βRule No. 1: Never lose money. Rule No. 2: Never forget Rule No. 1.β β Warren Buffett
Mwanamke yeyote anaweza kuachwa, ukatafuta mwingine.
Lakini si yule aliyekuamini ulipokuwa huna kitu.
Si yule aliyesimama na wewe ulipokuwa chiniβwhen all you wanted was unconditional love.
Mwanamke wa aina hii haachwi. Na hata ukimuacha, muache kwa nidhamu.
Thread: π
abbleluv retweeted
Leo Yusuph Makamba na Genge Lake wana-nuna... ππ
- Wakati walisema wenyewe hata wakivunja Kanuni hakuna Wa Kuwauliza kwasababu Wamezitunga Wenyewe...
- Hapo ni Nyakati Mwanae amepata Teuzi Mzee akarukwa na akili.. Juzi watu wameishi na Maneno yake π
abbleluv retweeted
Max Zengeli anamkubali Awesu Awesu sio ishu ila Chasambi kuwakubali wachezaji wa Yanga inakuwaje Agenda?
Humu ndani mmh
abbleluv retweeted
Kuna umri umeufikia hivi sasa, hupigi kelele tena Mtu asipokutext wala asipopokea simu zako, umri uliofikia hivi sasa ni kuwa unagundua kuwa watu wamebadilika na hujisumbui kujiuliza kwanini bali unaondoka zako kwa amani tu, bila drama wala ugomvi.
Huo unaitwa ukomavu, hapo Moyo umeuzima mzani wa shobo na kiranga, umewasha taa za kuwa furaha yako haipo kwa Binadamu mwenzako bali wewe mwenyewe.
abbleluv retweeted
Replying to @rollymsouth
Timu yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana. Fighting spirit 0%
abbleluv retweeted
Ukitaka kutajirika, kwenye uchumi wa sasa, na hukuachiwa fortune na wazazi wako, tumia kidogo unacho-make kujenga msingi wa kukopesheka! Lazima ukope ili upate mtaji. Nitaandika kuhusu hili leo!
abbleluv retweeted
MSISAHAU WANANGU kuna wakati presha ya mafanikio inatupelekea kufanya makosa mengi sana, msisahau Wanangu tupo kwenye foleni na Mungu ndie Mpangaji, hata kama upo nyuma utafika!
Amini kwenye hatua zako, amini kwenye huo mchongo wako, wakikulazimisha ufanane na wengine waambie Mungu kaniumba mimi hakuna mwingine.
abbleluv retweeted
"Ukifanya unacho kipenda utafurahi ila ukipenda unacho kifanya utafanikiwa."
Good morning my Twitter family π
abbleluv retweeted
For all those asking; here is the link for the draw today.
π - youtu.be/7RdVrzxBKgU
Please share for others to watch too. Thank you. βπ½
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC β at Dar es Salaam, Tanzania
abbleluv retweeted
Retweet Competition.
Wanasimba Tunaweza pata RT 100 kuwakumbusha. Mashabiki wa Simba kuhusu jambo lenu la Kesho kutwa .
Graphics with @extramotiontz π₯π₯




























