abbleluv (@abbleluv) header
abbleluv (@abbleluv) profile picture

๐Ÿ‡ฆโ€Œ๐Ÿ‡งโ€Œ๐Ÿ‡งโ€Œ๐Ÿ‡ฑโ€Œ๐Ÿ‡ชโ€Œ๐Ÿ‡ฑโ€Œ๐Ÿ‡บโ€Œ๐Ÿ‡ปโ€Œ

Tanzania, Dar Es Salaam
Joined March 2012
Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)Photo by abbleluv (@abbleluv)
Omba msamaha pale unapokosea, bado una umri mdogo sana kupoteza watu muhimu kwa sababu ya ufahari au kiburi. Ondoa fikra ya kwamba unaweza pata mbadala wa kila mtu, Kuna watu hata ufanyaje you can't replace them forever.
18
50
3
149
2,794
1. Usipoulizwa - Usijibu kitu 2. Usipoalikwa - Usiende. 3. Usipothaminiwa - Ondoka. 4. Usipoheshimiwa - Weka mipaka. 5. Usiposikilizwa - Nyamaza. 6. Usipopendwa - Jipende zaidi. 7. Usipoaminiwa - Usijieleze sana. 8. Usipokumbukwa - Usijali Endelea na maisha yako.
13
93
3
510
23,702
Sisi ndo wale tunao saidiwa na Mungu..๐Ÿ˜… Niwatakie siku njema
15
21
74
2,329
โ€œRule No. 1: Never lose money. Rule No. 2: Never forget Rule No. 1.โ€ โ€” Warren Buffett
195
525
21
4,366
116,256
Mwanamke yeyote anaweza kuachwa, ukatafuta mwingine. Lakini si yule aliyekuamini ulipokuwa huna kitu. Si yule aliyesimama na wewe ulipokuwa chiniโ€”when all you wanted was unconditional love. Mwanamke wa aina hii haachwi. Na hata ukimuacha, muache kwa nidhamu. Thread: ๐Ÿ‘‡
6
36
222
29,314
Leo Yusuph Makamba na Genge Lake wana-nuna... ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ - Wakati walisema wenyewe hata wakivunja Kanuni hakuna Wa Kuwauliza kwasababu Wamezitunga Wenyewe... - Hapo ni Nyakati Mwanae amepata Teuzi Mzee akarukwa na akili.. Juzi watu wameishi na Maneno yake ๐Ÿ˜
29
59
4
514
89,802
Max Zengeli anamkubali Awesu Awesu sio ishu ila Chasambi kuwakubali wachezaji wa Yanga inakuwaje Agenda? Humu ndani mmh
96
62
14
828
61,493
Kuna umri umeufikia hivi sasa, hupigi kelele tena Mtu asipokutext wala asipopokea simu zako, umri uliofikia hivi sasa ni kuwa unagundua kuwa watu wamebadilika na hujisumbui kujiuliza kwanini bali unaondoka zako kwa amani tu, bila drama wala ugomvi. Huo unaitwa ukomavu, hapo Moyo umeuzima mzani wa shobo na kiranga, umewasha taa za kuwa furaha yako haipo kwa Binadamu mwenzako bali wewe mwenyewe.
81
180
10
1,119
66,634
abbleluv retweeted
Replying to @rollymsouth
Timu yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana. Fighting spirit 0%
2
2
26
2,270
Ukitaka kutajirika, kwenye uchumi wa sasa, na hukuachiwa fortune na wazazi wako, tumia kidogo unacho-make kujenga msingi wa kukopesheka! Lazima ukope ili upate mtaji. Nitaandika kuhusu hili leo!
45
56
2
488
26,677
MSISAHAU WANANGU kuna wakati presha ya mafanikio inatupelekea kufanya makosa mengi sana, msisahau Wanangu tupo kwenye foleni na Mungu ndie Mpangaji, hata kama upo nyuma utafika! Amini kwenye hatua zako, amini kwenye huo mchongo wako, wakikulazimisha ufanane na wengine waambie Mungu kaniumba mimi hakuna mwingine.
37
99
6
1,023
78,417
"Ukifanya unacho kipenda utafurahi ila ukipenda unacho kifanya utafanikiwa." Good morning my Twitter family ๐Ÿ˜Š
30
53
1
337
24,286
If you feel like giving up, read this:
20
1,040
32
4,533
1,056,151
For all those asking; here is the link for the draw today. ๐Ÿ”— - youtu.be/7RdVrzxBKgU Please share for others to watch too. Thank you. โœŠ๐Ÿฝ #TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
7
8
2
280
Retweet Competition. Wanasimba Tunaweza pata RT 100 kuwakumbusha. Mashabiki wa Simba kuhusu jambo lenu la Kesho kutwa . Graphics with @extramotiontz ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
57
800
9
2,141
Retweet it for ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ | Like it for ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
22
517
1
858
Retweet kwa William, Like kwa Chapombe ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡
17
89
2
148
๐Ÿฆ…FANYA HIVI KAMA UTASAHAU PASSWORD YA KU UNLOCK SIMU YAKO ๐Ÿ‘! โšก๏ธโšก๏ธโšก๏ธโšก๏ธโšก๏ธ ๐Ÿ“š๐Ÿ“š๐Ÿ“š๐Ÿ“š Kuna muda inatokea unavurugwa mpaka unasahau password ya simu yako au inaweza kutokea umebadili pattern umeweka mpya then mda sio mrefu unaisahau tena kila ukiweka inaandika wrong password โ™ป๏ธaf๐Ÿ‘‡
17
229
3
290
๐Ÿฆ…HII HAPA NAMNA YA KUMPIGIA MTU ALIYE KU BLOCK ๐Ÿ‘๐Ÿค”! โšก๏ธโšก๏ธโšก๏ธโšก๏ธโšก๏ธ ๐Ÿ“š๐Ÿ“š๐Ÿ“š๐Ÿ“š Je ameku block ?ukipiga unaambiwa namba unayopiga inatumika kwa sasa kila muda ukipiga au hapatikani na ukimcheki kwa namba nyingine anapatikana hii hapa trick ata kama ameku block simu lazima ita ita tu
34
370
11
631
Why always HER? . Chris Brown Matt Kemp Karim Benzema Lewis Hamilton Travis Scott Drake Hassan Jameel And Now ASAP Rocky. That woman doesn't know how to keep a Man.๐Ÿ˜€ โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
98
64
11
943