BernJCM retweeted
Maisha yanapoanza kukutendea vizuri, kuwa Mtu bora zaidi, Mkarimu zaidi, mwenye Shukrani zaidi, mwenye Nia zaidi ya kusaidia, usiruhusu Mafanikio yakushawishi kwamba Wewe ni juu ya Mtu yeyote, kumbuka kile ulichowahi kuombea na ni nani aliyekusaidia kufika hapo,
BernJCM retweeted
“Niite, nami nitakuitikia.”
#Yeremia 33:3
Usinyamaze kwa sababu hali ni ngumu. Mwite Bwana! Nakuombea hekima ya kutambua mwongozo wake na ujasiri wa kuufuata!
BernJCM retweeted
Mwisho wa siku, maisha si mashindano ya nani amewahi kufika, bali ni safari ya nani amejifunza kuishi.🚶♀️
BernJCM retweeted
WANANGU ME NAUZA TSHIRTS ZA MTUMBA NA KOFIA NA MASHATI SINA DUKA NAPIGIA ONLINE SO UKIBARIKIWA KARIBU SANA KWA SUPPORT, DERVERLY INAFANYIKA ILA SIO BURE.📌
Bei ni kuanzia 8k na kuendelea 🏄🏾
BernJCM retweeted
Wakati mwingine mafanikio makubwa si yale watu wanayoyaona, bali ni yale unayoyaishi kwa amani bila kulazimika kuyatangaza. Si kila kitu kizuri kinahitaji kushuhudiwa na dunia. 🤔
BernJCM retweeted
“Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana. ”
Yos 1:8 SUV
BernJCM retweeted
#Prayer Almighty Father, give me a Vision. Let me see the Invisible. Help me to Believe You for the Impossible. For with You nothing is impossible.
BernJCM retweeted
Pesa hubadilisha maisha, lakini haipaswi kubadilisha namna unavyowatendea watu.🚶♀️
BernJCM retweeted
Kama una uelewa wa kwamba MUNGU humletea RIZIKI kila binadamu kwa wakati wake, basi huwezi kumwonea WIVU na KUMCHUKIA mtu yoyote kwa mafanikio yake.


























