Mafioso retweeted
Mwakimi kwenye Tsh.420,000/= alimlipa Njiwa Flow Tsh.420/= kama malipo ya simu. Mwakimi ni GOAT 😁🙌
Mafioso retweeted
Huwa naogopa sana kumshtakia mtu kwa Allah nikidhulumiwa haki yangu….bcz the few times i have done it the effect is almost immediate and absolutely Karmic
Mafioso retweeted
Day 30/31 ✅
ONE more day 🕺
#SoberOctober
Mafioso retweeted
Dem akikuambia " i am sorry but i have to block you for the sake of my own peace" huwa anamaanisha nini?
Mafioso retweeted
Nimepigia one of my high school old friends I haven't heard from him in like 5 years kumjulia hali akadai "ata ni mungu amekutuma" nikajua hapo nimejipeana.
Mafioso retweeted
Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba wa mbingu na dunia; na kwa Yesu Kristo Mwanae pekee, Bwana wetu, aliyetungwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu
Siku ya tatu akafufuka kutoka wafu, akapaa mbinguni; ameketi kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na wafu
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa takatifu Katoliki, ushirika wa Watakatifu, maondoleo ya dhambi, ufufuko wa miili, na uzima wa milele. Amina.
Mafioso retweeted
Mnamo (1789-1799) Wananchi wa kawaida waliochoshwa na njaa, kodi kubwa, na maisha ya kifahari ya Mfalme Louis XVI na malkia wake Marie Antoinette wa Ufaransa..
Walihamasishana na kuipindua serikali, Mfalme na viongozi wengi walikatwa vichwa kwa chombo kilichoitwa Guillotine..
Mafioso retweeted
Kabla hujamsema mtu vibaya, fikiria. Kabla hujamsaliti mtu, fikiria. Kabla hujavunja moyo wa mtu aliyekuamini, jiulize kama ungependa kutendewa hivyo.

























