nπR retweeted
Narudia tena kusisitiza ni Marufuku kuzuia maiti ktk Hospitali za umma kwa sababu ya deni la matibabu. Ndugu wakipoteza mpendwa wao na hawana uwezo wa kulipa wapewe maiti ya mpendwa wao wakazike, mambo ya deni mtadaiana baada ya kumuhifadhi mpendwa wao. Kifungu cha 3.1.4 cha Waraka huuππ
Wizara ya Afya inaendelea kuzikumbusha Hospitali zote za Umma kusimamia na kutekeleza Waraka huu Namba 1 wa Mwaka 2021 wa KUTOZUIA MAITI NA KUWEKA UTARATIBU WA KULIPIA GHARAMA ZA MATIBABU NA MADENI. Waraka huu ulisainiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya wakati huo Prof. Abel Makubi na kuanza kutekelezwa mara moja.
nπR retweeted
Cutting people off is strictly about peace, no beef at all.
Just distance, silence and self respect.
nπR retweeted
Falling in love is easy, staying in love is a challenge, letting go is hard, and moving on is the hardest.
Sh 186 wakati bara tushailipia mpk tumechoka sasa
Motorist in Zanzibar to face more pain at the pump fupi.co.tz/5hh2XCv
1
71
nπR retweeted
Huu ni mchoro wa sekunde 3 tu kwa msaada wa Bing AI. Teknolojia anakua kwa kasi sana.































