Pinned Tweet
Kuna msela Hapa mtaani ni chalii wa miaka 20 kama sio 21!.
Mwezi wa nane dogo alitafutiwa msichana wa kuishi nae Kwa tamaduni za Kimasai.
Dogo hakuwa na pingamizi,kwasababu ni desturi yao.
Basi bwana kufika mwezi wa tisa,dogo alikabidhiwa msichana huyo aweze kuishi nae.
Brain_pro360💣 retweeted
Kama kuna mtu niliyemkosea kwa maneno, matendo au kwa namna yoyote ile, naomba anisamehe.
Maisha ni mafupi, na hakuna ajuaye kesho yake. Tuchague upendo, amani na kusameheana kabla haijawa too late.
Pia, tuwakumbuke marehemu wetu katika sala na dua. Mwenyezi Mungu awarehemu wote waliotutangulia, awape pumziko la milele na awafariji wote waliobaki na majonzi. 🤲🕊️
Tusisubiri msiba ndipo tujifunze kupendana, na tusisubiri kesho kuomba msamaha. ❤️
Brain_pro360💣 retweeted
Nauli ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine inazidi au inakaribia sawa na kutoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ha mkoa huo huo, hii ni kutokana na hali ya miundombinu.
Brain_pro360💣 retweeted
Kuna muda unarudi home sio kwamba umeishiwa hela au umechoka ila umemkumbuka tu mwenza wako..Tuheshimu hishia zetu pia, masela hawatokuzalia.
Brain_pro360💣 retweeted
Huyu ameshikwa akasweat hagaNext, tunaambush watu wa makaa... zile mkebe zimebondwa design ingine noma
Brain_pro360💣 retweeted
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia.
Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama.
Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza wito wa mda mrefu wa viongozi wa dini, vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na hata watu maarufu ya kutaka mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na haki.
Mpaka sasa mwaka mmoja baadae Nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa, watu wanaendelea kutekwa, kuuawawa na kupotezwa.
Kila anaetoa sauti ya kukemea uovu na kutaka maridhiano na uwajibikaji wa kweli anakabiliwa na kifo au mashitaka ya uongo.
Inaonekana hawa watawala wameshindwa kujifunza kwa yale mabaya yaliyotokea, Inaonekana wanafurahia kuendeleza utawala wa mkono wa chuma, udikteta na ubabe, mauaji, utekaji na kunyamazisha badala ya kushawishi na kutatua matatizo.
Kwa kutumia njia hizi mbele ni giza tupu, hakuna sehemu ambayo utawala wa kibabe Umefanikiwa kunyamazisha watu wote, Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 70, hakuna siku watu wote hawa watanyamazishwa kwa uongo na kikundi kidogo cha watu kwa kutumia ubabe.
Njia pekee ya kutatua mkwamo huu ni.
1. Kumuachia Mwenyekiti Lissu na kufuta kesi za uongo dhidi ya wanachama wetu wote.
2. Kuachia mateka wote na kusitisha utekaji na mauaji ya kiholela.
3. Kuruhusu msuluhishi huru (mediator) kuleta watu pamoja na kuzungumza kwa ukweli na uwazi.
4.Uwajibikaji bila upendeleo kwa wahusika wa mauaji, kulipa fidia familia za wahanga, kutibu majeruhi wote na kuwapa fidia.
5. Kuruhusu Uchunguzi huru na kuomba radhi mbele ya Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na vyombo vya dola dhidi ya raia wake.
6. Kuandika katiba mpya ya Nchi na sheria za uchaguzi ambazo zitarudisha umoja na haki kwa kila mtu.
7. Kutamka kwa uwazi kwamba makosa kama yale hayatajirudia tena kwenye Nchi yetu.
8. Kuhakikisha familia zinapata miili ya wapendwa wao na kufanya maziko ya heshima, kiafrika na kidini.
Kuendelea kutumia ubabe ni kuchochea chuki, uhasama na visasi kwa siku zinajazo…
Watawala badala ya kutumia chawa na ubabe kujaribu kuhujumu Chadema na uongozi wa Chadema, Tumia busara kufanya jambo sahihi la kuponya Nchi hii.
Tunajua mipango yenu dhidi yetu, lakini haki haijawahi kushindwa.
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote.
Haki inaweza kuchelewa Lakini haki itapatikana tu.
Ukiweka kando kwamba huyu jamaa aliwasaliti wanaharakati, ukweli mchungu ni kwamba HARAKATI ZIMEVAMIWA.
#Jasusi anawafahamu most of hao mapandikizi kwa sababu katika ujasusi ni lazima kuwatambua maadui - both known and especially unknown.
In fact, usalama wa Jasusi unategemea mno kuwatambua hawa maharamia.
Hawa unknown enemies (maadui wasiojulikana) ni hatari zaidi.
Unaweza kusema “sasa kama unajua hao mapandikizi si uwataje tu?” Ili iweje? Unazijua akili za Watanzania au unazisikia? Ni mara ngapi Jasusi alitahadharisha kuhusu Habil and Kabil akaishia kutukanwa?
Halafu hawa watu si huwa wanaalika “wataalamu” mbalimbali kwenye mikutano yao? Unajua kwanini huwezi kusikia wakialika “wataalamu wa intelijensia/usalama” kutoa elimu kuhusu suala zima la kujikinga?
Sio kama Jasusi anamaindi kutoalikwa (ana audience ya kutosha, hahitaji kualikwa) lakini he feels sorry.
Lives could have been saved endapo hawa vijana wangepatiwa some basic skills kuhusu jinsi ya kujilinda and what to do pindi wakibaini maisha yao yapo hatarini.
Enewei, pole kwa familia ya huyo kijana aliyeuawa kinyama. May his soul rest in eternal peace. Amen
Brain_pro360💣 retweeted
Huyu Bro apewe heshima yake kwenye Bike, Hawa Police wameenda kukuta chuma mtu hayupo
Brain_pro360💣 retweeted
Watu wabaya waliondoa uhai wako kikatili sana Clara 💔.
Hawakujali maumivu yako, hawakujali kuhusu kutimiza ndoto zako ukiwa hai duniani, hawakujali kuhusu familia yako itaishi vipi bila wewe,.
Daah! May your soul rest in peace. 💔.
Brain_pro360💣 retweeted
29.10. 2025 ni siku ambayo hatutakaa tuisahau hata mara moja. 💔
Tulipoteza ndugu zetu ambao waliuliwa kifo cha kikatili sana kisichokuwa na hatia.
Mbaya zaidi waliohusika na mauaji ya ndugu zetu hawajawi wajibishwa.
Tunaamini ipo siku damu zilizomwagika zitalipwa 🙏.
#RIP
Brain_pro360💣 retweeted
Ile mo energy ina balaa sana inakata usingizi ndani ya dakika tu🙌🏾🙌🏾
Wapishi wale walijua kuiunda📌📍
Brain_pro360💣 retweeted
Nimeshtuka sana kujua kuwa maisha ni imani yaani kila kitu tunachofanya ni Imani maana yake ni kuwa tupo sehemu tumechill hatujaanza kuishi maisha yenyewe
Brain_pro360💣 retweeted
Hili penzi linaenda kufa kufunga mlango wa fridge ni suala la kunambia nikate simu atanipigia baadae haina noma
Brain_pro360💣 retweeted
October 29, been a year kama utani
REST IN PEACE MASTER TINDWA😔🙏
We don’t blame the bullet that took your life, we blame those who allowed such a barbaric act to be committed against innocent civilians
The bullet pulled the trigger, but those who enabled this atrocity must be held accountable🤝






















