Pinned Tweet
Kesho atashinda kesi na atakuwa free save this , either this or we don’t have a country anymore.
LyF3styl3 retweeted
Ipo hivii kutoboa kuna a lot of struggles, self doubt na kila aina ya battles umezipiga hapo Kati na unapopata kitu au mtu wa kukushika na kukuvuta kutoka chini wengi wao masharti ni usiwataje au kuwapa mzigo mwengine ndo maana selfishness utokea.

Ukiliona tobo bora ujinasue mwenyewe mkiwa wengi, inaleta ukakasi inabidi kuwe na Yule anaeweza kusimulia your wins kwa wengine na hii ndo formula.😃
Kuhoji;
Watumishi wa “MUUMBA” walio wengi zile ni biashara zao na ukihoji vingi havina majibu. Wazungu wanasema hence “wajinga ndo waliwao” ni mwendo wa kukaa na gavoo close.
22
Yule jamaa aliesema sehemu ya mwisho ya mwanamke baada ya kutumia sana ni kwenda kujitaftia “baraka” mpenda ibada alikua sahihi
22
LyF3styl3 retweeted
“Nimetongozwa na mganga, ni mzuri blah blah blah blah??.” Long story short sema umempa ila staki mjue.
“Nimetongozwa na mganga, ni mzuri blah blah blah blah??.” Long story short sema umempa ila staki mjue.
LyF3styl3 retweeted
Wiki ijayo tarehe 28 na 29 watawaomba ruhusa waende marathon Dodoma , nawasanua tu wana👍