Pinned Tweet
Nimewaza kwanini TRA wasianzishe mfumo ambao kila mtanzania akiwa na rist ya efd yenye details zake ana upload huko kisha ikifika mwisho wa mwaka anapewa gawio ata la asilimia 5,10 au 15%
Naona hii itasaidia sana watu kulipa kodi kwa kiasi kikubwa akijua atapata kiasi flani.
Rogath jr retweeted
Glow up yako inaanzia hapa! 😍💄✨ Makeup & Hair Installation za kiwango! Tunapatikana Kurasini Uhasibu, karibu na Liquid Bar. Karibu ujipende zaidi
Rogath jr retweeted
Hiyooooo nini hiyooo??? Hiyooo luccie beauty spot hiyoooo
Karibu LUCCIE BEAUTY SPOT ewe mwanamke tubadilishe mwonekano wako wa nje na ndani
Tunafanya full make up, lashes na hairstyle installation
Tunapatikana kurasini uhasibu karibu na liquid bar🤝
Tunapatikana kurasini uhasibu karibu na liquid bar
Tunafanya make up and hair installation
Karibuni sana
🤖 Made with AI
Rogath jr retweeted
Tunapatikana kurasini uhasibu karibu na liquid bar
Tunafanya make up and hair installation
Karibuni sana.
Rogath jr retweeted
Marioo ni victim wa mabully yani jitu linakuanza alafu uki clap back unasikia waaandamizi wa maadili na uanaume ooh kazingua angejibu hivi ooh angesema vile kumamako ukilianzisha tunamaliza kivyovyote tusichaguliane silaha
Lwetse lwetse 😅😅😅😅
Rogath jr retweeted
Leo Ni siku ya 6 Natamani kuzima taa usiku nikashika kioo alafu nikawasha mshumaa nikawa najiangalia kwenye kioo ila Mwanga ninaotumia Ni Wa mshumaa nione nitapata hisia gani na nitaona taswira gani ila naogopa balaaa😂😂bado sijajaribu ila naogopa hivi😂
Rogath jr retweeted
Yanga ipo tangu 1935 imeshindwa kujenga Uwanja.
Anatokea mtu anakujengea alafu unasema utapeli basi GSM aache jengeni wenyewe
Kinachonichekesha zaidi ni mashabiki wa Simba ndio wanaumia Yanga kutapeliwa.
Wanaumia au ni Wivu? 😂
Rogath jr retweeted
Kwenye hilo game first person mode ipo ? au ndo kama ya nyuma unacheza gana kama la miaka ya 80.
Rogath jr retweeted
Kumbe kuna watu bado wanatumia “Last Seen” kule Green App😂😂😂..Yaani mimi nikiwa Online watu wajue? Mimi nishakataa miaka 7 iliyopita.
Circle Ya Majuaji Balaa Mazee Yakuchambua Kila Kitu Mpaka Dhambi
Mwenyekiti: @maestrowafact
Wajumbe
@Noedson_tz
@LifeofSteph_1
@SLello47
@Mwinshehe07
@JayRogath
@Excess300
@ZenjiboyZnz
@PapiiKhan98
@Ngattaboe99
@hereiseddy_
@ThomzJoseph
@Jaguar_455
Haya Majamaa😁
















































