itembaD retweeted
Replying to @Arsenalnewschan
itembaD retweeted
Replying to @Arsenalnewschan
@TawlaTZ tumeandaa kikao cha kimkakati na Maafisa wa @judiciarytz (Judicial Officers) kilichojumuisha Mahakimu, Wasajili wa Mahakama, Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani nchini Tanzania ili kujadili na kuweka msisitizo kwenye matumizi ya misingi ya haki za binadamu na usawa wa kijinsia katika kuzuia na kukabiliana na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (NCDs).
#FOPL
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#UsawaWaKijinsia
#HakiHainaJinsia
Kikao hiki kimesaidia:
- Kuanzisha mijadala ya kina kuhusu uhusiano uliopo kati ya Haki za Binadamu, Usawa wa Kijinsia, na Afya.
- Kuangazia mchango mkubwa wa sekta ya sheria na mahakama katika kuhamasisha afua zenye usawa kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza (NCDs).
#FOPL
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#UsawaWaKijinsia
#HakiHainaJinsia
Pamoja, tunaendelea kusukuma mbele afua zinazolinda haki na usawa wa kijinsia ili kuleta matokeo bora ya kiafya na ustawi wa jamii nzima.
@IncubatorGHAI @IILAinfo @CefrohtUg @IDLO @judiciarytz
#FOPL
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#UsawaWaKijinsia
#HakiHainaJinsia
@TawlaTZ Ofisi ya Dar es Salaam tumeshiriki katika uzinduzi wa Awamu ya 2 ya @MsLACampaign katika Viwanja vya Maili Moja, Pwani.
Wanasheria wetu Wakili Lightness Raimos na Arthur Ashery wametuwakilisha kwa:
-Kutoa elimu ya sheria na huduma za msaada wa kisheria.
- Kugawa machapisho na kueleza shughuli za @TawlaTZ .
#MamaSamiaLegalAidCampaign
#HakiHainaJinsia
@TawlaTZ is seeking for a dedicated Council Project Coordinator to join our team and contribute to meaningful impact in Uyui District, Tabora.
Interested candidates are invited to apply. For application details and requirements, click a link below or on our bio:
tawla.or.tz/council-project-…
- Send applications to: [email protected]
- Deadline: 6th November 2026.
#JobOpportunities
#HakiHainaJinsia
itembaD retweeted
Ungana nasi kuwataka @TBS_Tanzania @wizara_afyatz @ViwandaBiashara kupitisha sera zitakazowalazimisha watengenezaji, wasambazaji na wauzaji wa bidhaa za vyakula nchini kuweka taarifa sahihi ya bidhaa zao kwa watumiaji wa mwisho kuchagua kilicho bora kwao.
#FOPL
#HakiHainaJinsia
itembaD retweeted
Tafiti inaonesha ya kuwa alama ya onyo ⚠️ itasaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza matumizi ya bidhaa za vyakula hatarishi kwa afya za binadamu.
Tunawataka watunga sera kupitia @TBS_Tanzania kulinda afya zetu kwa kupitisha sera na kanuni zitakazolinda afya zetu.
#FOPL
#FOPWL
#HakiHainaJinsia
Tanzania imepiga hatua ya kihistoria katika sekta ya afya ya jamii na lishe kwa kuzindua rasmi Mwongozo wa Mfumo unaoainisha kiasi cha Virutubishi katika Vyakula (Tanzania Nutrient Profile Model-TzNPM, 2026)
Kwa nini NPM ni silaha muhimu dhidi ya magonjwa yasiyo ambukiza (NCDs)?
Mwongozo huu wa Kilishe (NPM) ni chombo cha kiufundi kinachosaidia kuainisha vyakula na vinywaji kulingana na viwango vyao vya virutubisho, hasa vile vinavyoongeza hatari ya magonjwa kama kisukari, shinikizo la juu la damu (presha), na magonjwa ya moyo (sukari iliyopitiliza, chumvi nyingi, na mafuta yasiyo na afya).
@IncubatorGHAI @IILAinfo @CefrohtUg @tancda
@IDLO
#NPMLaunched
#FOPL
#FOPWL
#PublicHealth
#HakiHainaJinsia
itembaD retweeted
📢 TODAY |
Panel discussion on nutrient profiling
Rethinking Africa’s food environment: advancing healthier diets and NCD prevention.
🗓 Thu 5 Nov, 3:00 PM EAT
💻 Zoom: us06web.zoom.us/meeting/regi…
With Alliance of African Students' Nutrition Association, Bwambale Benard, Isabella Nchimbi, @OmotoPauline, moderated by Mayaki Miracle.
#NutrientProfiling
@TawlaTZ @IILAinfo @KenyaNCCK @ncdalliance @SEATINIUGANDA @CefrohtUg @slowfooduganda
Je, unajua Kielezo cha Uzito wa Mwili (BMI) kinasemaje kuhusu afya yako? youtu.be/SbzdtwXNDy0
#RECAP
#MazoeziKwaAfya
#HakiHainaJinsia
What does the evidence say about FOPL?
Yolanda Radu, Senior Researcher at @WitsPricelessSA, unpacks why Front-of-Pack Warning Labels matter for public health.
34 days left to call on Minister Motsoaledi to approve R3337 by 10 December 2026!
Watch: bit.ly/48BRBLN
Imagine knowing instantly if a food is bad for your heart. That is the power of Front-of-Pack Labeling (FOPL). We are calling on @TBS_Tanzania to adopt a mandatory #FOPL framework.
@IDLO @IncubatorGHAI @IILAinfo @CefrohtUg @DanielMzena
#FOPL
#FOPWL
#HakiHainaJinsia
itembaD retweeted
"Shirika la Afya Duniani (@WHO ) linashauri viwango vya iTFA visizidi gramu 2 kwa kila gramu 100 za mafuta.
Nchi 66 tayari zimeweka sheria hizi, lakini Afrika bado kuna pengo kubwa." Julia Untoro | @WHO
@TawlaTZ
#EACFoodStandards
#TransFatFreeEAC
itembaD retweeted
"Kenya imepiga hatua kutoka kwenye utetezi na kumiliki rasimu ya kanuni chini ya Wizara ya Afya. Lengo ni kudumisha mwelekeo chanya, kukamilisha hatua za kisheria zilizobaki & kutumia ushahidi wa kiuchumi & kiafya ili kufanikisha sheria madhubuti." Kelvin Mithamo.
#TransFatFreeTZ




































