
Man UTD die hard Fan | #KarimBenzema | #BostonCeltics☘️ | Simba Sports Club Fan | #CheckBob
Double Trouble
Joined March 2010
- Tweets87.4K
- Following1.2K
- Followers1.6K
- Likes49.5K
Pinned Tweet
Natamani nipate muda wa kuwaomba msamaha wote niliowahi kuwakosea. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie 🙏🏾
Declopa Kintakunte retweeted
Safari ya Timu yetu ya Taifa ya Vijana chini ya Miaka 17 (Serengeti Boys) katika mashindano ya Kombe la Dunia inaanza rasmi leo, ikiwa ni fursa nyingine adhimu kwa vijana wetu kuonesha vipaji, uwezo na ushindani wao katika medani ya soka la kimataifa, pamoja na kuandika ukurasa mpya katika historia ya soka la Tanzania.
Ninawatakia kila la kheri katika safari hii muhimu. Chezeni kwa moyo, nidhamu, kujiamini na uzalendo, mkikumbuka kuwa kila mnapoingia uwanjani mnabeba matumaini na fahari ya Watanzania wote.
Kila la kheri, Serengeti Boys.
Mungu Ibariki Tanzania.
Declopa Kintakunte retweeted
Hata TZ ikiwa na magroup zote. What difference does that make?. Kwanza, nasema kwa unyenyekevu sana, TZ haina enough facilities to host all that delegation
























