JB X๐ retweeted
We Like Tu ๐ฅถ๐ฅถ๐ฅ
2023 Polo 2
2026 Polo 31
Dar Mwanza Huwezi Toboa Na Polo Mbili.
Alisikika Mnazi Mlevi Wa Allys Star.
JB X๐ retweeted
Mliokuwepo uwanjani mnisaidie tulioangalia kwenye TV tulikua tunaona hii BODI inaonesha 0 - 2, ilikua SCORE BOARD rasmi ya Uwanja ambayo mashabiki mlikua mniona au ilikua inadisplay kitu, kama ilikua Score board basi BODI ya LIGI na TFF ebu pambaneni wapate ya kisasa mkumbuke sasa hivi tunaangaliwa sababu AFCON inakuja hii ni Aibu tena kwenye mechi ambayo Yanga yenye Shalulile na Aziz K inacheza.
JB X๐ retweeted
Daladala zimekuwa uti wa mgongo wa usafiri kwa miaka mingi. ๐๐น๐ฟ
Lakini swali la msingi ni: Je, mfumo wa sasa wa uendeshaji unaweza kuhimili mabadiliko ya teknolojia na upanuzi wa BRT na Trams katika miaka 10 ijayo?
Huu ni muhtasari wa Waraka wa Kimkakati kwa Wamiliki.
๐งต๐1/10
JB X๐ retweeted
TAARIFA KWA UMMA
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
JB X๐ retweeted
Mtaalam anajua sana Mpira ila namna anavyocheza tena akiwa amevaa Jezi ya Mabingwa wa Muda wote wa Tanzania inanipa mashaka sana.!!
JB X๐ retweeted
Miss Grand Tanzania, Jihan Dimack ameshinda taji la Miss Grand International 2026 katika shindano lililofanyika nchini Thailand.
JB X๐ retweeted
Ugandaโs refinery will be built, and our cooperation with Tanzania on Tanga stands. There is no harm in having more refineries in the region. What Africa needs is value addition, industrialisation and bigger integrated markets.
East African political integration must ultimately be treated as a matter of strategic survival.
JB X๐ retweeted
๐ช๐น Ethiopia dominated the menโs top 10 at the 2026 Berlin Marathon.
7 of the top 10 finishers were Ethiopian:
1. ๐ช๐น Guye Adola: 2:02:50
2. ๐ช๐น Gemechu Dida Diriba: 2:03:19
3. ๐น๐ฟ Gabriel Gerald Geay: 2:03:59
4. ๐ช๐น Getaneh Molla: 2:04:55
5. ๐ช๐น Selemon Barega: 2:04:58
6. ๐ช๐น Asefa Boki: 2:05:32
7. ๐ช๐น Andamlak Belihu: 2:05:55
8. ๐ช๐น Shura Kitata: 2:06:04
9. ๐ฏ๐ต Yuhei Urano: 2:06:09
10. ๐ช๐น Tadu Abate: 2:07:16
๐น๐ฟ Tanzaniaโs Gabriel Geay broke up the Ethiopian dominance, finishing 3rd.
Source: BMW BERLIN-MARATHON, 2026
JB X๐ retweeted
Azam FC mourns the tragic passing of Iddy Salim, their U-20 goalkeeper, following a motorcycle accident. His death has left teammates, family, friends, and the football community in deep sorrow as they unite in grief and pray for strength.
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Rajiโun. ๐๏ธ
๐ค Made with AI







































