KIJANA MWEUPE (@dullahIcon) header
KIJANA MWEUPE (@dullahIcon) profile picture

Businessman || Man and a Half|| Economist ||

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2022
Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)
Weka desturi ya kila uamkapo kumsalimia mzazi wako ni ufunguo wabaraka kwa siku mpya kwako...
20
40
128
4,760
#TajiriLaKihaya HIV in Africa by numbers and years
16
21
1
94
10,873
KIJANA MWEUPE retweeted
Huyuu atatusaidia kujuwa shabiki wa kweli wa City 😁😁😁
1
1
1
221
KIJANA MWEUPE retweeted
Ila wadada wana kazi sana just imagine mtu kataka tucheze 654321 sijui,nimejibu imekuwa kesiii 😂😂😂😂💔💔🙌🏼
1
1
1
327
KIJANA MWEUPE retweeted
#MICHEZO: Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF limeipitisha Lugha ya Kiswahili kama Lugha rasmi ya kwenye shughuli zote za soka barani Afrika.Uamuzi huo wa kihistoria umefikiwa leo Jumamosi, Novemba 21, 2026, katika Mkutano Mkuu wa 48 wa CAF unaofanyika mjini Abuja, Nigeria Pendekezo la kufanya marekebisho kwenye katiba na kanuni za CAF (Kifungu cha 3 ibara ya 1, 2, na 3 pamoja na Kifungu cha 7 cha Kanuni za Mkutano Mkuu) liliwasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Rais wake Wallace Karia. Hoja hiyo ya Tanzania iliungwa mkono kikamilifu na mashirikisho ya soka ya Kenya (FKF) na Uganda (FUFA), ikiwa ni sehemu ya maandalizi na ushirikiano wa ukanda wa Afrika Mashariki kuelekea mashindano ya AFCON 2027 yatakayoandaliwa kwa pamoja na nchi hizo tatu. Kwa uidhinishwaji huu, Kiswahili sasa kinaungana na lugha nyingine kuu zilizokuwa zikitumiwa na CAF (kama vile Kiingereza, Kifaransa, na Kiarabu) katika mawasiliano rasmi, nyaraka, mikutano mikuu, pamoja na mikutano ya waandishi wa habari kwenye mashindano ya CAF. ✍: @nickymeena_ #Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
2
2
2
176
6,595
KIJANA MWEUPE retweeted
Jumamosi ya leo ikawe ya kheri kwako na baraka tele Good morning FAM🙌🏻🙌🏻🙌🏻
16
23
28
360
KIJANA MWEUPE retweeted
Good morning
4
4
7
271
Mkubwa Marioo iyo Hela yangu ninayokudai unilipe kwa AzamPesa sitaki makubwa na wewe.!!
4
13
133
5,336
BRO TO BRO Nobody is more expensive than a woman that doesn’t like you. When a woman wants to leave you Be a gentleman and show her the door 🚪
8
52
5
481
16,756
KIJANA MWEUPE retweeted
Dj Ally B aliwahi kusema kwenye moja ya podcast hapa mjini kwamba aliwahi kulipwa “mzigo mrefu” ambao hakuwahi kulipwa kabla kwenye maisha yake ya U-DJ. Akasimulia pia kuhusu wale jamaa wa mgodini aliowahi kuwasaidia kuclear bills pale Muhimbili. Akamalizia kwa kusema: “Ukimfanyia mtu wema, ita-appear hivyo hivyo. The same ukimfanyia mtu ubaya.” Maana yake ni moja tu: Kila kitu hapa duniani kitafanyika. Ni suala la muda tu. Huyu mwanangu, kwenye hiyo tweet ya June 5, 2024, alifanikiwa kuzama pale Vingunguti. Baadaye akatoka, akasonga mbele na harakati zake. Leo amenisogezea project mmoja HEAVY sana. 🙌 Angeweza kufanya mwenyewe. Angeweza pia kumpa mtu mwingine. Lakini akakumbuka kuna Kabote anaweza kufanya, kwa sababu project inataka mtu mwenye taaluma ninayoishi nayo kwa sasa. Wema unalipa, wanangu. Utaratibu ni ule ule: Kumshukuru Mungu kwanza 🙏🏾, then as soon as possible, kuna wachache wetu humu tutagawana huu ugali pamoja kulingana na position husika. Tuendelee kuishi na hii👇 Kunjua nafsi ubarikiwe, maana kizazi chetu tukizeeka hatutaki tuje kuwa na wazee wachawi. — Honest Mtalo
Jana nimekutana na hustler mmoja maeneo ya SIDO KIPAWA kila nikikatiza ile mitaa mamkuta kachill chini ya mti Akasogea na kuniomba 100 mfukoni nilikuwa na 250 chenji za mwendokasi Nikampatia na kumuachia namba ya simu akifika karibu na wakala anichek nimalizane nae zaidi 👇
11
28
1
137
18,238
KIJANA MWEUPE retweeted
Bro to bro Mara moja moja, tembelea Divorce Court, na ufatilie Divorce case, Hakuna mwanamke analilia upendo wala kujenga familia, Wanacholilia ni kuondoka na Mali za Mwanaume, na kumuacha Mwanaume akiwa kwenye Great Economic Depression. Na sababu ingine ni Child support, hivi we kwenye ukuaji wako Ni mara ngapi ushawahi ona Watoto wanasaidia baba zao. Bro hizo hela Kula, kuwa mnufaika wa kwanza wa Jasho lako,
30
99
2
571
23,673
Hii Mechi ishakua Ngumu sema hapa ndio utaona Maajabu ya YANGA.!!🫡
3
7
2
94
3,554
KIJANA MWEUPE retweeted
Kontena jipya la VISHANDU limeingia mjini mamae. Wasauzi kumbe walikuwa sawa🤣
102
81
10
1,085
78,672
KIJANA MWEUPE retweeted
The Bermuda Triangle
252
2,146
227
27,650
382,053
KIJANA MWEUPE retweeted
Unaambiwa hapa mwenetu Doumbia alikosa 😂😂😂😂
2
1
5
313
Ila wadada wana kazi sana just imagine mtu kataka tucheze 654321 sijui,nimejibu imekuwa kesiii 😂😂😂😂💔💔🙌🏼
1
1
1
327
Hiyuu maresco sisi wakati tunafukuza mlikuwa mnamuona kama kocha ila mtagundua sasa ni kichaaa…😁😁😁💔
222
KIJANA MWEUPE retweeted
Ninakipaji cha kumgundua tapeli kwa mara ya kwanza tu nikimuona🚮...
22
9
1
68
2,008
Huyuu atatusaidia kujuwa shabiki wa kweli wa City 😁😁😁
1
1
1
221
KIJANA MWEUPE retweeted
Ewe Mwenyezi Mungu Utuinue ili tusifike ile sehemu waje kusema " Tulijua tu hawezi kufika popote" 🤲
2
8
17
276