fezoo retweeted
Kuna sentence ya kipumbavu mno wanaume huwa wanaitumia. Eti :huyu mwanamke alinivumilia nikiwa sina kitu" kwani yeye alikuwa na nini kipindi hicho? Ukute aliishia kukupa uchi tu na ni wewe ulikuwa unamhudumia. Sentensi ni ya kijinga sababu hutowahi sikia mwanamke akiitumia
fezoo retweeted
Yani lazima nijee nimfanye mtu “single dad” hata kwa week tu popote alipo ajiandae…. 🤣🤣
fezoo retweeted
Now nimeelewa Kwanini watu wengi waaamuaga kupotea na kwenda mbali na kuanza upya🤦Napitia wakati mgumu sana now 💔
fezoo retweeted
Tunawaruhusu mcheze mechi 6 bila sisi kucheza na mshinde zote alafu ndo sisi tuendelee..Sema asante😀
fezoo retweeted
Me naona watu wanalalamika sijui Marioo kazingua ! Na ndo unafiki tunao Watanzania, mtu anakuanza chokochoko ukishapigisha shoti tu ndo waanza aah malizeni hivi , this not fair nyenyenyee……hakuna 🤣🤣🤣 anza ! nimalize! …. Mimi ni Marioo mtupu
fezoo retweeted
Unampenda mwanaume vizuri tu ,anakuomba umkopeshe na mahari halafu akishakuoa baada ya mwaka ndio unagundua alishaoa na anawatoto 😂😂💔
fezoo retweeted
This is very unnecessary, mambo ya kiume private unakuja kuyasema public. Omary hapa kazingua Big time 🚮
fezoo retweeted
Ila yule bibi anaonekana mtaalamu wa ile michezo🔥🔥🔥
Imagine anacheza miguu yote mbele na nyuma😂😂😂























