
๐ฐ๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ข๐๐, ๐๐ ๐๐๐๐๐โ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ข. โ ๐ฐ๐๐๐๐
Ipswich, England
Joined May 2023
- Tweets28.2K
- Following2.7K
- Followers2.9K
- Likes21.1K
Pinned Tweet
"Kati ya vitu vinavyofanya nikate mahusiano ya karibu na mdada ni.
1. Blue ticks
2. One sided calls and text
3. Dry answers
4. Fake promisses
5. Taking me for granted
Kama mnavumilia hayo ili kumpata demu, naombeni mnitoe."
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
F1 kwa laki mbili na 50 unapata Sato fresh ,ndoo ya Lita 20
F2 kwa laki na 50 unapata Sato fresh ,ndoo ya Lita kumi
๐Mwanza
๐Mikoa yote natuma ,kwa bus na ndege
๐0756195726
Karibuni sana wakuu๐คธ
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Wanangu leo nipo hapa Kkoo Maendeleo Bank kama unataka cap fanya tuwasiliane sababu mapema ndio best.
Price 12k tu ๐
0623485776 Normal
0712103849 Wasap
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
ukipotea nyumbani siku kadhaa halafu ukaja kurudi mama Endru anaku feed misosi hovyo hovyo as if ulipotoka ulikuwa huli๐๐
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Nakushauri tu kama wewe ni mzee wa odds mlima stake modo leo usiingie kazini subiri weekend ๐
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Replying to @orlandopirates
Welcome to the hell youโre going to never ever forget the kind of humiliation that you are going to go through on SUNDAY
#wearetheKingofthejungle๐ฆ
#SIMBASCNguvuMoja
Mheshimiwa Gerson Msigwa, shikamoo.
Mimi ni kijana Mtanzania
Kwa heshima naomba mkono wako katika kupata fursa ya ajira, mwongozo au nafasi yoyote ya maendeleo.
Nitashukuru sana kwa msaada wako, hata kama ni kunielekeza kwenye fursa iliyopo.
Mungu akubariki sana. ๐
Salamu.
Kwa baraka zake, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote aliyonijaalia yanayoonekana na yasiyoonekana.
Nimepokea kwa unyenyekevu mkubwa uhamisho wangu kutoka nafasi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo & Msemaji Mkuu wa Serikali kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru sana Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuniamini katika utumishi ndani ya Serikali yake ya Awamu ya Sita. Ni dhamana kubwa na yenye maana kubwa kwangu na familia yangu.
Asubuhi hii nilipoamka Mwanangu (Daktari Tarajali) kaniuliza โHey, Gentleman, is everything alright?โ Nikamwambia very fine, akaniambia โKeep it burningโ halafu huyoo kaenda zake hospitali kuhudumia wagonjwa ๐๐.
Nawashukuruni nyote, wadau wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa ushirikiano mkubwa mlionipa katika majukumu yangu ya Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali. Nawashukuru sana watazamaji, wasikilizaji na wasomaji wote katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ambako shughuli zangu nyingi zimekuwa huko. Nawashukuru wamiliki wa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, nyie Waandishi wa Habari ni ndugu zangu kabisa, mimi na nyinyi mpaka watuue๐๐.
Kama nilivyomjibu mwanangu, niko sawa, niko tayari kwa kazi na niko timamu kuitumikia dhamana mpya niliyopewa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nawaombeni tuendelee kushirikiana katika kulijenga Taifa letu. Tuna Tanzania moja tu na sisi ndio Watanzania wenyewe wa kuijenga au kuibomoa. Tuchague kuijenga.
Nawashukuru viongozi na watumishi wote wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali na taasisi zote za Wizara kwa ushirikiano na upendo mkubwa tuliokuwa nao. Endelezeni utamaduni huu tulioujenga pamoja.
Nawatakia kheri Bw. Abdallah Hassan Mitawi aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali. Mungu awasimamie daima.
Karibuni Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
#KaziIendelee
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Achana na sifa za maestro Chole je kwenye weakness zake unahisi ni ipi au zipi akizifanyia kazi atukuwa Monster kabisa huenda saiv anafanya kwa kiasi au hafajyi kabisa ila unaamini akifanyia kazi kitu hicho atakuwa Top Top๐๐พ
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
โ๐ฟNew Arrivals Mtumba Grade one
Choose, pay , we do delivery but not free๐
Wasap call/text : 0712103849
Normall Calls/Text: 0623485776
RT RT๐ฅ
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Shirt available 18000 ๐ฏ๐ฅ๐ฅ
Delivery โ
๐ mikoani tunatuma WhatsApp 0753103048
Kindly repost ๐โฅ๏ธ
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Duh hii mbaya sana asee ๐
Quality ya Olise, Kane, Diaz, Gbabbry iko mbali sana Karl na kundi lake unatamani game kama hizi dogo ndio aoneshe kwamba ni best ila anakupa perfomance mbovu sana.
January bila maboresho ya kikosi sitawaelewa hawa jamaa ๐ถ
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Kuamka salama ni kwa Neema tu hivyo hupaswi kujivuna bali kumshukru Mungu ๐๐ซ
Good morning my Xโs Family ๐ค
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Game ya man utd saa 5 usk sijui kama ntatoboa huo muda mamae๐๐ฟโโ๏ธ






















































