Pinned Tweet
Please Naomba Repost yako🙏
#AfyaYaJamii
Mada: je ni sahihi kutafuna au kufungua dawa ambazo zinakua katika mfumo wa capsule(💊)
Nifollow @icon__08 kisha angalia videos hapo chini 👇
Part 1
Janja unaongea sana ngoja kesho ufungwe Yanga wakuoneshe rangi zao halisi we unadhani ni kijani na njano tu 🤣🤣😂
“Sisi ni mabingwa wa Tanzania tuna kikosi kizuri, benchi imara la ufundi na malengo makubwa. Tuna imani na uwezo wetu.
Tumekuwa tukiifuatilia na kuichambua timu pinzani, ikiwemo mchezo wao wa hivi karibuni dhidi ya JS Kabylie. Kwa kuwa wana kocha mpya, kuna baadhi ya mabadiliko ya kiufundi ambayo tumeyaona, hivyo tunatarajia kukutana na timu yenye mbinu tofauti.
Hata hivyo, jambo kubwa kwetu ni kujiandaa vizuri sisi wenyewe. Tunafanya uchambuzi wa nguvu na udhaifu wetu pamoja na maeneo tunayoweza kuyatumia ili kuongeza ufanisi katika mashambulizi yetu.
Hii ni wiki yetu ya kwanza kuwa na kikosi kizima baada ya mapumziko ya michezo ya kimataifa. Tutaitumia kufanya mazoezi ya kutosha, vikao vya uchambuzi wa video na maandalizi ya kiufundi ili kuhakikisha wachezaji wanakuwa tayari kimwili, kiakili na kisaikolojia.
Ligi ya Mabingwa Afrika ni mashindano yenye ushindani mkubwa, hivyo kila mchezo unahitaji maandalizi na kiwango cha juu cha ushindani.” Fadlu Davids
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
3
75
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 40/41/42/43/44/45
✅Bei 90,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
Kuamka salama ni kwa Neema tu hivyo hupaswi kujivuna bali kumshukru Mungu 🙏🫂
Good morning my X’s Family 🤝
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
NARUDIA TENA, NO MEDIA TOUR, NO PAID PROMO, NO PAID POST'S FROM INFLUENCERS. BUT WE OUT HERE MAKING MOVES!. NAJUA WASHIKA DAU HAWAPENDI.
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Ni mstari gani unaoukubali kwenye nyimbo ya Chedda? kama umeshaipa sikio. Kama bado nenda kaskilize sasa inapatikana all streaming platforms we andika CHEDDA - MEJORWEY.
























