Replying to @hamis_abas
Sasa Maukimwi hizi ni mechi mbili zimechezwa Msimu huu. Hizo wewe hazifit in kwenye hili
Replying to @Wakanda_republi
Enheee hapa safi sana sasa twende kwenye Dili la Feisal. Mie sina muda wa kukwambia Nina nyumba ngapi hata kama sina😂😂😂.
Tumalizie deal la Feisal, mnamtambulisha lini😁
















