NYANI MZEE (@jwise017) header
NYANI MZEE (@jwise017) profile picture

Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Beer & Bebez | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru πŸ™πŸΏ #VituVyaPeponi #MatomboStyle⭐️

Matombo, Morogoro, Tanganyika
Joined November 2010
Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua β€œkufa kiume” na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
36
221
13
990
183,472
My new neighbor is hot πŸ₯΅..
129
NYANI MZEE retweeted
Ifike muda CAG bora hata asitutangazie huo upotevu wa fedha za Umma kama hakuna utekelezaji wowote zaidi ya kuishia kwenye Hansadi za Vikao vya Bunge Maana kila mwaka CAG anasema kuna upotevu wa Mabilioni ya fedha. Wezi na Mafisadi wanazidi kuitwa WAHESHIMIWA badala wakae JELA..
4
9
2
35
932
Makendecracy?
7
4
32
1,857
Kabla sijavuta jiko ilikua namna pekee ya kupunguza nguo zilizochoka ndani ni naivaa naenda dukani nanunua mpya ile ya zamani naiacha hapo, inakua kama tragedy of the common, saivi utoke na tshrt ya blue urudi na nyeusi usiku itabidi uende na record ya cctv
28
17
3
155
5,012
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Me when I find myself in places where the rich people hang out. πŸ˜‚πŸ₯²
3
480
NYANI MZEE retweeted
Ukipata pesa hakikisha unazitumia kaka
Wanaume tunatafuta sana pesa kwaajili ya watu ambao hawana huruma na pesa zetu.
3
1
6
264
NYANI MZEE retweeted
Wanaume tunatafuta sana pesa kwaajili ya watu ambao hawana huruma na pesa zetu.
3
12
4
48
1,378
NYANI MZEE retweeted
Heshima, huruma na haki unazotamani kuzipata kutoka kwa wengine, anza kuzitoa wewe mwenyewe.
6
26
97
1,884
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Hapana kaka!
1
1
28
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Hovyoooo!!!!
1
1
25
Watu wanajinyima sana ili wafanye savings. Kuna wakati wanajinyima hata kula Vizuri. Kufanya savings kunaokana muhimu kuliko kupata lishe bora.
6
1
18
1,297
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Uchagizaji next level
1
1
2
69
NYANI MZEE retweeted
😁😁😁 kweli huyu ni educated
Blaza ameumia sana alichofanyiwa na mkewe fear women πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
1
1
17
Replying to @jwise017
Sijawahi jirani
1
1
1
20
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Acha dogo ale hata wewe ulishapiga sana
1
36
NYANI MZEE retweeted
Hyo Third Frame ndo mzee wa ovyo @jwise017 anasema sisi Matapeli?
1
1
3
254
Replying to @jwise017
wanaume vile wanaangaika na Shida za wanawake hakuna Mtu anaongela a 40+ dude hana Mke wala Mtoto ... hawa hawaana shida
1
1
164
Jamaa katisha sana
Jamaa kapita mule mule πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
1
27
Replying to @jwise017
Babu yangu cha kukutenganisha sio kifo
1
1
2
140
Blaza ameumia sana alichofanyiwa na mkewe fear women πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
1
13
1
41
1,952